MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

Una amini ktkt digital???
Ndio mkuu kwa sababu nilishashudia kwa macho yangu zaidi ya gari moja likitokea hilo swala kwa maana km zilirudishwa nyuma ila baada ya kutembea zika skip into original kilometres mkuu.
 
Labda hzo odometer isiwe digital
Lakini kama ni digital hata ukirudusha nyuma ukitembea umbali flan zina retain kwenye original milage mkuu hapo ndo utamkamata mwizi wako.
Wazungu sio wajinga.
Kaka magari ya kisasa mengi ni digital na ndo hizo wanazochezea kwa sasa!!
 
Labda hzo odometer isiwe digital
Lakini kama ni digital hata ukirudusha nyuma ukitembea umbali flan zina retain kwenye original milage mkuu hapo ndo utamkamata mwizi wako.
Wazungu sio wajinga.

Hakuna kitu kama hicho
 
Unalolisema ni kweli kabisa. Wabongo sio waaminifu kabisa. Unakuta mtu anakwambia anauza gari yake, alilinua toka Japan likiwa used miaka zaidi ya mitano iliyopita, lakini leo anapotaka kuliuza anasema limetembea Km chini ya laki moja!!
Wengi ni waongo!!hapo dawa yake mwambie akuoneshe doc za gari alizopewa toka huko alipoagiza,akikunyima achana nae.
 
Labda hzo odometer isiwe digital
Lakini kama ni digital hata ukirudusha nyuma ukitembea umbali flan zina retain kwenye original milage mkuu hapo ndo utamkamata mwizi wako.
Wazungu sio wajinga.
Huwajui watu wewe mkuu
 
Wadau vipi na hili la watu WA show room, kubadilisha piston za gari kabla ya kuliuza? Jamaa yangu alifanyiwa hivyo mpk ikamlazimu kufunga piston mpya OG ndio gari ikatulia.
 
Kabla hujanunua gari iliotumiwa kwanza ulizia kadi ya inspection, kama hana hio muulize fundi wake wa gari yupo wapi. Akikwambia alipo ichukuwe gari na mpelekee huyo fundi na muulize mara ya mwisho alichange oil ikiwa na mileage gapi. Utakapo ipeleka hakikisha mmiliki na fundi huwapi muda wa kuongea na wala usiulize maswali mbele ya mmiliki
 
Wadau vipi na hili la watu WA show room, kubadilisha piston za gari kabla ya kuliuza? Jamaa yangu alifanyiwa hivyo mpk ikamlazimu kufunga piston mpya OG ndio gari ikatulia.
Aisee yadi nako ndo majanga mengine,kuna ambao sio waaminifu wanafanyaga hyo michezo!
 
Kabla hujanunua gari iliotumiwa kwanza ulizia kadi ya inspection, kama hana hio muulize fundi wake wa gari yupo wapi. Akikwambia alipo ichukuwe gari na mpelekee huyo fundi na muulize mara ya mwisho alichange oil ikiwa na mileage gapi. Utakapo ipeleka hakikisha mmiliki na fundi huwapi muda wa kuongea na wala usiulize maswali mbele ya mmiliki

Wezi nao wapo jf..allert is wise but can be misused against as well..atampanga fundi
 
Hivi ukinunua gari kwa mtu gharama ya kulipa TRA wakati wa kutransfer kadi inakuwa kiasi gani..maana nimesikia ni 18% ya bei uliyonunulia gari, sasa mfano nimenunua IST milion 9 nikilipa na 18% ya transfer inafika milion 10.6 , sasa hapa si bora niagize Japan au ikoje hapa
 
Bado wapo binadamu waaminifu sana duniani. Nimenunua Brevis wiki mbili zimepita, jamaa aliyeniuzia akanambia niikague na kunipa wiki ya kuitumia na kwamba nikikuta ina tatizo la kiufundi nimrudishie. Gari hizi ni tamu balaa, they are eye catching luxury cars.
 
Samahani nauliza taratibu za kuuziana gari zikoje Kama umenunua kwa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani nauliza taratibu za kuuziana gari zikoje Kama umenunua kwa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza kabisa ni kadi ya gari na pia kabla ya kununua nenda ofisi za TRA kupata details za gari kama mmiliki wa gari hiyo ni halali pia utajua kama gari ni ya wizi au la.

Utajua kama gari inadaiwa (notification za police) tembea na fundi wa magari ili ujue ubora wa gari yenyewe
 
Back
Top Bottom