Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,977
2,000
95% ya wanunuzi wa simu duniani wanaangalia bei na sio uzuri wa simu.

Samsung amefanya vizuri sokoni kwasababu alitarget zaidi middle na low income people.

Masoko yake makuu ni India, China, Africa na Latin America. Hizo flagships anauza kwa wachache sana kuliko hizo midrange zake.

Hizo zote ni emmerging markets ambazo zina potential ya mauzo ya midrange phones. Na ndo anazouza units nyingi.

Ingekuwa watu wanaangalia uzuri wa simux kwanini tecno na infinix wanafanya vizuri Tanzania na sio Samsung?

wanunuzi wa tecno na infinix tanzania wanaongozwa na ushamba tu wala sio kipato.
simu kama A50 sasa hivi dukani unaipata mpaka kwa 350. mtu anakwenda kuparamia infinix la laki 380 unasema bei inaongea hapa!!!

pixel anakwenda kutoa midrange yake 6a wacha tuone kama itatia mguu kwenye a33,a73,a53 nk.
siku inakaa kienyeji mpaka inakera yaani.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
50,341

Consumer pattern ya watanzania ni sawa na dunia nzima.

Hata mtu anaenunua iphone au samsung nae ni mshamba mwenye kipato cha juu zaidi.

99% ya wateja hawajui basics za kuangalia wakati wananunua simu, hata hao wanajiona wajanja bado hawajui mengi sana.

Ukienda kwa duka, anakwambia RAM, Storage, Mp za camera basi. Ila hawakwambii vingine vingi kwenye ambavyo unatakiwa kuvijua.

Kama wewe unafuatilia kila detail na ukajua maana yake, basi upo kwenye 1%. Ila hao wengine 99% ndo wanaonunua tecno na infinix.
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
701
1,000
Os ya kwao na simu zao,umeona wanacho deliver!!!!

kuna nini zaidi ya camera!!!!

Software iko makini operations zake ziko well integrated inafanya kazi smooth tofauti na android zingine Pixel ina perks kibao

Tatizo unataka uifananishe Pixel ya 600$ na simu za thousand dollars
 
Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
1,304
2,000
wanunuzi wa tecno na infinix tanzania wanaongozwa na ushamba tu wala sio kipato.
simu kama A50 sasa hivi dukani unaipata mpaka kwa 350. mtu anakwenda kuparamia infinix la laki 380 unasema bei inaongea hapa!!!

pixel anakwenda kutoa midrange yake 6a wacha tuone kama itatia mguu kwenye a33,a73,a53 nk.
siku inakaa kienyeji mpaka inakera yaani.
Kiongozi ni wapi mtu anaweza kupata A50 mpya kwa kwa shs laki tatu na nusu
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,977
2,000
Software iko makini operations zake ziko well integrated inafanya kazi smooth tofauti na android zingine Pixel ina perks kibao

Tatizo unataka uifananishe Pixel ya 600$ na simu za thousand dollars

iphone hata ya $699 ni ya moto kwenye perfomance.

uliishatumia samsung z2 tizen,ukaona balaa lake!!!
ile ilikua samsung inayotumia OS yao wenyewe,ilikuwa balaa,sasa google hawana cha kujitetea,UI la kizushi kabisa.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
50,341
2,000
iphone hata ya $699 ni ya moto kwenye perfomance.

uliishatumia samsung z2 tizen,ukaona balaa lake!!!
ile ilikua samsung inayotumia OS yao wenyewe,ilikuwa balaa,sasa google hawana cha kujitetea,UI la kizushi kabisa.
Android ya pixel ndo ile OG. Yani haina nyongeza hata 1.

Hao wakina Samsung ndo wanaichukua wao wanaongeza skins zao inaleta ule muonekano.
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
701
1,000
imepauka sana,yaani haina upako kabisa.

Eti upako... sema tumetofautiana matumiz na upendeleo mm sipend UI iliyokuwa customized sana mara fonts zimebadilika, mara marangi kibao na apps zinajazwa ambazo sizitumii hapana. baadhi ya hizo brands za kichina wanaweka hadi ads eti
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,977
2,000
Eti upako... sema tumetofautiana matumiz na upendeleo mm sipend UI iliyokuwa customized sana mara fonts zimebadilika, mara marangi kibao na apps zinajazwa ambazo sizitumii hapana. baadhi ya hizo brands za kichina wanaweka hadi ads eti

angalia IOS jinsi ilivyo mkuu.

ndio maana iship huwa wana kauli zao kwamba apple imejitoshereza,wala sio uongo.

kitu kuwa simple haina maana kiwe kibaya,hat fonts imewashinda kutafuta yenye muonekano yaani.
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
701
1,000
angalia IOS jinsi ilivyo mkuu.

ndio maana iship huwa wana kauli zao kwamba apple imejitoshereza,wala sio uongo.

kitu kuwa simple haina maana kiwe kibaya,hat fonts imewashinda kutafuta yenye muonekano yaani.

Android kavu na iOS inatosha sana, mimi sielewi mtu mzima unataka ufanye customization ya fonts na upuuzi mwingi wa nini, kikubwa performance
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom