Muone Mwenye Akili Bungeni Sio Toto Tundu

Zanzibar, sitaki nataka.

Zanzibar ni kama mke anaekwambia hakutaki lakini anaogopa kwenda kujitegemea, ukimtishia talaka analia.

Mtanganyika mwenye balls kama Tundu Lissu akisimama kueleza maudhi ya Muungano kwa upande wa Bara na kusema kama haiwezekani basi tutengane Mzanzibar anaogopa, analia, anabembeleza kubaki.
 
Niliwahi kusema hapa ZANZIBAR haikuwahi kutawaliwa , yaani waTanganyika mnapata Darsa kubwa sana kutoka Zanzibar ,mambo yenu kabla hamjayafikisha mbele nawaomba muyapeleke kwa wataalam Zanzibar yakapitiwe.
 
Hahhahaah nyinyi muna kichekesho sana. Mswada wa kuvunja muungano unakuja kwani muna haraka ya nini. Wazanzibari munawajua au munawasikia tu. Sisi tuna akili zetu. Tunajua kuna vikosi vingapi na nia ni kufanya nini. Tuliamka zamani ndio maana tunakwenda mdogo mdogo mpaka kieleweke. Muungano mutauvunja nyinyi wenyewe. Ukiangalia nyuma, alieshikilia muungano huu ni Julius Nyerere. wazanzibari hawajataka muungano. Hakuna pahali raisi wa zanzibar alitia saini ya muungano. Hata barua ya UN haina signature ya zanzibar. Ilikuwa ni wizi wa mchana.

kwenye rangi, hata kichaa ana akili yake, lakini ni akili punguani, kwa hiyo ni bora mngesikia laumu ya wenye busara kuliko kuzitegemea akili ambazo kumbe ni bomu!!!!
 
75.jpg

MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman ameshangazwa na mwanasheria mwenzake Tundu Lisu kwa kutofahamu madhumuni na malengo ya mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yaliozaa serikali ya umoja wa kitaifa. Kauli ya Mwanasheria huyo aliitoa katika baraza la wawakilishi wakati akifafanua baadhi ya mambo ya kisheria baada ya wajumbe wa baraza hilo kumtaka afanye hivyo kufuatia kauli ya ya Tundu Lisu aliyoitoa bungeni wiki hii.
“Sasa kuja kwa haya yametuonesha kwamba kuna wenzetu kumbe wana fikra kwamba Zanzibar iliwahi kutawaliwa. Maana mtu anaposema marekebisho ya 10 ya Zanzibar yamjitangazia uhuru maana yake ana fikra na huyu ni mwanasheria mtu kafika mpaka kuwa mbunge anayeaminika na chama chake lakini anasema kwa kufanya hivyo Zanzibar imejitangazia kuwa huru kwani tuliwahi kutawaliwa?” Alihoji Othman.
Akijadili bajeti ya wizara ya makamu wa rais wa jamhuri ya muungano, huko Dodoma Mbunge wa Singida Mashariki wa Chama Cha (CHADEMA) Tundu Lisu alinukuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa Zanzibar imefanya katiba kwa kujitangazia kuwa ni nchi.
Othman alisema marekebisho ya katika ya Zanzibar yalikuja baada ya hoja nyingi ambazo hazikuwa na majibu katika muungano ambayo ilikuwa ikisema ni Zanzibar ni sehemu ya muungano, lakini kama nini mkoa? Shehia? Kata? au kijiji?, haya hayakuwa na jibu katika katiba ya muungano.
Kufuatia maridhiano Zanzibar ndipo wazanzibari wakamaua kufanya kukufikia marekebisho ya 10 ya katiba yao ambayo ilifafanua kuwa zanzibar ni nchi na ndivyo ilivyo kwa sababu haikuwahi kutawaliwa kama ambavyo baadhi ya wanasiasa wanavyofikiria.
“Marekebisho ya 10 ilichofanya ni kusema kwamba ikiwa mtu hatambui, maana ilikuwa imeshaonesha dalili kwamba kuna wengine hawatambui hilo tena wakubwa. Sasa marekebisho ya 10 yalipokuja ni kufafanua tu, kama kuna mtu hatambui sisi wenyewe tunajitambua” alisema mwanasheria huyo huku akiungwa mkono na wajumbe kwa kupigiwa makofi.
Huku akishangiriwa na wajumbe wa baraza hilo mwanasheria mkuu alisema hakuna mtu ambaye atawazuwia kusema “Aaah katiba yenu isiwe namna gani au isiwe hivi na ndio maana unakuta katiba za muungano zipo nyingi lakini kila mmoja ina muundo wake kwa mujibu mlivyokubaliana nyinyi wenyewe”.
Mwanasheria mkuu alisifu muungano wa miaka mingi wa Uswizi ambao unatambulika na kuigwa duniani kutokana na kufuata misingi imara iliyowekwa na wananchi wenyewe.
Alisema muungano ambao umedumu na unasifiwa ni Swiss Federation kwa sababu umeanza tokea mwaka 1292 na umekwenda kwa mafahamiano hadi mwaka 1874 wakatunga katiba ambayo wameifanyia mapitio upya mwaka 1999 na nchi hiyo ina serikali 26, lugha nne rasmi na ndio muungano amabo umedumu na nchi ambayo ni imetulia duniani.
Mwanasheria huyo alisema mashirika yoye ya kimataifa yapo Uswizi kwa sababu ya muungano huo uliotumilia na kwa sababu umekuwa na misingi imara ya kuhakikisha muungano ule unaweza kuhimili mabadiliko yoyote yatakayokuja ya kisiasa.
“Mheshimiwa Naibu Spika nitumie fursa hii hapa hapa niseme wakati tupo katika mchakato wa maoni ya katiba nadhani ni wakati mzuri kuiweka sawa ile misingi ya muugano kama Uswizi”. Na kuongeza kuwa.
“Wakati mwengine napata wasiwasi nasema hii khofu yangu niiseme hapa kwamba tunaanza kubishana kuhusiana na watunza nyumba wawe wangapi, waendeshaji nyumba wawe wangapi, wawili, watatu, wanane au watano?. Lakini tatizo letu la msingi mimi nadhani ni nyumba yenyewe iweje. Kama tunaamua kuishi, maana mfumo wa sasa hivi mmoja anaishi nyumba kubwa na mwengine mabandani huko uwani huo sio utaratibu tunao”alisema mwanasheria.
Aidha aliwaambia wajumbe hao kwamba wanzanzibari wana mambo ya msingi ya kujadili kuliko kuzungumzia idadi ya watunza nyumba akimaanisha kero za muungano zilizopo na kushindwa kuafikiwa.
“Kwa hivyo mimi niwaombe sana waheshimiwa wajumbe, niwaombe na wazanzibari wenzangu na wananchi wote, kwamba huko mbele tusije tukalaumiana kwamba tumefanya marekebisho ya 10 kimakosa na tumejitangazia uhuru. Sasa hivi tuondoe fikra hizo lakini tunaweza kujieleza kwa hoja za msingi na mambo ya msingi katika hoja hii hapo ndipo tutakapojenga utawala bora ndani ya muungano” aliongeza Mwanasheria huyo.
Akitoa ufafanuzi zaidi kwa wajumbe hao kuhusu muungano Othman alisema hata suala la uraia limepewa kipaumbele katika katiba ya Uswizi ambapo mtu anapozaliwa ndipo anapopewa uraia wake.
“Pale unapozaliwa ndio panapokupa uraia, na kuna mengi ambayo nadhani tatizo liliopo kwa wenzetu ni kwamba hawajifunzi kwamba muungano ni kitu gani. Muungano ni suala ambalo nchi mbili mnapoungana, nchi zilizokuwa huru ni suala la makubaliano na mtakachokubaliana ndicho ambachi kitakuja katika katiba yenu” alisema Othman.
Othman ambaye ni mwanasheria aliyewahi kuandika waraka (paper) aliyoipa jina ‘masuala ya yasiokuwa na majibu ndani ya muungano’ aliwaambia wawakilishi hao kwamba maelezo ya Tundu Lisu yamejaa hadaa na yamejaa upotoshaji tena upotoshaji ambao umepindukia mipaka ya kweli.
“Mimi nimepata kusoma na kuangalia hiyo hutuba ya Mhe Tundu Lisu… lakini pia nimeona majibu ambayo yalitolewa na mhehsimiwa Shamsi Vuai Nahodha aliyesema kuwa maeelzo ya Mbunge Lisu yamejaa hadaa na upotoshaji naungana naye” alisisitiza huku makofi ya wajumbe yakitawala ndani ya baraza hilo.
Tokea kuanza kwa kikao cha baraza la wawakilishi kwa kiasi kikubwa mijadala wa bajeti umetawaliwa na suala la muungano ambapo wajumbe wengi wamekuwa wakiungana na wananchi kudai maslahi zaidi kwa zanzibar ikiwemo kurejesha kwa hadhi ya rais wa zanzibar na mamlaka kamili ndani na nje ya nchi.
[/QUOTEl
Lissu ameeleza yale anayoyafahamu na mapungufu ambayo ameyaona kama changamoto kazi kwenu sasa, ukweli utatuweka huru!kama mwanzo zanzibar ilikuwa siyo nchi na wakahamua kujitengenezea katiba yao inayowatambulisha kama nchi na muungano hautambui hili na watanganyika hawakushirikishwa kwenye mchakato wa katiba yao,Je zanzibar kwenye nyanja za kimataifa wanatambulika kama nchi?Nafikiri wanaomjibu lissu ndiyo wanajiacha watupu.
 
Nchi itaendeshwa kwa kuuza urojo na mbatata?kwa kukaa vijiweni? jijengeeni misingi ya kujitegemea kwanza. msitegeme Iran na UAE watawabeba. Natamani ndoa ivunjike tuone ka mke hatakua malay kubadili mabwana kila kukicha.
 
Zanzibar kabla ya kuhujumiwa na TANGAnYIKA ,ilikuwa ikijitegemea kwa kila kitu na misaada ikitoa ,leo hii wameingia jujuwamajuju waTanganyika wanakula mpaka mawe !
 
Hahhahaah nyinyi muna kichekesho sana. Mswada wa kuvunja muungano unakuja kwani muna haraka ya nini. Wazanzibari munawajua au munawasikia tu. Sisi tuna akili zetu. Tunajua kuna vikosi vingapi na nia ni kufanya nini. Tuliamka zamani ndio maana tunakwenda mdogo mdogo mpaka kieleweke. Muungano mutauvunja nyinyi wenyewe. Ukiangalia nyuma, alieshikilia muungano huu ni Julius Nyerere. wazanzibari hawajataka muungano. Hakuna pahali raisi wa zanzibar alitia saini ya muungano. Hata barua ya UN haina signature ya zanzibar. Ilikuwa ni wizi wa mchana.

Kama hiki ulichoandika hapa ndio mawazo ya wanzenji basi nyie ni watu wa ajabu kuliko wote duniani! Mwizi wa mchana anawalisha, anawavisha na kuwasomesha nyie mumetulia tu wakati wanasheria kama Othman wapo, mnatia aibu!

Mimi nimekaa sana Znz na ninawajua wazenji vizuri sana. Hawa watu huwa hawalipi kodi kabisa. Biashara zao wanafanyia chini ya meza. Mtu ana kampuni inafanya biashara kubwa lakini mapato yote yanaingia kwenye akaunti binafsi ili kukwepa kodi. Mtawezaje kuendesha nchi bila kodi? Mimi nataka hata sasa hivi muungano uvunjike tuwaone nyie waimba mipasho mkilia kwa njaa na kutaka muungano urudi!

Zanzibar Go!
 
Zanzibar kabla ya kuhujumiwa na TANGAnYIKA ,ilikuwa ikijitegemea kwa kila kitu na misaada ikitoa ,leo hii wameingia jujuwamajuju waTanganyika wanakula mpaka mawe !

Jaribu kuwa mkweli ndani ya dhamira yako mwenyewe, uchumi wa Zanzibar ulikuwa unategemea nini ambacho Tanganyika imehujumu kikafa? Kama ni karafuu, tangu mwarabu alipowalimisha mikarafuu ikapandwa hadi leo mumeboresha kitu gani? Zaidi sana mikarafuu iko ktk ya pori imezeeka kabisa yafaa kwa kuni tu!

Utalii ndio unaojenga uchumi wa Zanzibar na wenyewe sababu wanaofanya hiyo biashara sio wazenji maana wangekuwa wazenji wasingelipa kodi. Na hapo hapo mnachoma moto baa eti ni ukafiri wakati ndio angalau zinawapatia pesa za urojo!

Mnasikitisha sana Wazenji!
 
Kisiwa cha Z'bar kilikuwa ni stoo ya watumwa kutoka Bara kabla hawajapelekwa sokoni; waliwekwa kisiwani humo ili wasiweze kutoroka
Waarabu wakazini na baadhi ya watumwa wakazaliwa machotara (half-cast/haramu)
Hao ndio wanaoleta chokochoko zote hizi
Sasa ni jambo la ajabu sana (woga wa Nyerere - 'paranoid delusion'?!) Bara na rasilimali zote hizi tulizonazo kuendelea kuing'ang'ania stoo ya watumwa. Na umasikini wote walionao wanatutukana na kutufukuza!
Let Z'bar GO!
 
Kumbe kweli anayosema msigwa akili ndogo kuongoza akili kubwa yaani hata huko pia wanacheza ngoma ya chadema wanaacha kujadili budget wanajadili lisu amakweli nchi bado haina waongozi
 
Mtumbatu amekimbia ile thread nyingine, hapa ni JF huwezi kujificha tutakupa vidonge huko huko.

FJM, ukimsikiliza Mwanasheria wa ZNZ kama ilivyo wajumbe wa BLW hakujibu hoja hata moja zaidi ya kutafuta mipasho.
Alichosema Tundu kimoja kati ya vingi ni kuwa ZNZ haina jeshi wala Polisi kwasababu hailipi hata senti tano kwa ulinzi na usalama wa raia. Hapo ndipo kwanza alipaswa kufikri kabla ya kutamka kuwa ni nchi. Haina chombo cha dola! kilichopo ni wafadhili tu.

Alipaswa adadavue hoja za Tundu lisu badala ya kusema tu kuwa anahadaa. Anahadaa nini? Gharibu Bilal si huyo amekomba bilioni 4 na Bilioni 32 zinajadiliwa na BLW yeye akiwemo. Hapo kuna hadaa gani.

Labda tumhabarishe kuwa Mshahara wa mwanasheri wa ZNZ na BLW unapelekwa kwa meli, yeye hana mshahara wa SMZ, sasa hapo hadaaa ipo wapi.

Kwamba, wao wanabeba asilimia 7 wakati wanachangia silimia 0, hapo hadaa ipo wapi
Kwamba bajeti yao ni fedha za Mtanganyika, hapo hadaa ipo wapi
Kwamba watoto wao wanasoma buree! hapo hadaa ipo wapi

Cha kusikitisha sana anaongelea muungano wa Swiss, kwanini asilete mswada akiwa kama mwanasheria kuvunja muungano. Anchoogopa ni kitu gani.
Mwanasheri anatakiwa ajibu hoja si mapisho.

Anapoongelea uraia kuwa ni ule pale mtu anapozailiwa, mwanasheria wa BLW ameshaingiwa na kiwewe kama kiwewe kinachowakumba WZNZ. Wanajua kuwa muungano ukifa itabidi waishi bara kama raia wa nchi nyingine.
Sasa hapa ni hofu tu maana Tundu Lissu hakuliongelea hilo.

Mwambieni mwanasheri alete mswada wa kuvunja muungano, vinginevyo atulie tuli mshahara utavuka bahari tu.

Sisi tunasema LET ZNZ GO! Hatuhitaji Mkataba wa EU, SWISS ua upuuzi mwingine. Hatuwahitaji ni wao kuamua tu.
Wakishindwa basi watulie katika kivuli cha Tanzania.

LET ZNZ GO!

Wachumia tumbo hawana lolote, kama wanajua kunakili manzuri ya nje nchi ingefika hapa ilipo? Kwa ufupi pana mashaka na hawa walopewa uanasheria.
Yaelekea hamna kitu kabisa, hao ndo chanzo cha nchi hii kuyumba na pia na mikataba mibovu mingi.Hivi JF katiba ya Zanzibar imeanzishwa kwa sababu gani?
 
Mimi nilidhani Mwanasheria Mkuu wa Zanzabar angejibu mambo aliyosema Tundu Lissu hoja kwa hoja. Mfano angesema Tundu Lissu alisema au alitoa hoja "A,B,C," kuhusu Zanzibar, na hoja "A,B,C," sio sawa na majibu yake ni X, Y,Z. Matokeo yake ni sarakasi jamaa anafanya sarakasi tu.Shame on him!
 
Nilitaka kuchangia kumbe mtu mwenyewe ashakula BAN? Haahahahahahaaaaaaaaaa!!!
 
75.jpg

MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman ameshangazwa na mwanasheria mwenzake Tundu Lisu kwa kutofahamu madhumuni na malengo ya mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yaliozaa serikali ya umoja wa kitaifa. Kauli ya Mwanasheria huyo aliitoa katika baraza la wawakilishi wakati akifafanua baadhi ya mambo ya kisheria baada ya wajumbe wa baraza hilo kumtaka afanye hivyo kufuatia kauli ya ya Tundu Lisu aliyoitoa bungeni wiki hii.
“Sasa kuja kwa haya yametuonesha kwamba kuna wenzetu kumbe wana fikra kwamba Zanzibar iliwahi kutawaliwa. Maana mtu anaposema marekebisho ya 10 ya Zanzibar yamjitangazia uhuru maana yake ana fikra na huyu ni mwanasheria mtu kafika mpaka kuwa mbunge anayeaminika na chama chake lakini anasema kwa kufanya hivyo Zanzibar imejitangazia kuwa huru kwani tuliwahi kutawaliwa?” Alihoji Othman.
Akijadili bajeti ya wizara ya makamu wa rais wa jamhuri ya muungano, huko Dodoma Mbunge wa Singida Mashariki wa Chama Cha (CHADEMA) Tundu Lisu alinukuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa Zanzibar imefanya katiba kwa kujitangazia kuwa ni nchi.
Othman alisema marekebisho ya katika ya Zanzibar yalikuja baada ya hoja nyingi ambazo hazikuwa na majibu katika muungano ambayo ilikuwa ikisema ni Zanzibar ni sehemu ya muungano, lakini kama nini mkoa? Shehia? Kata? au kijiji?, haya hayakuwa na jibu katika katiba ya muungano.
Kufuatia maridhiano Zanzibar ndipo wazanzibari wakamaua kufanya kukufikia marekebisho ya 10 ya katiba yao ambayo ilifafanua kuwa zanzibar ni nchi na ndivyo ilivyo kwa sababu haikuwahi kutawaliwa kama ambavyo baadhi ya wanasiasa wanavyofikiria.
“Marekebisho ya 10 ilichofanya ni kusema kwamba ikiwa mtu hatambui, maana ilikuwa imeshaonesha dalili kwamba kuna wengine hawatambui hilo tena wakubwa. Sasa marekebisho ya 10 yalipokuja ni kufafanua tu, kama kuna mtu hatambui sisi wenyewe tunajitambua” alisema mwanasheria huyo huku akiungwa mkono na wajumbe kwa kupigiwa makofi.
Huku akishangiriwa na wajumbe wa baraza hilo mwanasheria mkuu alisema hakuna mtu ambaye atawazuwia kusema “Aaah katiba yenu isiwe namna gani au isiwe hivi na ndio maana unakuta katiba za muungano zipo nyingi lakini kila mmoja ina muundo wake kwa mujibu mlivyokubaliana nyinyi wenyewe”.
Mwanasheria mkuu alisifu muungano wa miaka mingi wa Uswizi ambao unatambulika na kuigwa duniani kutokana na kufuata misingi imara iliyowekwa na wananchi wenyewe.
Alisema muungano ambao umedumu na unasifiwa ni Swiss Federation kwa sababu umeanza tokea mwaka 1292 na umekwenda kwa mafahamiano hadi mwaka 1874 wakatunga katiba ambayo wameifanyia mapitio upya mwaka 1999 na nchi hiyo ina serikali 26, lugha nne rasmi na ndio muungano amabo umedumu na nchi ambayo ni imetulia duniani.
Mwanasheria huyo alisema mashirika yoye ya kimataifa yapo Uswizi kwa sababu ya muungano huo uliotumilia na kwa sababu umekuwa na misingi imara ya kuhakikisha muungano ule unaweza kuhimili mabadiliko yoyote yatakayokuja ya kisiasa.
“Mheshimiwa Naibu Spika nitumie fursa hii hapa hapa niseme wakati tupo katika mchakato wa maoni ya katiba nadhani ni wakati mzuri kuiweka sawa ile misingi ya muugano kama Uswizi”. Na kuongeza kuwa.
“Wakati mwengine napata wasiwasi nasema hii khofu yangu niiseme hapa kwamba tunaanza kubishana kuhusiana na watunza nyumba wawe wangapi, waendeshaji nyumba wawe wangapi, wawili, watatu, wanane au watano?. Lakini tatizo letu la msingi mimi nadhani ni nyumba yenyewe iweje. Kama tunaamua kuishi, maana mfumo wa sasa hivi mmoja anaishi nyumba kubwa na mwengine mabandani huko uwani huo sio utaratibu tunao”alisema mwanasheria.
Aidha aliwaambia wajumbe hao kwamba wanzanzibari wana mambo ya msingi ya kujadili kuliko kuzungumzia idadi ya watunza nyumba akimaanisha kero za muungano zilizopo na kushindwa kuafikiwa.
“Kwa hivyo mimi niwaombe sana waheshimiwa wajumbe, niwaombe na wazanzibari wenzangu na wananchi wote, kwamba huko mbele tusije tukalaumiana kwamba tumefanya marekebisho ya 10 kimakosa na tumejitangazia uhuru. Sasa hivi tuondoe fikra hizo lakini tunaweza kujieleza kwa hoja za msingi na mambo ya msingi katika hoja hii hapo ndipo tutakapojenga utawala bora ndani ya muungano” aliongeza Mwanasheria huyo.
Akitoa ufafanuzi zaidi kwa wajumbe hao kuhusu muungano Othman alisema hata suala la uraia limepewa kipaumbele katika katiba ya Uswizi ambapo mtu anapozaliwa ndipo anapopewa uraia wake.
“Pale unapozaliwa ndio panapokupa uraia, na kuna mengi ambayo nadhani tatizo liliopo kwa wenzetu ni kwamba hawajifunzi kwamba muungano ni kitu gani. Muungano ni suala ambalo nchi mbili mnapoungana, nchi zilizokuwa huru ni suala la makubaliano na mtakachokubaliana ndicho ambachi kitakuja katika katiba yenu” alisema Othman.
Othman ambaye ni mwanasheria aliyewahi kuandika waraka (paper) aliyoipa jina ‘masuala ya yasiokuwa na majibu ndani ya muungano’ aliwaambia wawakilishi hao kwamba maelezo ya Tundu Lisu yamejaa hadaa na yamejaa upotoshaji tena upotoshaji ambao umepindukia mipaka ya kweli.
“Mimi nimepata kusoma na kuangalia hiyo hutuba ya Mhe Tundu Lisu… lakini pia nimeona majibu ambayo yalitolewa na mhehsimiwa Shamsi Vuai Nahodha aliyesema kuwa maeelzo ya Mbunge Lisu yamejaa hadaa na upotoshaji naungana naye” alisisitiza huku makofi ya wajumbe yakitawala ndani ya baraza hilo.
Tokea kuanza kwa kikao cha baraza la wawakilishi kwa kiasi kikubwa mijadala wa bajeti umetawaliwa na suala la muungano ambapo wajumbe wengi wamekuwa wakiungana na wananchi kudai maslahi zaidi kwa zanzibar ikiwemo kurejesha kwa hadhi ya rais wa zanzibar na mamlaka kamili ndani na nje ya nchi.

Yale yale nothing new.
 
Mimi kama Mtanganyika nisiyekuwa na kisomo cha juu napata taabu ya kujua muungano wetu na Zanji ni upi.
1) Nchi zilikuwa 2 kabla na baada muungano
2) Nchi moja kuwa na uhalali wa nchi mbili ili hali nyingine inanyanganywa nchi yao na kupewa ya kuchangia
3) je hawa Wazinje wana hati mbili za kusafiria au?
 
Back
Top Bottom