REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,880
Sasa mkuu nigooogle na kiwanja cha ndege cha mwl Julius Nyerere au Kenya airways?Umerudi tena baada ya googling....Nimekuonyesha hivyo ili kukupa picha kuwa,unaposema "Code" si Aircraft Model tu,pia kuna Design Code,Airlines Code,Aedrome Code nk nk....Twende taratibu!!halafu napumzika kidogo,huku kwetu sasa ni usiku wa manane....
Sababu hapo ulitaja viwanja tu na mashirika.
Mbona hujiamini mkuu?