Muongozo wa kuomba nafasi/kuhamia ndani ya Wizara

faruJoh

JF-Expert Member
Jul 20, 2019
213
161
Habari wadau,

Mimi ni mtumishi niliyejiendeleza katika course niliyohitimu(shahada). Nilisomea hasa masuala ya sera na utawala ndani ya elimu. Nilifika kuwasilisha CV yangu Utumishi wakaniambia naweza kuomba nafasi ndani ya Wizara ya Elimu (Katibu Mkuu n.k). Cha kushangaza hawajanipa muongozo vizuri, nini cha kuomba, namna ya kuomba na anuani, sijui ni ubinafsi au la.

Nimekuja kwenu mnipe muongozo wenye uzoefu na hili.
 
Habari wadau mimi ni mtumishi nilie jiendeleza, katk coz nilyohitimu(shahada)
Nilisomea hasa maswala ya sera na utawala ndani ya elimu nilifk wasilish cv yangu utumishi wakaniambia naweza kuomb nafasi ndani ya wizara ya elimu (katbu mkuu n.k)
Chakushangaz hawajanpa muungozo vzr nn cha kuomba namna ya kuomba na anuanu cjui ni ubinafs au la nimekuja kwenu mnipe muongoz wenye uzoefu na hili....
Kwa sasa uko wizara gani au idara gani? Na unataka kuhamia wizara gan?
Twende taratibu nitakuelekeza ukinijibu hayo
 
Back
Top Bottom