Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Hivi mkuu motherboard yeyote tu unaweza kufanyia kaz kubwa kama tu itakuwa ni gen ya mbele zaidi zenyew huwa hazina matoleo labda zinategemea sana generation tu!?
Motherboard unaangalia series na chipset ya motherboard

1. Series Mara nyingi kwa Intel zinakuwa shared kwa generation mbili, mfano gen ya 2 na 3 zilitumia series 1, ya 4 na 5 zikatumia moja, ya 6 na 7 ni moja etc.

Hii list ya series za Intel karibuni nyingi zinaanziwa na LGA kwa Jina lengine unaweza pia ukaita socket (Mahala ambapo ile processor inachomekwa)

Ambazo ni maarufu kwa kipindi chetu
-LGA 1155 gen ya 2 na 3
-LGA 1150 gen ya 4 na 5
-LGA 1151 gen Ya 6 mpaka 9
-AM4 kwa hizi Amd Ryzen

Hivyo kama unanunua motherboard ya LGA 1150 inamaana utakuwa limited kwa processor za gen ya 3 ama ya 4 tu.

2. Tukija kwenye chipset sasa kuna
-H series ambazo ni budget motherboard zinakuwa na mambo Machache ni simple bei zake ni rahisi na ndio zenyewe zinatumika kwenye computer zetu za kina dell na HP.
-B series hizi ni midrange zenyewe zina mambo mengi kushinda H ila hazifikii Z
-Z series zenyewe ndio zina kila kitu zina overclock cpu, ram, port za kutosha za hdd, na kila advance features.
Angalia hii Picha comparison za features
main-qimg-b09ad992766db824f39889da9812186c.jpeg.jpg

Hizi unazikuta kwenye socket yoyote ile

Hivyo ku conclude motherboard angalia socket gani unayohitaji kutokana na gen ya processor utakayotumia, kisha chagua features unayohitaji, mfano ukinunua processor kama i9 10900k unayohitaji ku over clock utahitaji Z series motherboard.
 
View attachment 1681460

Sawa mkuu ina maana gen 4 na 5 zinaweza kushare processor mfano una core !5 gen 4 unaweza kutoa ukaweka core !5 gen 5!?
 
Na hizo LGA kwenye motherboard unaweza kuziangalia upande gan!?
 
Yap inawezekana, useme tu hawakutoa cpu nyingi kwenye gen ya 5 kama ya 4. Mfano hakukuwa na m series kwenye laptop na desktop zilitoka tu i5 na i7 Chache.
 
Na hizo LGA kwenye motherboard unaweza kuziangalia upande gan!?
Kwa wataalamu a kiona tu Picha ya socket anajua, njia rahisi ni computer ikiwa on unatumia program kama cpu Z inakuonesha.

Pia kwenye box wanaandika, na ile motherboard Mara nyingi kwa nyuma pia wanaandika(utahitaji kuifungua na kuigeuza nyuma)

Uki pata model yake unai Google.
 
Shukran sana mkuu nimekuelewa
 
Nilitoa hdd kwenye desktop ya dell na kuiweka kwenye desktop ya hp, kisa cha kutoa hdd kwenye dell ni kwamba ilikuja na Ubuntu so nilipokua napiga window ikawa inagoma hvy nikatoa hdd na kuweka kwenye hp ikakubali tatizo nilipoweka tena kwenye dell basi ikagoma kabisa kusoma sijajua tatizo nini .
20210111_132403.jpeg
 
Nilitoa hdd kwenye desktop ya dell na kuiweka kwenye desktop ya hp, kisa cha kutoa hdd kwenye dell ni kwamba ilikuja na Ubuntu so nilipokua napiga window ikawa inagoma hvy nikatoa hdd na kuweka kwenye hp ikakubali tatizo nilipoweka tena kwenye dell basi ikagoma kabisa kusoma sijajua tatizo nini .View attachment 1683197
Maybe ina encryption?

Una Data muhimu? Kama hauna jaribu kuiformat.
 
nisaidie kunichekia Hi
Intel(R) core(TM) i3 CPU
M 350 @2.27GHz 2.26 GHz@Chief-Mkwawa
 
hii ni low end sana mkuu, utacheza tu games nyepesi za kizamani, pes13, fifa 14, gta zile za kina san Andreas etc
Mkuu mimi ningeomba tu, atleast unipe specifications za laptop ambayo ni latest na isizidi bajeti ya 850k, ambayo nitacheza games ngumu, kazi za graphics design, movies HD nitaona n.k..yn iwe generation ya ngapi, ram, HDD, na vikolokolo vingine ambavyo nikienda kwa supplier / seller napick tu na hawezi kunipiga
 
Back
Top Bottom