Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Dar-Es-Salaam kwa juu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Dar-Es-Salaam kwa juu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pape, Nov 10, 2009.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hizo picha ni mitaa ya Dar (kwa ujumla), Magomeni, Mwananyamala na Mwenge!!!
   
 3. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  So? Ungeweka caption kama "Jinsi Dar isivyokuwa na mipango miji" au kitu kama hicho

  Sasa si ungezipost "Jamii Photos" basi kama lazima? Lakini picha zenyewe visibility si nzuri, katika view/ zoom level hii inafaa watu wa planning waangalie waone madudu yao.
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Yaani kama jaa la nyumba vile...poor planning
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  sawa mdau picha hizo nimezichukua katika google earth, mimi sio mtaalamu sana wala nini kama wewe unaujuzi zaidi tafadhari nisaidie kupost huko na kuchukua picha 'kwality'
   
 6. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hii thread. Thanks Journal Pape!


  Off-topic:
  Hiyo bendera yako ina-represent nini mkuu?
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Africa!

  Green: environmentally clean!
  Black: people
  Yellow: Wealth
  Blue: sea, oceans, rivers, lakes!!

  Usiniambie Geography ilipita kushoto!
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Heheheh
  Nimeuliza swali bovu.

  Kwanini ifunike Afrika nzima?
   
Loading...