Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

Advanced Diploma si imefutwa dogo...hapo wewe ni wa Diploma tu mkuu (ila komaa utafika) bahati mbaya na wewe ni miongoni mwa waliosoma namba ingekuwa mwaka juzi ungeingia University
 
iv sisi wabongo nani katuloga. yaani kila kitu tunataka tuulize tu. iv mtu mwenye plan za kusomaa kweli anashindwa kuchukua mda wake kidogo kwa mb alizozitumia kutype apa. aingie TCU aangalie requirement. kuna vitu vya kuuliza sio hiv aise

any way kwa waliograduate 2014 na 2015. vigezo vyao ni C mbili since c yao inathamani ya 2. so total mark ni 4 points. but kwa miaka mingine apart from that ni two d yenye thaman pia 2.
 
Watu kama hawa ni wavi vu mkuu, basi unaweza kukuta deadline ya kutuma maombi imefika baadhi ya watu watakuja kuulizia kuhusu application..
Ni sheeDAH
 
Habari za mda huu wana JF,

Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2017. Nina ufaulu wa dv III ya point 17 na nimesoma CBG. Naombeni ushauri je naweza kwenda chuo hata kwa diploma? Kama haiwezekan Form four nina Chem D, Phyis F, Geo C, Hist D, Math C, kisw B, Lang C, Civics D.

Naweza kwenda chuo gani cha afya kwa ngazi ya diploma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mda huu wana JF.Mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2017.Nina ufaulu wa dv III ya point 17 na nimesoma CBG.Naomben ushauri Je naweza kwnda chuo? Hata kwa diploma? Kama haiwezekan Form four nina Chem D,Phyis F,Geo C,Hist D,Math C,kisw B,Lang C,Civics D.Naweza kwenda chuo gan cha afya kwa ngaz ya diploma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Biology ulipata ngapi O level?

sent from Sokoro nkorambokande
 
Back
Top Bottom