George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 3,999
- 4,875
Habari wanajukwaa!?
Kuna sehemu nilifanikiwa kupita katika harakati zangu za usaka tonge, hiyo sehemu niliona hawana Photo Studio. Hii imenifanya nifikirie kufungua Photo Studio (ya kawaida) sehemu hiyo.
Sina uzoefu na hii biashara, nahitaji muongozo kutoka kwa watu wenye uelewa na taarifa sahihi kuhusu hii biashara ya upigaji picha.
Nahitaji kufahamu ni Camera ya aina gani inahitajika na bei yake, pia wapi naweza kuipata Camera hiyo.
Pia ninahitaji kufahamu ni vifaa gani vingine vya muhimu ambavyo ninahitaji kuwa navyo ili kufanya biashara hii. Pia nitafurahi nikijulishwa changamoto za biashara hii na wazoefu.
Ahsante!!!