Musalia Mudavadi ajitoa rasmi ODM na kujiunga na UDF

...Ni Mluhya, kabila la pili kwa uwingi wa watu nchini Kenya baada ya Wakikuyu, kwa muda mrefu wamekuwa daraja la kuwabeba watu wa makabila mengine, but this time wana mhamko wa kumpata mtu wa kwao...

Tatizo la waluya huwa hawapigi kura labda sasa kwa vile wanamtu wao huenda wakaenda kupiga kura ya uraisi
 
Ni Mluhya....ukabila wa Kenya na balances zake nazijua vizuri sana Ruta.....kisiasa by rank ni kama hivi:

  1. Kikuyu(hawa ni ma opportunist sana na wanajua jinsi ya kubalance mambo ila hawana strong candidate zaidi ya Uhuru ambaye sio popular sana ni kama Lowassa huku kwetu)
  2. Luhya(Hawa wamegawanyika kambi nyingi sana: Kombo Camp, sasa Mudavadi)
  3. Jaluo(wako pamoja nyuma ya Raila)
  4. Kalenjin(wamegawanyika- Moi Camp, Ruto Camp na undecideds)
  5. Kamba(hawa hufuata upepo zaidi ila wana kambi mbili-Mama Ngillu na Kalonzo)

Kama unazijua basi usingelisema Raila atakuwa raisi wakati Synovate jana imempa 34% duru la kwanza na duru la pili kufungana na uhur kwa 44% na huku 12% ni undecided.................na hapo ilikuwa kabla ya Mudavadi kujitoa ODM...............kura ya maoni baada ya Mudavadi kuachana na Raila itamweka Raila katika khali mbaya zaidi.
 
Hivi Raila atakubali tena kuukosa uraisi safari hii?

Atakubali tu maana hana kisingizio na support yake aliyokuwa nayo mwaka 2007 imeyoyoma.......waliomsaidia kupata kura wameishia na TUME ya uchaguzi ni huru hivyo hawezi kudai Kibaki kamwibia kura.........
 
Sio Mkikuyu ni mtu wa West. The same as Raila, now they will fight to win Central where Ruto and Kenyatta have their Stronghold. If you win central it means you win Kenya.

...Raila ni wa Nyanza-Wajaluo-13% ya Wakenya, na Mudavadi ni wa Western-Waluhya-14% ya Wakenya, japo maeneo yote hayo yapo Magharibi ya Kenya...

...Ruto yeye ameikamata Rift Valley-Wakalenjin-12% ya Wakenya na Uhuru Kenyatta yeye amekamata Wakikuyu-22% ya Wakenya, na wakati huohuo Kalonzo Musyoka na Charity Ngilu wanakamata Eastern-Kambas wambo ni 11% ya Wakenya...

...Sasa ukienda kikabila kama siasa za Kenya zilivyo, kwa mlolongo huu, endapo Mudavadi na Wamalwa-Waluhya, wakaungana pamoja na Uhuru,Ruto, Kalonzo Musyoka-Charity Ngilu, ambayo ni more than 57% ya Wakenya, kwa sababu kwao adui mkuu zaidi ni Raila, then Raila hana namna ya kushinda uraisi....
 
Kama unazijua basi usingelisema Raila atakuwa raisi wakati Synovate jana imempa 34% duru la kwanza na duru la pili kufungana na uhur kwa 44% na huku 12% ni undecided.................na hapo ilikuwa kabla ya Mudavadi kujitoa ODM...............kura ya maoni baada ya Mudavadi kuachana na Raila itamweka Raila katika khali mbaya zaidi.

Rutashubanyuma,
Unajua SYNOVATE ni kabila gani?
 
Fidel80..opinion poll ya jana kabla ya hili tukio imemweka Raia ngoma droo na Uhuru Kenyatta wote 44% na ikiwa 12% undecided..............................hii ni opinion poll ya Synovate....Raia will never ascend to Kenyan Presidency the real problem for him he is too abrasive......and has exalted himself above everything and God will humble him in the next poll
Hapo kwenye RED usije ukakaa kuharibu akili yako kuwasikiliza hao wapumbavu wakubwa.
 
Kama unazijua basi usingelisema Raila atakuwa raisi wakati Synovate jana imempa 34% duru la kwanza na duru la pili kufungana na uhur kwa 44% na huku 12% ni undecided.................na hapo ilikuwa kabla ya Mudavadi kujitoa ODM...............kura ya maoni baada ya Mudavadi kuachana na Raila itamweka Raila katika khali mbaya zaidi.

Ruta

Mimi sijasema kuwa Raila atakuwa Rais.....nimekupa mchanganuo wangu wa kikabila kwa siasa za Kenya...even though....kuondoka kwa Musalia kulishajiashiria mapema sana kabla hata hiyo Synovate analysis....kwa sisa za Kenya sitashangaa leo Musikari Kombo akahamia ODM kuchukua nafasi ya Mudavadi.........na unajua nguvu ya Kombo Uluhyani?

In Kenyan politics, the Luhya population commonly referred to as the Luhya vote in an election year, is usually a deciding factor of the outcome of an election. The community is known to unite and vote as a block usually for a specific political candidate without division of mind and regardless of political differences.Given their high population numbers, a political candidate who enjoys Luhya support is almost always poised to win the country's general elections, barring incidents of fraud. The community is thereafter "rewarded" politically, by one of their own being appointed vice president or to a high profile political office by the winning candidate.

In the 2002 general elections of Kenya, the Luhya proved this point when outgoing president Daniel Arap Moi unexpectedly appointed Musalia Mudavadi as Vice president in an attempt to lure Luhyas to vote for Uhuru Kenyatta, his choice of successor with Musalia as running mate. The Luhyas remained adamant in their support for the opposition then led by Mwai Kibaki who also had a Luhya, Michael Kijana Wamalwa as running mate.

The Luhyas dealt a severe blow to Moi's candidate by voting en masse for Kibaki who thereafter won the election with Wamalwa as his vice president. Of the eleven vice presidents of Kenya since independence, three have been Luhyas.Others who have held high profile political offices include, Musalia Mudavadi, current deputy Prime Minister formerly 7th Vice President (Sept. 2002 - Dec 2002), Michael Wamalwa Kijana, 8th Vice President of Kenya (January 2003 - August 2003, Moody Awori, 9th Vice President of Kenya (September 2003 - January 2008), Amos Wako, Longest serving Attorney General of Kenya - 19 years in office, Kenneth Marende, Speaker of the National Assembly and Zachaias Chesoni, late former Chief Justice of Kenya.
 
Utabiri wangu ni kuwa kama Kenyatta na Rutto watakwamishwa na ICC..........Mudavadi is the most likely next president of Kenya and not Raila.

mkuu nakubaliana nawe asilimia 100 mudavadi will be the next rais should uhuru and ruto get knocked out. For raila its over before it has even begun am afraid
 
Ni Mluhya....ukabila wa Kenya na balances zake nazijua vizuri sana Ruta.....kisiasa by rank ni kama hivi:

  1. Kikuyu(hawa ni ma opportunist sana na wanajua jinsi ya kubalance mambo ila hawana strong candidate zaidi ya Uhuru ambaye sio popular sana ni kama Lowassa huku kwetu)
  2. Luhya(Hawa wamegawanyika kambi nyingi sana: Kombo Camp, sasa Mudavadi)
  3. Jaluo(wako pamoja nyuma ya Raila)
  4. Kalenjin(wamegawanyika- Moi Camp, Ruto Camp na undecideds)
  5. Kamba(hawa hufuata upepo zaidi ila wana kambi mbili-Mama Ngillu na Kalonzo)

...U-popularity wa Uhuru Kenyatta umeupimaje mkuu?i beg to differ, kwa sasa hakuna kama Uhuru Kenyatta kwa Wakikuyu, na hii kesi ya ICC ndio imembeba zaidi....

...Kwa sasa Luhya, ni kati ya Eugen Wamalwa na Mudavadi, kwa kuwa Mudavadi ametoka sasa ODM, tutaona jinsi gani wataweza kuunganisha nguvu zao pamoja....

...Wajaluo bado wapo kwenye utawala wa kijadi, chini ya ukoo wa Odinga, hawaelewi lolote, mvua inyeshe, jua liwake wao na Odinga tu, ata ndugu yao Rafael Tuju-Mgombea Uraisi, analijua hilo....

...Wakalenjin kwa sasa hakuna zaidi ya Rutto, ndio maana ata watoto wa Moi walipoteza Ubunge kwenye uchaguzi wa 2007, Moi amebakia historia tu, na hii kesi ya ICC ndio imesolidify zaidi ushawishi wa Ruto kwa Wakalenjin....

...Kwa Wakamba hapa ni Musyoka na Charity Ngilu tu, hakuna zaidi...
 
Uhuru is not popular I tell you......not even to an average Kikuyu
 
Safari ya Mudavadi kuelekea Ikulu ya Kenya sasa imeshika kasi baada ya kujitoa ODM sasa hivi na kujiunga na chama cha UDM. Mudavadi amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na Raila juu ya utaratibu wa kumpata mgombea uraisi wa ODM......Kufuatia hatua hii ya Mudavadi pia kajivua nafasi ya Uwaziri wa serkali za mitaa lakini anabaki kuwa Naibu Waziri Mkuu nafasi ambayo Raila hana ubavu wa kumng'oa bila ya kuvunja makubaliano yake na Kibaki kwa maana ya vyama vya PNU na ODM ambayo kwa pamoja ndivyo vinaunda serikali ya mseto.............

SOURCE: CITIZEN TV

MY TAKE:

Utabiri wangu ni kuwa kama Kenyatta na Rutto watakwamishwa na ICC..........Mudavadi is the most likely next president of Kenya and not Raila.
Mkuu hapo ni kama kamchezo vile, Mudavadi anadifect but later on before election anafanya negotiations na Raila baada ya kuona kuwa hawezi kupenya!!!
Ataweza kurudi on conditions fulani fulani political business my dear!!!

Uhuru is not popular I tell you......not even to an average Kikuyu

...Sibahatishi kwenye hilo, nimeandika ninachokiona na kukishuhudia, Uhuru Kenyatta yupo juu kuliko wakati mwingine wowote, hakuna kama Uhuru kwa Wakikuyu kwa sasa, nenda ata mashambani, ukimkuta Mkikuyu muulize utampigia nani, atakwambia Uhuru....

...Na pamoja na kuwa ni mtoto wa Kenyatta lakini Uhuru pia is very bright, na anajua kuzichanga karata zake vizuri, kama hatazuia kugombea kwa sababu ya ICC, sina shaka Uhuru Kenyatta is the next president of Kenya....
 
Mkuu hapo ni kama kamchezo vile, Mudavadi anadifect but later on before election anafanya negotiations na Raila baada ya kuona kuwa hawezi kupenya!!!
Ataweza kurudi on conditions fulani fulani political business my dear!!!

...Actually, Mudavadi alipotangaza kupambana na Raila kwenye Uraisi wengi walifikiri kuwa wanacheza mchezo tu ili kuonyesha kuwa kumbe ODM kuna demokrasia lakini pia kuwaonyesha Waluhya kuwa kumbe Mudavadi nae ana ambition s za Uraisi na yupo tayari kupambana ikibidi ili kuepuka Wamalwa kuonekana ni Mluhya pekee mwenye uchu wa Uraisi...

...Lakini kwa ilipofikia sasa, hakuna namna ya Mudavadi kurudi ODM na kuonekana shujaa, hawezi kujiua kisiasa ki hivyo, no way....
 
...Sibahatishi kwenye hilo, nimeandika ninachokiona na kukishuhudia, Uhuru Kenyatta yupo juu kuliko wakati mwingine wowote, hakuna kama Uhuru kwa Wakikuyu kwa sasa, nenda ata mashambani, ukimkuta Mkikuyu muulize utampigia nani, atakwambia Uhuru....

...Na pamoja na kuwa ni mtoto wa Kenyatta lakini Uhuru pia is very bright, na anajua kuzichanga karata zake vizuri, kama hatazuia kugombea kwa sababu ya ICC, sina shaka Uhuru Kenyatta is the next president of Kenya....
Mkuu umaarufu wa Uhuru Kenyata ni kwa Wakikuyu peke yao sasa Kenya ina makabila mengi, mtu maarufu kwa makabila yote mpaka coast ni Raila for your information!!!
Hivyo akipata kura za Wakikuyu hawezi kupenya kwa Kenya yote!!!!

Mkuu hapo ni kama kamchezo vile, Mudavadi anadifect but later on before election anafanya negotiations na Raila baada ya kuona kuwa hawezi kupenya!!!
Ataweza kurudi on conditions fulani fulani political business my dear!!!

Waluhya wamechoka kubeba makabila mengineyo na Mudavadi yupo ndani ya shinikizo lazima awe kwenye ballot box akigombea uraisi........ndoa yao na Raila ni historia kwa sababu Raila naye hayuko tayari kumbeba mtu mwingine akizinatia he willbe turning 70 very soon......and time is running out.........
 
Back
Top Bottom