Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Samahan mkuu iv..kariakoo ni maduka gan yanauza pc used lkn zipo vizur na cheap kidogo, nimeuliza hiv kwa maana ya kutokuzunguka sana mana maduka mengi. Asnte
 
Laptop mkuu...afu mfano km hii mkuu utajuaje generation ya ngap hii pc..hp elitebook 8440p i3 330m
ukiona namba zake hazipo kwenye maelfu hizo i series ujue ni gen ya kwanza.

laptop used online site kama kupatana, group za fb etc unazipata nzuri na kule kuna choice nyingi.

ila pia kkoo mtaa wa uhuru, likoma, machinga complex pia unazipata sema nyingi ni gen ya 2 na ya 3.
 
Sawa mkuu shukran sana.na kati ya hp,dell, ipi ni best brand mkuu..
 
mkuu brand zote ni sawa, sema kuna sub brand ambazo zikiwa mpya zinakuwa ghali sana milioni 1 kupanda hizi ukizipata ni nzuri zaidi

mfano
-lenovo thinkpad
-dell alienware au xps
-asus Rog
-hp spectre, envy etc

hizo unakuta apart from specs zinakuwa na vitu vya ziada ambavyo laptop za kawaida hazina kutegemeana na category.

mfano asus rog na dell alienware ni laptop za gaming, apart from specification utakuta zina mafeni mawili ya kupoza, uwezo mkubwa wa ku upgrade ram, optimization nzuri ya memory etc.

lenovo thinkpad ni ya biashara inakuwa ngumu kuharibika, wanaeka extra layer ya kulinda laptop na vitu kama vumbi, port nyingi etc

vitu kama hivyo laptop za kawaida huvikuti
 
Mkuu msaada. Leo akat natumia PC ikiwa kwne chaj umeme ukakata. Cha ajab PC nayo ikazima lakin betri ilkua imechomekwa nkajarib kuiwasha ikagoma. Umeme uliporud nkaichomeka kwne chaji tena ila ile taa inayonotify umeme unapita haiwaki. Nkaiwasha ikanambia "press F2 to change time and date". Nkabadlsha ikawaka freshi ila nkichomoa tuu kwne Chaj inazima. Inawezekana n kwasaab ya umeme??
 
pengine battery imekaa vibaya inatumia umeme wa adapter moja kwa moja.

jaribu kuichomoa hio battery na kuirudisha tena.
 
Back
Top Bottom