mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,699
- 37,299
A series za mwanzo kingine
na katika historia ndio simu zilizokuwa na muonekano mzuri na imara kuliko matoleo mengine ya samsung.
hizi A series za sasa na maplastic wapi na wapi!!!
A series za mwanzo kingine
Pixel 3 mkuu, na zilianza kufa baada ya kuisha warranty. Sijasikia hizi pixel mpya kama Zina tatizo hili.Inasemekana hizo simu za Google huwa zinajifia tu zenyewe ikifika wakati flani.
Labda Mkuu Chief-Mkwawa tuelezee hili suala vizuri kama unalifahamu.
Ooh ok. Ila naziona nyingi saivi zimejaa Aggrey. So kama nataka ku ua Used nisinunue Pixel 3 sio?Pixel 3 mkuu, na zilianza kufa baada ya kuisha warranty. Sijasikia hizi pixel mpya kama Zina tatizo hili.
Sababu zinauzwa bei rahisi huko ughaibuni as cheap as $60 Nimewahi ziona.Ooh ok. Ila naziona nyingi saivi zimejaa Aggrey. So kama nataka ku ua Used nisinunue Pixel 3 sio?
Pixel 3 mkuu, na zilianza kufa baada ya kuisha warranty. Sijasikia hizi pixel mpya kama Zina tatizo hili.
Ni 3 tuJe pixel 4xl used zinahili tatizo?
Zinakufaje yan mana nimechukua used juzi katiPixel 3 mkuu, na zilianza kufa baada ya kuisha warranty. Sijasikia hizi pixel mpya kama Zina tatizo hili.
Kwanza sio zote zinakufa mkuu.Zinakufaje yan mana nimechukua used juzi kati
Hii kesy pia imezikumba simu za redmi hasa redmi 9,9a na 9c pia poco m3 ( chinese version4g) simu inajizima yenyewe ,baada ya kuwasiliana na xiaom service center Kenya nilijibiwa kua simu zina shida ya hardware kwa baadhi ya batch,soln yake ikizima iache more than24 hrs bila kuifanya chochote kisha chukua chaja yenye watt kubwa kuliko iliokuja na simu kisha ichaji inawaka ,ikiwaka washa na tumia ila simu hakikisha haaiishiw chaji,pia usipige any update .Simu hii ndio niliotumia kutype hapa naitumia kama simu yangu ya pili.Upande wa google sijajua ila naitaman nionje ladha ya hio simu nione ina nn cha ajabu pia soln zake sizijuiKwanza sio zote zinakufa mkuu.
Zinakufa tu zenyewe unalala unaamka simu imezima hairespond chochote.
Hili ni tatizo la battery na Calibration, ni tatizo la kawaida Hata enzi za zamani tulikuwa tunatumia kobe kuboost.Hii kesy pia imezikumba simu za redmi hasa redmi 9,9a na 9c pia poco m3 ( chinese version4g) simu inajizima yenyewe ,baada ya kuwasiliana na xiaom service center Kenya nilijibiwa kua simu zina shida ya hardware kwa baadhi ya batch,soln yake ikizima iache more than24 hrs bila kuifanya chochote kisha chukua chaja yenye watt kubwa kuliko iliokuja na simu kisha ichaji inawaka ,ikiwaka washa na tumia ila simu hakikisha haaiishiw chaji,pia usipige any update .Simu hii ndio niliotumia kutype hapa naitumia kama simu yangu ya pili.Upande wa google sijajua ila naitaman nionje ladha ya hio simu nione ina nn cha ajabu pia soln zake sizijui
Oooh nimekupata ila hii hutokea ,kwa mfano now chief ina asilimia sabini ,na inatunza kweli chaji ila ukisema uizime kawaida tu haitawaka kabisa ,na ukiibust sasa itaonesha ina asilimia zero ,ila ukichaji na ikajaa sim naitumia mpka zaidi ya masaa kumi online kwa kazi ndogo ndogo .so kwa kua nishaijua homa yake nimeamua kutokuiruhusu imalize kabisa chaji hadi izime kwan itanisumbuaHili ni tatizo la battery na Calibration, ni tatizo la kawaida Hata enzi za zamani tulikuwa tunatumia kobe kuboost.
Uhalisia Battery linapoandika zero na simu kuisha charge si kwamba battery limeisha kweli chaji, inakuwa imebakia kidogo ili next time ukichomeka charger simu idetect na kuchaji.
Situation yako hapo inakuwa battery limeisha kweli hivyo hata ukichomeka charger haiwaki, hivyo unahitajika kuboost battery.
Pixel yenyewe hata ukibadili battery haisaidii sababu ni Tatizo jengine kabisa.
Hao jamaa hawana namna ya kuifanyia calibration? Huko Kenya.Oooh nimekupata ila hii hutokea ,kwa mfano now chief ina asilimia sabini ,na inatunza kweli chaji ila ukisema uizime kawaida tu haitawaka kabisa ,na ukiibust sasa itaonesha ina asilimia zero ,ila ukichaji na ikajaa sim naitumia mpka zaidi ya masaa kumi online kwa kazi ndogo ndogo .so kwa kua nishaijua homa yake nimeamua kutokuiruhusu imalize kabisa chaji hadi izime kwan itanisumbua
Kuna jamaa yuko k.koo anauza hizi simu anasema kwa hili tatizo lipo kwa simu zote za Google pixelPixel 3 mkuu, na zilianza kufa baada ya kuisha warranty. Sijasikia hizi pixel mpya kama Zina tatizo hili.
Sio pixel zote bali generation hio, ila sababu sisi tunanunua sana Refurb ndio nyingi zimejaa huko. 3-5 ilikua na hii issue sana ila 6-7 sijasikia widespread issues.Kuna jamaa yuko k.koo anauza hizi simu anasema kwa hili tatizo lipo kwa simu zote za Google pixel
Yan unaweza ukawa unatumia ghafla inazima tuu ndo haiwaki tena
So zikisha zima ndo hakuna namna ya kuzirejesha tena kwenye matumiziSio pixel zote bali generation hio, ila sababu sisi tunanunua sana Refurb ndio nyingi zimejaa huko. 3-5 ilikua na hii issue sana ila 6-7 sijasikia widespread issues.