Muscle Building Supplements wapi napata???

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
Habari zenu kwa mpigo
natafuta supplements kwa ajili ya kujenga misuli.nipo dar kwa anayefahamu zinapopatikana anaisaidie...
PM kwa mawasiliano zaidi.
NB: mahubiri yahusuyo madhara na mizaha mingine sitaki, km wajua tupia contacts km hujui plz kausha pita kimyakimya.
 
Look for this one. Whey protein. Best there's in the market. Never go for steroids bro. Tafuta hii ni kiboko yao. Gharama kidogo lakini uhakika. Ukienda Gym za ukweli watakueleza! Goodluck
1386560838686.jpg
 
Umeamua ushindane body na shemeji yako Paw sasa? Ile ni natural bwana. Piga chuma, mbona diamond anagombewa?
 
Masumu hayo wewe zinduka,mbona wavivu sana wakufiri na kusoma.Mnajimaliza wenyewe, no wonder Tanzania ipo mahali ilipo.Noma sana.
Habari zenu kwa mpigo
natafuta supplements kwa ajili ya kujenga misuli.nipo dar kwa anayefahamu zinapopatikana anaisaidie...
PM kwa mawasiliano zaidi.
NB: mahubiri yahusuyo madhara na mizaha mingine sitaki, km wajua tupia contacts km hujui plz kausha pita kimyakimya.
 
Piga hii namba utapewa maelezo jamaa ni mtaalamu wa haya mambo 0717161736
 
Badala ya kutumia protein supplements kujenga muscles ambazo zitakuletea side effects baadaye on the long run, kama unataka ku-build up muscles na zikaonekana natural hasa kama mwili wako ni wa walew enye low fat u akuta kakonda unaweza kuhesabu mbavu then solution ni ndogo, kwanza ni sababu mwili wako chakula unachokula hakitoshi means digestin inafanyika na mwili bado unakua unahitaji unakosa, sasa ukienda gym na wabongo hua wanaenda kimisifa wanakaa masaa mawili, mwili wako unajitafuna wenyewe maana hakuna chakula cha kubreak down unashangaa hupati muscles wala nini na unazidi kukonda.. Sasa solution, panga time table ya kula kila masaa mawili, mara tatu ndio ni heavy meals, ila hizo mara nyingine iwe moderate meal, mfano hapo katikati unaweza tupia viazi, ndizi kwa sana ila hakikisha unatupia kitu every after two hours, piga maji ya kutosha kwa siku, lita sio chini ya mbili, Afu ukienda gym kufanya mazoezi fanya siku nne tu kwa wiki, na iwe ni zoezi linalohusisha viungo vingi vya mwili, siku tatu pumzika, na gym kila siku fanya 30-40min tu, usizidi hapo utakua unaanza kula mwili huo tena. Fanya hivo utakujanipa majibu, mwili utajiweka fresh sana kama ile unaona kwenye tv acha ya wabongo iko ka matairi hawafati principle... Nilikua mwembamba sana nakupa experience yangu nioiyopata kwa gym trainer na sasa niko safi..
Its a long time process, usidhani ni mwezi moja au miwili, ni continuous process wengine huchukua mwaka, ila effect utaanza kuziona mapema.... Usitumie Protein supplements zitakuumiza baadaye
 
Habari zenu kwa mpigo
natafuta supplements kwa ajili ya kujenga misuli.nipo dar kwa anayefahamu zinapopatikana anaisaidie...
PM kwa mawasiliano zaidi.
NB: mahubiri yahusuyo madhara na mizaha mingine sitaki, km wajua tupia contacts km hujui plz kausha pita kimyakimya.

Yaani unataka kua Baunsa simple tu just kwa kumeza vidonge? ?

Hapana bana, umia kidogo gym Mkuu!!
 
mkuu Shark nafanya iyo mambo.naona kitu hakitoki.
 
Last edited by a moderator:
Badala ya kutumia protein supplements kujenga muscles ambazo zitakuletea side effects baadaye on the long run, kama unataka ku-build up muscles na zikaonekana natural hasa kama mwili wako ni wa walew enye low fat u akuta kakonda unaweza kuhesabu mbavu then solution ni ndogo, kwanza ni sababu mwili wako chakula unachokula hakitoshi means digestin inafanyika na mwili bado unakua unahitaji unakosa, sasa ukienda gym na wabongo hua wanaenda kimisifa wanakaa masaa mawili, mwili wako unajitafuna wenyewe maana hakuna chakula cha kubreak down unashangaa hupati muscles wala nini na unazidi kukonda.. Sasa solution, panga time table ya kula kila masaa mawili, mara tatu ndio ni heavy meals, ila hizo mara nyingine iwe moderate meal, mfano hapo katikati unaweza tupia viazi, ndizi kwa sana ila hakikisha unatupia kitu every after two hours, piga maji ya kutosha kwa siku, lita sio chini ya mbili, Afu ukienda gym kufanya mazoezi fanya siku nne tu kwa wiki, na iwe ni zoezi linalohusisha viungo vingi vya mwili, siku tatu pumzika, na gym kila siku fanya 30-40min tu, usizidi hapo utakua unaanza kula mwili huo tena. Fanya hivo utakujanipa majibu, mwili utajiweka fresh sana kama ile unaona kwenye tv acha ya wabongo iko ka matairi hawafati principle... Nilikua mwembamba sana nakupa experience yangu nioiyopata kwa gym trainer na sasa niko safi..
Its a long time process, usidhani ni mwezi moja au miwili, ni continuous process wengine huchukua mwaka, ila effect utaanza kuziona mapema.... Usitumie Protein supplements zitakuumiza baadaye

dah asante kwa maelezo mazuri yaliyojitosheleza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom