mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,647
- 37,192
95% ya wanunuzi wa simu duniani wanaangalia bei na sio uzuri wa simu.
Samsung amefanya vizuri sokoni kwasababu alitarget zaidi middle na low income people.
Masoko yake makuu ni India, China, Africa na Latin America. Hizo flagships anauza kwa wachache sana kuliko hizo midrange zake.
Hizo zote ni emmerging markets ambazo zina potential ya mauzo ya midrange phones. Na ndo anazouza units nyingi.
Ingekuwa watu wanaangalia uzuri wa simux kwanini tecno na infinix wanafanya vizuri Tanzania na sio Samsung?
wanunuzi wa tecno na infinix tanzania wanaongozwa na ushamba tu wala sio kipato.
simu kama A50 sasa hivi dukani unaipata mpaka kwa 350. mtu anakwenda kuparamia infinix la laki 380 unasema bei inaongea hapa!!!
pixel anakwenda kutoa midrange yake 6a wacha tuone kama itatia mguu kwenye a33,a73,a53 nk.
siku inakaa kienyeji mpaka inakera yaani.