MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

Mtafute huyu jamaa anaitwa mrangi
Rrondo Mkuu
Kuna hizi Audi A4 hasa ya 2010 na 2011 nimezielewa sana mkuu.
Sema nachanganyikiwa mara kuna 1.8TFSI mara 1.8FSI mara 1.9TDi mara 2.0 TFSI ama 2.0TDi ..
Sasa mkuu hapo nzuri ni ipi hasa...hasa kwa fuel consumption....natafuta ina engine ambayo inakula mafuta kidogo kuliko zote....isipungue 20kpl.

Pili, Mkuu hizi Audi ipi ni nzuri ya Diesel ama Petrol??
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TFSI ni turbo stratified fuel injection
FSI ni fuel stratified injection(haina turbo)
Zote ni direct injection ila yenye turbo ina nguvu zaidi. Hizo 1.8/2.0 ni ukubwa wa engine yaani cc1800/2000
TDi ni Turbo diesel direct injection....diesel engine yenye turbo.

Gari ya diesel ni nzuri kwenye utumiaji mafuta lakini service yake ni expensive, na mafuta yetu machafu haichelewi kuua nozzles, injector pump etc.
Gari ya petrol service yake sio expensive sana.
Kati ya hizo inayokwenda 20km per liter ni 2.0TDi
 
Asante Mkuu...
So unanishauri niachane na iyo Audi A4 ya Diesel??

Na vp izo TFSI na FSI ya 1.8/2.0 ulaji wake wa mafuta "average" ni kama km ngapi kwa lita??

Na TFSi na FSI ipi nzuri kwa safari za masafa marefu km dar-arusha ,dar-mwanza/geita?

Na mfano iyo 2.0 TDi ..approximately service yake inacost bei gani na inaweza kuchukua muda gani kutoka service moja hadi nyingine?

Pia ulisema A4 zina 'gearbox issues' hiyo kurepair inaweza kucost bei gani kwa ujumla?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna gari mbili ambazo zinanivutia zaidi. Toyota Brevis na Nissan Xtrail. Kinachonitisha ni taarifa ya kuwa mafundi wengi hawaziwezi kuzitengeneza zipatapo hitilafu. Wakuu watumiaji wa hizi gari tufumbueni macho kabla ya kuchukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wadau nataka ushauri wenu, nilienda ukweni ku salimia nikakuta gari ya wife babu yake ime paki imechoka nikatania niuzie babu kasema 1.5M nimpe tumekubaliana gari ni corolla e110 zile za uk version nzuri uki google ila halisi imechoka ila ana sema nzima body engine gear box vyote havi jaguswa. nataka ni kiipata ni pimp moto, nimeshalipia installment ya kwanza gari iko garage kwa body na repair ndogo ndogo. ila history hio gari babu ana itumia kwenye ruff road yani mtani maana vibali viliisha, yeye ni msikitini na nyumbani basi, ila fundi niliongea nae ana sema gari bado kabisa hata body bado.
0_ade36_10486b52_L.jpg
hio picha ni mfano nataka ifikie hapa kwa ku pimp tuh
 
IMG-20170908-WA0004.jpg
IMG-20170908-WA0004.jpg
Mkuu Rrondo naomba maelezo yako juu hii gali inaenda kua yangu wiki ijayo, hiyo ni vitz ya kizazi cha pili. Je ni mzuri au huwa zinasumbua? Hii ni ya 2007 cc 1290 ina km 26000. Nipeni ushauri juu ya gari hii tafadhali.
 
View attachment 599071 View attachment 599071 Mkuu Rrondo naomba maelezo yako juu hii gali inaenda kua yangu wiki ijayo, hiyo ni vitz ya kizazi cha pili. Je ni mzuri au huwa zinasumbua? Hii ni ya 2007 cc 1290 ina km 26000. Nipeni ushauri juu ya gari hii tafadhali.
Toyota brand kwa bongo sijawahi kuona eti imepaki kwa ubovu ama kukosa spea...VITZ ni sawa kama ni DISMINDER (usiejali dhihaka za watoto was mjini) wenyewe wanaziita "FREEZER"
 
Kuna gari mbili ambazo zinanivutia zaidi. Toyota Brevis na Nissan Xtrail. Kinachonitisha ni taarifa ya kuwa mafundi wengi hawaziwezi kuzitengeneza zipatapo hitilafu. Wakuu watumiaji wa hizi gari tufumbueni macho kabla ya kuchukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
BREVIS imetulia sana barabarani kwa safari ndefu hasa ukiwa una mwendo (zaidi ya 100 kph, tatizo tochi/faini) pia zinabugia mafuta mithili ya PRADO. Xtrail jiandae kwa kukusanya namba za mafundi magari angalau 10.
 
Toyota brand kwa bongo sijawahi kuona eti imepaki kwa ubovu ama kukosa spea...VITZ ni sawa kama ni DISMINDER (usiejali dhihaka za watoto was mjini) wenyewe wanaziita "FREEZER"
Hahahaha haya bhana mkuu, sema wanazoziita Freezer ni passo bhana.
 
Kuna watu niliwa mention kwenye hii thread. Ni watu ambao wana michango mizuri sana hasa inapokuja suala la magari. Lakini @Moderaor Invisible whoever has the power/authority kafuta hayo majina,sijajua nini lengo lake au siruhusiwi ku mention mtu kwenye thread!
Hawataki ku-promote biashara ya mtu! Labda uilipie
 
Back
Top Bottom