Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

nasikia laptop zanzibar ni bei rahis kuliko hapa Dar es salaam.kwa mwenye anaejua kama zina ubora atupie mrejesho.Pia zanzibar nasikia bei za redio.smart TV,flatscreen, mafriji na vifaa vingine vya umeme bei ni rahis na ni bora pia.kwa anayejua atupe mrejesho.Ahsanten

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli vitu kule ni very cheap!!! Ila ni mitumba
 
Laptop ninayotumia kwa Video editing ni Acer Intel Celeron Processor 575(2.0ghz, 667Mhz FSB, 1MB L2 Cache)
15.4 WXGA LCD
Up to 220 MB Mobile Intel Graphics Media Accelerator 4500M
1GB DDR2
160 GB HDD
DVD-Super Multi DL
802.11b/g WLAN.

Naomba ushauli nitafute nyingine au naweza kuiboresha hihii nikaendelea kuitumia?

Kama Ni Video Editing Jitahidi Utafute Pc yenye Processor Kubwa kama Core i5 au 7, Card iwe nvidia atleast GeForce 720 kuendelea kulingana na utavyopangilia Budget yako

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
 
computer hazichaguliwi hivyo kuna cimputer ya kila namna zinazolenga watu tofauti tofauti. mpaka utaje vitu hivi ndio atleast mtu anaweza kukushauri
-budget yako
-unataka kuitumia kwa ajili gani
-software gani kubwa una plan kuitumia
Dingi msada me nataka laptop ya kusomea na game hua nacheza
Bajeti yangu ni 700,000
Napata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niongeze kama Tsh ngapi ivi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Safe budget kwa i3 ni 800k, chini ya hapo unapata ila inabidi utulie utafute, zipo laptop za i3 4th, 5th gen zinazoishiwa na U sio nzuri kwa gaming. Umekosa kabisa angalau i3 6th gen ila gen ya 8 ni nzuri zaidi (ni kama i7 ya gen ya 7) maana ina hyperthread na turboboost ambazo zinasaidia sana kwenye games.

Kwa majina tafuta cpu hizi.
i3 6006u
i3 6100u
i3 7100u
i3 8130u

Hio 8130 ndio iwe top priority yako.
 
Iyo i3 8th gen ambayo nisawa na i7 7th gen ni ipi kk

Back
Top Bottom