Musasira: Maandalizi ya Mitihani ya Bodi Kwa Module E&F yameanza!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Musasira: Maandalizi ya Mitihani ya Bodi Kwa Module E&F yameanza!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mwamakula, Jul 12, 2012.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa wale wanaotaka kufanya mitihani ya Bodi Nov 2012 .Mafunzo yamesha anza kwa module E&F katika kituo cha Apt Financial Consultant Kwa mkoa wa Dar es salaam na Arusha.
  Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wanaohitaji huduma hiyo wanaweza kuwasiliana kwa simu 0754 224224,0655 224224, 0785 224224 .

  Tunapenda kuwashauri kuwa ni bora kufanya mtihani Mwaka huu kwani zipo taarifa kuwa huenda kukawa na mabadiliko mwakani.
  Tunakutakia Maandalizi mema!!
   

  Attached Files:

 2. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Tusaidie simu za arusha
   
 3. k

  katalina JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mitihani ya Bodi maana yake ni nini. Si wote wamesoma huko ulikosoma wewe. Kuna bodi nyingi eg: Bodi ya pamba, kahawa, etc. Now, mitihani ya bodi - what do you mean sir/madam?
   
 4. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Bila shaka ni Mitihani ya NBAA kwa wale Wahasibu wanao somea CPA ( Certified Public Accountant)
   
 5. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  katalina, ukiona hujaelewa ujue halikuhusu.
  Mtoa mada, mafunzo yanagharimu sh ngap?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  katalina, ukiona hujaelewa ujue halikuhusu.
  Mtoa mada, mafunzo yanagharimu sh ngap?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Gharama za Mafunzo zipo kwenye attachment lakini yupo mhusika anaitwa Bi Johani Mpigie simu 0715482070.
  Anatoa Ushirikiano hata kama upo mikoani atakupa ufafanuzi
   
Loading...