Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
Simu hii ya Mid-range (simu ya daraja la Kati/Wastani) itakuwa na muonekano mpya katika sehemu ya kamera, itakuwa na kamera tatu (na sio nne kama ilivyo katika OnePlus Nord N10) na lens za kamera zimejitenga. Kamera mbili zitakuwa na duara kubwa na pembeni itakwepo kamera moja na Flash.
Specs zilizovuja itakuwa na Snapdragon 695 5G, kioo cha AMOLED inch 6.3 na Finderprint itawekwa ndani ya kioo.
Bei yake inaweza isizidi Laki 7 kwa sababu ni Mid-range.