Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,629
- 39,612
- Thread starter
- #1,061
Zinakuwa sio mpya mkuu,Nmeona insta jamaa wanaziuza....ila bei za kule siziamini mana pc ina specs kubwa afu bei chee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinakuwa sio mpya mkuu,Nmeona insta jamaa wanaziuza....ila bei za kule siziamini mana pc ina specs kubwa afu bei chee
Mkuu hata kwa dawa hupati hio machine kwa 460,000 Hapo Kuna harufu ya utapeli nje nje, muulize kaona tangazo online? Awe makini na hao matapeli.Bei ni 460,000 Tshs
Product name (BRAND NEW)
HP Pavilion x360 - 14-ba078tx
Microprocessor
Intel Core i7-7500U (2.7 GHz base frequency, up to 3.5 GHz with Intel Turbo Boost Technology, 4 MB cache, 2 cores)
Flash cache
8 GB
Memory, standard
8 GB DDR4-2133 SDRAM (1 x 8 GB)
Video graphics
NVIDIA GeForce 940MX (4 GB DDR3 dedicated)
Hard drive
2TB 5400 rpm SATA SSHD
Display
35.56 cm(14) diagonal FHD IPS WLED-backlit multitouch-enabled edge-to-edge glass (1920 x 1080)
Keyboard
Full-size island-style backlit keyboard
Pointing device
HP Imagepad with multi-touch gesture support
Wireless connectivity
802.11a/b/g/n/ac (2x2) Wi-Fi and Bluetooth 4.2 combo
Expansion slots
1 multi-format SD media card reader
External ports
1 HDMI; 1 headphone/microphone combo; 1 USB 3.1 Type-C Gen 1 (Data up to 5 Gb/s); 2 USB 3.1 Gen 1 (Data transfer only)
Dimensions (W x D x H)
33.48 x 22.69 x 1.99 cm
Weight
Starting at 1.63 kg
Power supply type
65 W EM AC power adapter
Battery type
3-cell, 41 Wh Li-ion
Webcam
HP Wide Vision HD Camera with integrated dual array digital microphone
Audio features
Dual speakers; B&O PLAY; HP Audio Boost
#warrant 1year
Mkuu kuna mtu kaniuliza kama hiyo itamfaa au lah!!
Nb: anapenda kucheza games.
Bei ni 460,000 Tshs
Product name (BRAND NEW)
HP Pavilion x360 - 14-ba078tx
Microprocessor
Intel Core i7-7500U (2.7 GHz base frequency, up to 3.5 GHz with Intel Turbo Boost Technology, 4 MB cache, 2 cores)
Flash cache
8 GB
Memory, standard
8 GB DDR4-2133 SDRAM (1 x 8 GB)
Video graphics
NVIDIA GeForce 940MX (4 GB DDR3 dedicated)
Hard drive
2TB 5400 rpm SATA SSHD
Display
35.56 cm(14) diagonal FHD IPS WLED-backlit multitouch-enabled edge-to-edge glass (1920 x 1080)
Keyboard
Full-size island-style backlit keyboard
Pointing device
HP Imagepad with multi-touch gesture support
Wireless connectivity
802.11a/b/g/n/ac (2x2) Wi-Fi and Bluetooth 4.2 combo
Expansion slots
1 multi-format SD media card reader
External ports
1 HDMI; 1 headphone/microphone combo; 1 USB 3.1 Type-C Gen 1 (Data up to 5 Gb/s); 2 USB 3.1 Gen 1 (Data transfer only)
Dimensions (W x D x H)
33.48 x 22.69 x 1.99 cm
Weight
Starting at 1.63 kg
Power supply type
65 W EM AC power adapter
Battery type
3-cell, 41 Wh Li-ion
Webcam
HP Wide Vision HD Camera with integrated dual array digital microphone
Audio features
Dual speakers; B&O PLAY; HP Audio Boost
#warrant 1year
Mkuu kuna mtu kaniuliza kama hiyo itamfaa au lah!!
Nb: anapenda kucheza games.
Mie nilimwambia, nahisi kuna utapeli fulani, lakini nilihitaji kusikia zaidi kutoka kwa walionizidi.Mkuu hata kwa dawa hupati hio machine kwa 460,000 Hapo Kuna harufu ya utapeli nje nje, muulize kaona tangazo online? Awe makini na hao matapeli.
Ila Ni machine nzuri na games nyingi kwa 720p inacheza.
Nahisi itakuwa used, ila naona kama kuna usanii,Yani 460??alafu mpya??sidhani mzee
Ila kama kweli fanya mpango na mimi nataka hii machine.
Hata used mkuu Ni bonge la deal, mpya Kama hio Ni 1m+Nahisi itakuwa used, ila naona kama kuna usanii,
Ngoja nihakikishe ikiwa fresh, nitakupanga.
Saw mkuu, shukrani kwa mchango wako.Hata used mkuu Ni bonge la deal, mpya Kama hio Ni 1m+
Mkuu core 2 duo Ni kabla ya hizi i3/5/7 Ni za zamani kidogo Kama miaka 10 iliopita Ila matumizi ya kawaida zinafanya vizuri tu.intel (r) core (TM)2 duo CPU e7500 @2.93 ghz
Hii ipoje chief...samahani kwa usumbufu mkuu Chief-Mkwawa
sina uwezo wa kuondoa hii cpu na kuweka cpu kubwa na latest ya sasa hivi chief?Mkuu core 2 duo Ni kabla ya hizi i3/5/7 Ni za zamani kidogo Kama miaka 10 iliopita Ila matumizi ya kawaida zinafanya vizuri tu.
Mkuu core 2 duo Ni kabla ya hizi i3/5/7 Ni za zamani kidogo Kama miaka 10 iliopita Ila matumizi ya kawaida zinafanya vizuri tu.
na kama uwezekano upo chief gharama zake zinaweza kufikia kiasi gani? maana hii mashine pamoja na kuijaza RAM 12GB ila sioni umuhimu wake maana inashindwa speed na mashine hapa pembeni ina ram 4gb tu ila speed ni nzuri kabisa.sina uwezo wa kuondoa hii cpu na kuweka cpu kubwa na latest ya sasa hivi chief?
Mkuu huwezi badili kwenda cpu ya kisasa maana cpu unabadili kwenda same generation. Mfano i3 gen ya 7 unaweza ukaitoa na kuweka i7 gen ya 7.na kama uwezekano upo chief gharama zake zinaweza kufikia kiasi gani? maana hii mashine pamoja na kuijaza RAM 12GB ila sioni umuhimu wake maana inashindwa speed na mashine hapa pembeni ina ram 4gb tu ila speed ni nzuri kabisa.
unanishaurije hapa chief
Kuna jamaa tupo nae kwenye Group letu la mafundi simu upande wa software ye kafanikiwa kubadili processor kutoka AMD (kama sikosei) kwenda core i3 3rd generationMkuu huwezi badili kwenda cpu ya kisasa maana cpu unabadili kwenda same generation. Mfano i3 gen ya 7 unaweza ukaitoa na kuweka i7 gen ya 7.
Kwa core 2 duo unaweza ukaiongeza perfomance kwa kuweka sad. Itaifanya iwe fast lakini still hutaweza kufungua apps na games nzito.
Kama hizo ram Ni za ddr3 unaweza tafuta machine ya kisasa na ukahamisha vitu vyako Kama ram, HDD na Mambo mengine kwenda hio machine mpya.
Haiwezekani mkuu unless kabadili motherboard nzima na kuweka ya Amd,Kuna jamaa tupo nae kwenye Group letu la mafundi simu upande wa software ye kafanikiwa kubadili processor kutoka AMD (kama sikosei) kwenda core i3 3rd generation
Sina uhakika kama ni AMD ila alisema ni hizi zinazotoka bila shida watu tukamwambia haitawezekana mwisho wa siku akatutumia picha za processor aliyoagiza ebay na baada ya kuipachika akatutumia pichaHaiwezekani mkuu unless kabadili motherboard nzima na kuweka ya Amd,
Sina uhakika kama ni AMD ila alisema ni hizi zinazotoka bila shida watu tukamwambia haitawezekana mwisho wa siku akatutumia picha za processor aliyoagiza ebay na baada ya kuipachika akatutumia pichaHaiwezekani mkuu unless kabadili motherboard nzima na kuweka ya Amd,
Mkuu kinachofanywa ubadili processor Fulani Ni motherboard, kwenye motherboard kunakuwa chipset husika ambayo inakuwa na support ya hizo processor.Sina uhakika kama ni AMD ila alisema ni hizi zinazotoka bila shida watu tukamwambia haitawezekana mwisho wa siku akatutumia picha za processor aliyoagiza ebay na baada ya kuipachika akatutumia picha
Kwa maelezo yake alisema alianza kufuatilia mtandaoni ni processor ipi inayoweza kuingiliana na pc yake
Bahati mbaya niliflash simu na nilisahau kufanya backup ya whatsapp chart ningetupia screenshot humu