Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

Jamani mimi nimepata
Physics-F
Chemistry-F
Mathematics-F
General Study-F

Naweza kupata Kozi Gani Chuo? Halafu Hapo naweza kwenda Udsm?
 
NAMNA YA KUCHAGUA CHUO NA KOZI NZURI.
Katika kipindi hiki tunaposubiri mlango wa kuomba maombi ya chuo ufunguliwe,maswali kama;
• Nichague chuo gani?
• Nisome kozi gani?
• Kozi gani ni nzuri?
• Nimesoma kombi ABC,nichague kozi gani?
• Nimepata credits ABC,je naweza soma kozi gani?
...ni maswali ya kawaida kujiuliza na ni maswali yanayowatesa wengi bila kupata majibu sahihi.
Nilifanya makosa makubwa nilipokuwa nataka niende chuo,makosa ambayo nisingependa rafiki zangu na ndugu zangu form six myafanye mtakapokuwa mnafanya maombi ya vyuo.Nitaeleza zaidi.

Lakini hivi ni vitu vya kuzingatia utapokuwa unachagua chuo..
 
Wakuu habarini za humu jamvini. Binti yangu amemaliza form six mwaka huu amepata division II ya point 11. Alisoma HGK. Swali langu ni kwamba, je ana qualify kusoma degree ya sheria udsm au chuo kikuu chochote cha serikali? Natanguliza shukrani za dhati.
 
Ngoja waje. Hata mimi natamani kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habarini za humu jamvini. Binti yangu amemaliza form six mwaka huu amepata division II ya point 11. Alisoma HGK. Swali langu ni kwamba, je ana qualify kusoma degree ya sheria udsm au chuo kikuu chochote cha serikali? Natanguliza shukrani za dhati.
Udsm kwa sheria uhakika ni division One ya point 3 hadi 5 kwa wavulana na kwa wasichana ni division One ya point 3 hadi point 6
 
Wakuu habarini za humu jamvini. Binti yangu amemaliza form six mwaka huu amepata division II ya point 11. Alisoma HGK. Swali langu ni kwamba, je ana qualify kusoma degree ya sheria udsm au chuo kikuu chochote cha serikali? Natanguliza shukrani za dhati.
ud kusoma sheria uwe na one ya mwanzon angalau mwisho saba hv au nane chini ya hapo ajarbu bahat sehem nyingne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habarini za humu jamvini. Binti yangu amemaliza form six mwaka huu amepata division II ya point 11. Alisoma HGK. Swangu ni kwamba, je ana qualify kusoma degree ya sheria udsm au chuo kikuu chochote cha serikali? Natanguliza shukrani za dhati.
Ushauri wa bure aombe Tumaini University au Saut labda ila kwa Udsm hizo alama hawezi kuchaguliwa Sheria .Alafu kigezo kingine kwenye kuchaguliwa sheria kwenye vyuo vingi ni ufaulu wa somo la English Language kwa Advance Level.So aliyesoma HGK chance ya kuchaguliwa labda awe alifaulu vizuri English kwa matokeo ya O Level
 
Wakuu habarini za humu jamvini. Binti yangu amemaliza form six mwaka huu amepata division II ya point 11. Alisoma HGK. Swali langu ni kwamba, je ana qualify kusoma degree ya sheria udsm au chuo kikuu chochote cha serikali? Natanguliza shukrani za dhati.
Huyo muwahishe tudako tu hakuna namna
 
Mimi nilikuwa na II ya 10, CCD nilipata 2011 Ba ed, atapata.

swali: amekosa kingine cha kusoma hadi asome ualimu kwa usawa huu?

2015 wahitimu 30+ elfu
2016. 30+
2017, 30+
2018, 30+
2019, 30+

wewe unahitimu kitaa kina 140,000 bonazi!

Mimi nisipotumbuliwa au kudanja nastafu 2050,

karibi
 
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita nahitaji kufahamu unapo-apply vyuo una-apply vingapi na pia ni ruksa ku-apply course zaidi ya moja katika chuo kimoja?
 
Back
Top Bottom