Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,182
- 1,490
Asante kwa ushauri maana hali sio nzuri kila mtu analalamikia magari yanayouzwa hapa Nchini yaliyotumika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu
Rrondo MkuuMtafute huyu jamaa anaitwa mrangi
TFSI ni turbo stratified fuel injectionRrondo Mkuu
Kuna hizi Audi A4 hasa ya 2010 na 2011 nimezielewa sana mkuu.
Sema nachanganyikiwa mara kuna 1.8TFSI mara 1.8FSI mara 1.9TDi mara 2.0 TFSI ama 2.0TDi ..
Sasa mkuu hapo nzuri ni ipi hasa...hasa kwa fuel consumption....natafuta ina engine ambayo inakula mafuta kidogo kuliko zote....isipungue 20kpl.
Pili, Mkuu hizi Audi ipi ni nzuri ya Diesel ama Petrol??
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu...TFSI ni turbo stratified fuel injection
FSI ni fuel stratified injection(haina turbo)
Zote ni direct injection ila yenye turbo ina nguvu zaidi. Hizo 1.8/2.0 ni ukubwa wa engine yaani cc1800/2000
TDi ni Turbo diesel direct injection....diesel engine yenye turbo.
Gari ya diesel ni nzuri kwenye utumiaji mafuta lakini service yake ni expensive, na mafuta yetu machafu haichelewi kuua nozzles, injector pump etc.
Gari ya petrol service yake sio expensive sana.
Kati ya hizo inayokwenda 20km per liter ni 2.0TDi
HAHHAHAHH ITAKUA WAMEKULIZA WEWE... AHAHAHAHHMadalali Ni mambwa sana
Passo huwa naziona kama freezer yani zilivokaa.Passo 4ever
Toyota brand kwa bongo sijawahi kuona eti imepaki kwa ubovu ama kukosa spea...VITZ ni sawa kama ni DISMINDER (usiejali dhihaka za watoto was mjini) wenyewe wanaziita "FREEZER"View attachment 599071 View attachment 599071 Mkuu Rrondo naomba maelezo yako juu hii gali inaenda kua yangu wiki ijayo, hiyo ni vitz ya kizazi cha pili. Je ni mzuri au huwa zinasumbua? Hii ni ya 2007 cc 1290 ina km 26000. Nipeni ushauri juu ya gari hii tafadhali.
BREVIS imetulia sana barabarani kwa safari ndefu hasa ukiwa una mwendo (zaidi ya 100 kph, tatizo tochi/faini) pia zinabugia mafuta mithili ya PRADO. Xtrail jiandae kwa kukusanya namba za mafundi magari angalau 10.Kuna gari mbili ambazo zinanivutia zaidi. Toyota Brevis na Nissan Xtrail. Kinachonitisha ni taarifa ya kuwa mafundi wengi hawaziwezi kuzitengeneza zipatapo hitilafu. Wakuu watumiaji wa hizi gari tufumbueni macho kabla ya kuchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha haya bhana mkuu, sema wanazoziita Freezer ni passo bhana.Toyota brand kwa bongo sijawahi kuona eti imepaki kwa ubovu ama kukosa spea...VITZ ni sawa kama ni DISMINDER (usiejali dhihaka za watoto was mjini) wenyewe wanaziita "FREEZER"
Hawataki ku-promote biashara ya mtu! Labda uilipieKuna watu niliwa mention kwenye hii thread. Ni watu ambao wana michango mizuri sana hasa inapokuja suala la magari. Lakini @Moderaor Invisible whoever has the power/authority kafuta hayo majina,sijajua nini lengo lake au siruhusiwi ku mention mtu kwenye thread!