Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

Sometimes data zinachelewa kuwa uploaded na hizi kampuni. Hawajawa competent sana kwenye IT. Mie huwa natembea na makaratasi ya Bima, kwa sababu sometimes TIRA MIS huwa haisomi vizuri.
Ni kweli, kampuni za bima sometimes hazipakii taarifa kwenye mfumo wa TIRA
 
Kuna habari imetapakaa ya muosha magari kupelekea ajari.

Umepewa kuosha gari kumbe unataka misele.

IMG_8065.jpg


Hizi sehemu za gereji na car wash vijana wengi waliopo ndio wanajifunzia magari yetu sana.

Mpaka sasa sitaki kuumpa mtu gari nisiye mjua na kuakikisha yupo nayo.

Car wash nyingi hawa waosha magari wadogo ukiwapa funguo usipo kuwa makini kuchunguza utakuta kuna vijikasoro ukute kachubua gari wakati wa kupaki, kagonga kidogo.

Alafu wewe unajiuliza nimefanya hivo lini.

Kwenye gereji hiki ni kisa nilikutana nacho South Africa Gauteng jamaa mmoja mbongo alikuwa kanunua gari sasa lilikuwa linataka matengenezo makubwa tu kupeleka gereji likatengenezwa na kukamilika kumbe pale gereji kuna vijana wameachiwa kushugulikia na gereji yenyewe zile ndani ya nyumba au gereji bubu.

Kijana wagereji kuona gari hipo safi usiku kaenda nayo club kutamba.
Wakati hana rudi ikamshinda na kupata ajari mpaka kutotamanika kabisa.

Agizo tu kwa wenye magari tuwe makini
 
Hiyo picha dodoma. Juzi kati hapo sanitizer car wash... mwamba kamuita dogo ofisini achukue gari akaoshe... dogo kaifikisha gari car wash freshi kabisa ila huyo dogo mwingine kihere here ngoja niisogeze kidogo ndo akaingia nayo barabarani chuma ikamshinda ndo majanga yakatokea ile kushuka tu kwenye gari dogo kachanganyikiwa sijui anapiga masarakasi tu kama kichaa
 
bima yenyewe ime expire
Nilikuwa sijui kuhakiki bima, nimeangalia muda huu wanasema bima yangu ime expire siku 1550 zilizopita. Nimegundua ni waongo au taarifa haziingizwi kwenye system kwani sijawahi kuchelewa kukata bima kamwe
 
Ondoka na ufungua baada ya kupack ili kukwepa hiyo risk. Unamwachia mwoshaji ili iweje?. Aidha kama gari lina bima kubwa itasadia kwa hiyo Incidence iliyotokea.
 
Umetia chumvi. Bima haijawahi kumnunulia mtu gari, baada ya assessment kufanyika na technical opinion kutolewa kuwa gari ipo beyond economical repair na au thamani ya matengenezo ni zaidi ya 75% ya thamani gari bima wanakulipa fedha inayolingana na thamani ya gari kabla ya ajali.

Kama gari inaweza kutengenezwa, si lazima kampuni ya bima kukuchagulia garage. Mteja anaweza kuchagua garage anayoona inafaa.

Vijana msiwe mnapenda habari za vijiweni.
Mkuu inategemea na kampuni husika, wengine hawakupi keshi na wana gereji zao. Gari inapelekwa gereji wanaitathmini gharama za matengenezo, unapewa invoice unaipeleka bima. Then unasubiri tu gari yako iwe tayari, ila pesa ugusi
 
Cari no namba DS bima inaonesha gari haina bima kwa siku 231 hivi! Je kuna uhalisia hapa?
Hi yo gari ilikuwa inatafuta damu ya kuondoka nayo..bahati mbaya imekosekana.. Kwa mzinga ule halafu mwana katoka salama..KWELI CHIZI HAROGWI TENA
toka lini uchawi mchawi akaloga chizi au kuua chizi, hapo ndo ujue sumaki haijanasa pengine muosha anahistoria yakulogwa tayari
 
Haiwezi kumsaidia kwakua hakua anaendesha yeye.
Wewe umechanganyikiwa kweli, kwani kwenye bima note leaf huwa wanaandika nani anatakiwa awe anaendesha? Huoni kwamba huyo kachukua gari bila ruhusa ya mwenye gari, hiyo ni sawa na kuiba tu
 
Hata ukiwa na premium, hapo kosa ni la mwenye gari. Utampaje funguo jamaa ambaye ukute hana hata leseni ya kuendesha chombo cha moto? Ni shida. Hapo ahesabu hasara
Alimpa funguo ili aendeshe au alimpa ili afungue na kuosha ndani?
 
Mwaka 2011 gari ya mzee ilipata ajali haikua bima kubwa iliyokatwa ila tulijibiwa haiwezi kua covered kwa kua dereva hakua yeye. Na gari haikua na 'non owner liability insurance'.

So since then. Mimi najua hivyo. Haya maneno yako ya jikoni sioni yanatokea wapi.
Sasa kama haikuwa na bima kubwa, unategemea nani atakulipa?
 
Habari wakuu, tunakumbushana kuweni makini na waosha magari mnapowaachia funguo wakati wa kuosha dinga zenu, Jamaa kapeleka gari aina ya Ford Ranger carwash huku Dom kaacha funguo na kuondoka, mwoshaji kamaliza akachukua ford ranger ya Mteja kwenda kutamba nalo, kilichotokea kala mzinga ndinga haitamaniki yeye kapata uchizi wa ghafla...
Huyu alikuwa Chizi hata kabla ya Tukio🤣🤣
 
Back
Top Bottom