MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

Magari yangu mengine yote niliyaagiza directly kutoka nje ya nchi. Lakini kwa sasa kutokana na mfumo mpya wa ukaguzi bandarini nk, nimeamua kufanya jaribio la kununua magari locally ndani ya Tanzania.

Ukinunua kiwanja, lazima uhusishe serikali ya kijiji

1. Vipi kuhusu ununuzi wa gari kutoka mtu binafsi
2. Pamoja na kupewa kadi ya gari original, ni utaratibu gani mwingine kisheria unatakiwa ufuatwe?
3. Vipi kuhusu utaratibu wa kupata kadi ya gari yenye jina langu?
4. Kodi inakuwaje TRA?

Asanteni wana JF.
 
1. Vipi kuhusu ununuzi wa gari kutoka mtu binafsi.
2. Pamoja na kupewa Kadi ya gari original, ni utaratibu gani mwingine kisheria unatakiwa ufuatwe?
Anzia hapa 👇
3. Vipi kuhusu utaratibu wa kupata kadi ya gari yenye jina langu?
Fika TRA ukiwa na documents husika za gari pamoja na zile za mauziano

Zaidi ingia hapa: 👇
MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania
 
Anzia hapa 👇

Fika TRA ukiwa na documents husika za gari pamoja na zile za mauziano

Zaidi ingia hapa: 👇
MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

Unaweza kubadili taarifa za umiliki bila kuwepo na aliyekuuzia? Vipi kuhusu gharama yake?
 
Ndio waweza badi umiliki bila ya kuwepo aliyekuuzia.

Ila unatakiwa uwe na
  • Mkataba wa mauziano ulio sainiwa na pande zote mbili, Muuzaji na mununuzi, na kuthibitishwa na wakili.
  • Nakala ya Kitambulisho cha aliyekuuzia.

Ni ndogo utalipia TRA
Na mchakato huu mzima unaweza kukamilika ndani ya siku moja? Yaani hakuna usumbufu?
 
Nmesikia unatakiwa uende TRA, TRA unatakiwa ukafanye nini, pia kuhusu umiliki unabadilishaje.

nimetoka TRA jana,
huu ndo mwongozo nilio pewa
IMG_20210419_135524_229.jpg
 
Back
Top Bottom