Muongozo: Defender 110/ LandCruiser HZJ79

EWGM's

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
1,521
2,112
Waungawana habari zenu!!

Nataomba ushauri au mwongozo ni wapi nitapata Defeneder 110/ LandCruiser HZJ79, single cabin. Iwe inatembea au iko juu ya mawe cha msingi body iwe kwenye hali nzuri.

Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa miongozo yenu na ahsanteni sana.
 
zipo hata ukitaka engine ya randlover tuu unapata kama upo serious naituma hiyo gari tunawasiliana ikiwa Tunduma boarder hata usiponunua mimi pia nazitumia..
 
Back
Top Bottom