Mupenzi hufika kileleni mapema sana (2-3min), baada ya hapo hatamani kuendelea na tendo

Wengi tumekuwa tukisikia tatizo la wanaume kuwahi kufika kileleni na kutowalidhisha wake au wapenzi wao.

Tatizo hili si kwa wanaume pekee bali kwa kina dada baadhi, nimekuwa na mpenzi wa muda mrefu tu, tatizo kake kubwa ni kuwahi kufika kileleni,

Nilijaribu pia kutafuta ushauli wa kitaalamu lakini nilipo muomba twende pamoja kwa mtaalamu wa saikolojia alikataa na kusema yeye hana tatitizo,

Sasa namuona analoteza kabisa kujiamini katika mapenzi akihofia kufika kileleni mapema. Kwani ndani ya dakika mbili tatu huwa kamaliza kabisa na hataki kuendelea,

Hii si mala ya kwanza kukutana na mwanamke wa namna hii hasa mabonge, wakati mwingine nahisi wanawake mabonge wanashida sana,

Nifanye nini wakuu, kumpenda bado nampenda.

Hivi si ni huyo mdada wa Arusha kweli?
 
Team kileleni baby
FB_IMG_1509848895483.jpg
 
lucky man! ngoja ufikishe miaka 50 tu utajua kuwa uko blessed kwa dame wako ukimgusa tu kaisha,siku hizi kimridhisha demu ni changamoto wewe kama kiraru hakiishi puga demu wako halafu nenda kamalizie kwa mchepuko au anza uko halafu njoo mpe ya kivivu dame wako kama hutaki vile kumbe uko overly spent!sikuhizi mzee hakuna maugomvi sijui sipewi unyumba wala nini unagonga sehemu uanrudi home unaomba gemu ukizinguluwa unajifanya kulalamika kumbe uko meno nje kimoyomoyo kwa game pori ulilocheza
 
Back
Top Bottom