Muongozo wa kisheria kuhusu tabia mwalimu mlawiti

UZZIMMA

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
406
456
Mwanangu mimi (mtoto wa dada yangu) amerudi analia, akisema amelawitiwa. Kwa uchungu nikamchukua mwanangu nikampeleka polisi. Nikapewa PF3 Tukaenda hospitali na gari la polisi. Baada ya mwanangu kufanyiwa uchunguzi hapo hospitali, daktari akanipa majibu yafwatayo.

"USHAHIDI HAUJAPATIKANA KWA SABABU, Hakuna majeraha yoyote yaliopatikana. Hakuna dalili ya kuwepo mbegu za kiume, na sehemu ya siri yake bado ipo seald.

Askari akanishauri nimshitaki mtu huyo kwa kifungu chengine, SIO KULAWITI,

Kutokana na maelezo ya mwanangu inadhihirisha wazi mtuhumiwa huyo alikifanya kitendo hicho, kwa kumtia vidole mwanangu huku na kumtumbukiza sehemu ndogo ya uume na ndo maana ushahidi haupatikani.

Na kwa mujibu wa maelezo ya wanafunzi wengine wa madrasa hio, mwalimu huyo ni kawaida yake. Je nifwate taratibu gani za kisheria nimtie hatiani mwalim huyo wa madrasa? Hakika anaharibu watoto wa kiume tu. La kuongeza mwanangu mwengine ashawahi kufanyiwa jambo kama hilo kisha akavutwa uume wake kwa nguvu.

Naishi Tanzania visiwani, japo ni mwenyeji wa bara. Nina uchungu zaidi ya mtu anayechunwa ngozi akiwa mzima, tena kwa msumeno butu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujamuuuwa tu ,yaani...kamvunja.mtoto...wa kwanza amfanye gay bado ukampelekea mtoto mwingine
Kwanii lazima mtoto aeende madrsa akiwa mdogo si ataenda hata akiwa sekondari kwanza huwa kuna vipindi vya dini

Hapana, nimejua kuwa wa kwanza amfanyiwa baada ya wa pili kufanyiwa jana 08/09/2017

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshitaki kwa kosa la kudhalilisha na jaribio la kulawiti, au itisha nguvu ya umma mjichukulie sheria mikononi
 
Mungu atuepushie ! Watoto wetu wa kiume leo tunawachunga zaidi ya wa kike !! Hi vi wanaume baadhi kwanini mnayafanya haya? ? Mbona dunia siyo salama kabisa kwa watoto? Halafu watoto wakiwa mashoga mnawasema wakati ushetani mmeuleta we nye we? ?mnalawiti, mnabaka. Kizazi kinaharibika mnamaliza wanaume na watoto wa kiume. Mnamalizana wenyewe kwa wenyewe. Eti ndiyo mnasema wan awake hawapendani mi nafikiri wanaume ndiyo hawapendani
 
Wakina mama tufundishe watoto wetu kwa uwazi. Tuwafundishe kujitetea na kujiepusha na wanaume wenye dalili za ufiraji. Tuwafundishe kulingana na mafundisho ya dini zetu. Tuwaombee wanapokuwa wakitembea peke yao. Zaidi tuwafuatilie mashuleni, madrasa.....huko bording sishauri apelekwe mtoto hata iweje kwani mtoto bado hajawa na ujasiri wa kujitetea kujisimamia na kujilinda. Wanapocheza pia tuwe na tabia ya kuwacheki mara kwa mara .
 
Tatizo watoto wanaanza..kufirana wenyewe kwa wenyewe wakiwa wadogo kwa ajili ya influence
Mtoto ambaye kashafanyiwa...hivyo...au anaishi na.shoga fresh nyumbani akamfirisha taratibu naye anaanza kubashia wenzake ...hii huwa hatari zaidi wakibalehe ...wanasema ..anayeingiliwa...akianza kukojolewa ana develop muwasho ambazo...wao...huziita nyege ..or...something
Unao uwezo wa kumkomboa mtoto..kama hajafika stage ya kuingiliwa na...akakojolewa ...
Nimepata kuongea na daktari aliyetafiti juu ya hii hali ....
Hamu ya ngono ya gay huwa...ni unstopable...ni kama...tumbo...la kuhara ...bora mwanamke akiwa na.hamu ana staha Gay akiwa na hamu hana...aibu kabisa...kabisa...wala ufahamu anaweza fanya kituko hata kwenye gari au chooni...

Ndio maana sifa nyingine ya Gays ni...watu wasiokuwa na mshipa...wa...aibu hata kwenye maisha ya kawaida na pia huwa watu wakatili sana ..lakini pia huwa na...sura ya ukarimu pale wanapokuwa...wanataka kujenga urafiki ..
Gay haoni...shida kujipendekeza kwa...mtu
 
Mwanangu mimi (mtoto wa dada yangu) amerudi analia, akisema amelawitiwa. Kwa uchungu nikamchukua mwanangu nikampeleka polisi. Nikapewa PF3 Tukaenda hospitali na gari la polisi. Baada ya mwanangu kufanyiwa uchunguzi hapo hospitali, daktari akanipa majibu yafwatayo.

"USHAHIDI HAUJAPATIKANA KWA SABABU, Hakuna majeraha yoyote yaliopatikana. Hakuna dalili ya kuwepo mbegu za kiume, na sehemu ya siri yake bado ipo seald.

Askari akanishauri nimshitaki mtu huyo kwa kifungu chengine, SIO KULAWITI,

Kutokana na maelezo ya mwanangu inadhihirisha wazi mtuhumiwa huyo alikifanya kitendo hicho, kwa kumtia vidole mwanangu huku na kumtumbukiza sehemu ndogo ya uume na ndo maana ushahidi haupatikani.

Na kwa mujibu wa maelezo ya wanafunzi wengine wa madrasa hio, mwalimu huyo ni kawaida yake. Je nifwate taratibu gani za kisheria nimtie hatiani mwalim huyo wa madrasa? Hakika anaharibu watoto wa kiume tu. La kuongeza mwanangu mwengine ashawahi kufanyiwa jambo kama hilo kisha akavutwa uume wake kwa nguvu.
Naishi Tanzania visiwani, japo ni mwenyeji wa bara. Nina uchungu zaidi ya mtu anayechunwa ngozi akiwa mzima, tena kwa msumeno butu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa umekosa ashaidi wa moja kwa moja....nashauri usitumie hasira kwenye ili swala we mfukuze mwiz kimyakimya kwa kutega mitego yako mi naamin ataingia mkenge zen usisahau kutupa mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza muachishe mtoto hiyo madrasa alafu nicheki inbox nikuelekeze namna ya kumalizana na mabaradhuli kama hao.
 
Thats what we call indecent assault under s.156 of Penal Code and you only need enough evidence from Doctor through PF3 and the child evidence it also be corraborated so as to get conviction of life sentence
 
Back
Top Bottom