MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,425
Huyu dogo ni kiboko, inabidi apelekwe secondary kabisa.
Anafanyaje kwaniMhh huyu dogo yuko vizuri, anaweza kuwa mathematician huko mbeleni
Anafanyaje kwani
Anajitahidi kujibu maswali yabhesabu za kujumlisha na kutoa ambayo kwa umri wake na darasa lake la chekechea ni makubwa. Akiendelezwa vyema atakuwa mathematician mzuri huko mbeleni.Anafanyaje kwani
Shida iliyopo kwenye jamii zetu ni watu kama hawa kuwaacha na kusubiri wao watakuja kuibuka na kitu gani wenyewe.Afuate utaratibu wa kawaida yasijejirudia ya Bethuel Mbugua wa Kenya. Anajuta.