MUONEKANO wa MENO yako unakupa CREDIT na kukamilisha UREMBO WAKO.

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
Wewe ni msichana mrembo ama kaka mzuri,una meno mazuri,muonekano wa meno yako unakupa uhuru mpana wa kusmile na hata kuangua kicheko,beautiful teeth adds attraction and makes you complete,kwa nini uyatelekeze meno yako yabadilike rangi kuwa meusi na kuondoa mvuto wako?Ama yanatoboka toboka,uvutaji wa sigara pia unaharibu meno na kuwa meusii na mabaya,kwa nini usiyathamini meno yako na uyatunze vizuri?Wengine wanayatelekeza yanatoboka na yanakuwa ya kung'oa na msichana mrembo anaanza kuwa kama bibi,akicheka mapengo yanampunguzia credit,kaka mtanashati meno unayafanya kuwa meusi kwa misigara yako na kupunguza mvuto kwa wadada.
TAKE CARE OF YOUR TEETH,
handsome girls need complete good and heathier teeth,also handsome boys need complete good and healthier teeth..
 
Sijakuelewa ehm nieleweshe, umelenga wavuta sigara(nahisi hapa wala ugoro na bangi hawahusiki eti?), wenye magonjwa ya meno kutoboka,wakaka watanashati,wadada warembo, au watu wapi? maana unanipa shida kuchangia kuna magonjwa ya meno si matakwa ya mtu, pia sijawahi ona meno meusi!
 
Magonjwa karibu yote ya meno yanazuilika. Muhimu ni kuwa msafi na kuepuka vitu vinavyoharibu meno. Mdada mzuri anajisifia anakula pipi 10 kwa siku! Meno kutoboka ni dalili kutotunza kinywa kwa usafi. Hamna uchawi hapo!

Pamoja na hayo mbona hukuonyesha namna ya kuosha hayo meno yaloyooxa kwa kutoa ufafanuzi ni wapi/sehemu gani naweza kung,arisha meno yangu bila kuyawekea ya bandia????
 
jamani km mi sili pipi kabisa na najitahidi sana kuswaki ht b4 cjalala, ila dah,nishang'oa matatu ya mwishoni, I hate it.....japo huwezi kujua mpaka nikwambie
 
Pamoja na hayo mbona hukuonyesha namna ya kuosha hayo meno yaloyooxa kwa kutoa ufafanuzi ni wapi/sehemu gani naweza kung,arisha meno yangu bila kuyawekea ya bandia????

Nilikuwa natoa angalizo tu,maadamu uko MMU naamini wenye maelezo ya kitabibu wakiona hitaji lako wataweka utaratibu na hayo maelezo ya kitabibu.
 
jamani km mi sili pipi kabisa na najitahidi sana kuswaki ht b4 cjalala, ila dah,nishang'oa matatu ya mwishoni, I hate it.....japo huwezi kujua mpaka nikwambie

Uwe unatembelea hospitali walau mara 2 kwa mwaka kufanya general check up ya meno ili kubaini mapema kama kuna hatari yoyote ili ishughulikiwe mapema kuliko ukienda unaumwa inakuwa ngumu kuokoa meno.
 
Ni kwel, a cofident smile start with your dental formula.hata kama ni artificial.
 
nilidhani unawashauri watu wenye aina hiyo ya meno watumie dawa gani au hata waende hospitali gani, anyway, ila si haba tumekusikia
 
bangi sio sana, nyinyi mnovuta mifegi ndio muache inaharibu meno,
sasa bana kuna wale wa arusha haswa eneo laitwa maji ya chai, maji ya huko yana calcium nyingi,
ni nomaa, unakutana na msichana mzuri kweli ila bandidu hadi unadhan hana bandama, hacheki.
kumbe meno bana daah, noma sana, meno ni reception kubwa, ukizaa mtoto ukiwa arusha chunga sana maji anokunywa, mnunulie daily ya chupa la sivyo ni balaa ukubwani,
ila i heard wanaanza ya treat.
ndio hivo, muchunge sana minjino yenu, mipipi sigara etc quit em, hata ugomvi epuka, usije baki na mapengo au kibogoyo,
watu siku hizi wameendelea wakikukosa na tindikali watataka ondoa meno, hahaa hatari sana.
God protect my teeth
 
Nilidhani utatoa tiba mbadala kwa watu wenye matatizo hayo uliyoeleza hapa. Maana mie meno yangu ni meusi kwasababu ya kupenda kunywa chai ya rangi na mchaichai.
 
kuna mdau mmoja aliniambia eti baking powder inasaidia kufanya meno kuwa meupeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Kwa wale madentist mliopo humu mna ushuhuda juu ya hili?
 
Like 100000 mkuu masigara yanakera sana aisee mtu akicheka kama analia.
 
kuna mdau mmoja aliniambia eti baking powder inasaidia kufanya meno kuwa meupeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Kwa wale madentist mliopo humu mna ushuhuda juu ya hili?

Habari yako hekimatele............

Mie mwenyewe nimewahi kuambiwa kuwa it works.........
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani utatoa tiba mbadala kwa watu wenye matatizo hayo uliyoeleza hapa. Maana mie meno yangu ni meusi kwasababu ya kupenda kunywa chai ya rangi na mchaichai.

Ngoja wataalamu waje wanaweza kusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom