Muonekano mpya wa Ashley Young

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,688
45,001
Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Ashley Young ambaye kwasasa anakipiga Inter Milan huu ndio muonekano wake mpya.

Zamani alikuwa ana kipara muda wote, kwasasa ameachia nywele kichwani...

Watu wa Man Utd mnamkumbuka Ashley Young kwa jambo gani?
IMG_3658.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom