Muongozo: Je Sensa kutojumuisha masuala ya dini ya mtu ni sahihi wadau mnalionaje hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muongozo: Je Sensa kutojumuisha masuala ya dini ya mtu ni sahihi wadau mnalionaje hili?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Boligado, Jun 2, 2012.

 1. B

  Boligado Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jana katikia taarifa iliyotolewa na kamishna wa sensa imetaja kwamba dini, kabila au mambo ya kisiasa ni mambo ambayo hayatakuwamo wakati wa sensa ya Mwaka huu. Napenda kupata ufahamu zaidi je ni sahihi? Nawasilisha.
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  dini, siasa na kabila ili iweje? Hii ni sensa ya kuhesabu watu na si sensa ya kuhesabu siasa, dini wala kabila
   
 3. e

  evoddy JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sensa inaisaidia serikali kujua idadi ya watu wake ili iweze kupanga mipango inayoendana na idadi ya watu wake.

  Tanzania haina dini,kabila wala siasa ila watu wake ndiyo wana dini,kabila na wanasiasa,kwa mantiki hiyo hakuna haja ya SENSA kuonyesha dini ,kabila wala usiasa wa mtu.

  SASA KWA HILI NA IPONGEZA TIMU YA SENSA KUYAONDOA HAYA
   
 4. e

  evoddy JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sensa inaisaidia serikali kujua idadi ya watu wake ili iweze kupanga mipango inayoendana na idadi ya watu wake.

  Tanzania haina dini,kabila wala siasa ila watu wake ndiyo wana dini,kabila na wanasiasa,kwa mantiki hiyo hakuna haja ya SENSA kuonyesha dini ,kabila wala usiasa wa mtu.

  SASA KWA HILI NAIPONGEZA TIMU YA SENSA KUYAONDOA HAYA
   
 5. Zatara

  Zatara JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 549
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Kama serekali ina panga Mipango kwa kuangalia waruguru au wamakonde wangapi? au Wapagani wangapi, rastafari wangapi basi hapo ingekuwa na umuhimu. Vinginevyo haina umuhimu. Hongera Mtakwimu kwa kuliona hilo
   
 6. B

  Boligado Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sawa ni kweli serikali haina dini lakini kwenye mambo mengi tunayojaza tukiomba birth certificate,udahili kwenye Elimu ya juu tunataja dini. Kwa mtazamo mpana dini ingehusishwa katika sensa ili maamuzi mengine kama kuweka baraza la mawaziri libalance dini ya waislamu na wakristo yasiyowepo Bali yaangalie waislamu ni wangapi wapate percent yao hivyo hivyo na wakristo. Maana huu unafiki kuna serikali haina dini halafu decision kwenye post nyingi zinategemea percentage ya 50/50.
  Waweke item ya dini ya mtu ili rais awape vyeo wahusika kwa uwiano wa dini zao. Nawasilisha na niko tayari kukosolewa
   
 7. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  How can we count emotions and feelings? We can't quantify everything!!!
   
 8. B

  Boligado Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Je unakubaliana nami mara nyingi mkulu huangalia mambo hayo anapofanya maamuzi ya kuteua wateule? Kama ni ndiyo kwa nini sensa ya 2012 isimpe majibu sahihi. Maana hata mawaziri wakiteuliwa vigezo huwa vimezingatiwa
   
 9. H

  Haika JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mi binafsi ningetamani kujua, ila kitaifa sioni maslahi yake, kwani wakiuliza mkristu, hilo jibu halina mshiko wowote zaidi ya umbea tu. Hawawezi kuitumia hii info kwa kitu chochote, labda mnifahamishe, mawaziri wachache sana wanatumia dini zao kufanya maamuzi hadi sasa.
   
 10. T

  TUMY JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nina mashaka na uwezo wako wa akili, hivi unaweza ukawasilisha suala la kipuuzi kama hilo kwenye jamii.Dini na kabila lako sisi vina tuhusu nini.Nimekupa ban ya mwezi mmoja.
   
 11. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mimi bila kumungunya nakuunga mkono: hata na hiyo ya Kabila inabidi iwepo: hata kama lengo la sensa ni kujua Idadi ya watu ni sawa;
  ila inabidi ni watu wa aina gani ni
  - waislamu/wakristu!!!,
  - wamakonde/wakurya....,!!!,
  - wanawake/wanaume!!!,
  - vijana /wazee!!!!
  haya mambo ya kuwa tunajistukia kwamba mtu akiulizwa ni dini gani itaonekana ni kuendekeza udini au akiulizwa ni kabila gani ni kuendekeza ukabila ni upuuzi mtupu: baada ya sensa inatakiwa tu na taarifa zilizokamilika juu watu tulio nao nchini.
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Wewe kama unataka kujua idadi ya ndugu zako katika imani waambie Bakwata wafanye sensa yao kwa pesa zao usitake kodi ya watanzania itumike kwenye kuhesabu wafuga midevu na wafuga majini period
   
 13. B

  Boligado Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kaka dhihirisha uwezo wako kwa hoja si kwa style hii. Ondoa hofu ndiyo maana ukisoma encylopeadia itaonyesha percentage za watu wa nchi ikihusisha ethnity,dini zao n.k. sisi twapaswa tushinikize mambo haya yarudishwe. Tusije juta wakati ujao. Ukisema unaanzisha mahakama ya kadhi utajua unafanya kwa population kubwa kiasi gani?
   
 14. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Acha ujinga wako ujifiche walau kwa kukaa kimya tu, kuliko kuandika utumbo hapa. Serikali inatakiwa iamue moja tu, kusuka au kunyoa. Kama suala la dini na makabila lifutwe, basi lifutwe kikamilifu. Pasiwepo tena mahali pa kuulizwa dini yako au kabila na pia sikukuu za kidini zifutwe kitaifa zibakie kwa wahusika wenyewe tu. Vinginevyo itambue dini na makabila ya watu kwa uhalisia wake, sio kutumia dhana potofu.
   
Loading...