Muonekano wa siasa za Tanzania kwa wa Tanzania nje ya nchi na ukweli ndani yake.

Semenya

JF-Expert Member
Sep 5, 2009
572
51
kwa wa Tanzania wengi waliopo nje ya nchi hutumia internet na vyanzo vingine kupata habari za mwenendo wa siasa Tanzania.

Mara nyingi ukiwa nje ya nchi ukiwa unafwatilia habari za siasa nchini, utadhani au utapata fikira kuwa CCM inahali ngum natete, na utafikiri kuwa JK hawezi fikisha hata asilimia 50.

UKWELI WA MAMBO NI KINYUME KABISA, UKIJA HUKU NDO UNAGUNDUA KUWA CCM BADO INA NGUVU SANA NA WATU BADO HAWANA IMANI NA UPINZANI.
 
Back
Top Bottom