Muone mtoto wa ajabu anayejua hesabu

Ilikuwaje?
Dogo alikuwa anajua Biology tu kwa kusoma biology akiwa mdogo. Akarushwa rushwa madarasa. Akaenda USA. system zikamtema huko maana vitu vingine hajui. Kwa taabu akamaliza College. Kazi ikawa ngumu kupata . karudi kwao Kenya akapata kazi ya kujikimu
 
Tatizo ni nchi aliyozaliwa huyo dogo ndio kikwazo,
Watu wana roho mbaya,wanafiki ,chuki ,uzandiki, chako wanataka kiwe chao + ukalumanzila,
Kutoboa itakuwa ngumu sana
 
Huyu dogo ni kiboko, inabidi apelekwe secondary kabisa.

SERIKALI FUNGUENI SHULE MAALUMU ZA VIPAJI KAMA HIVI! ANGALAU MOJA YA VIPAJI VYA LUGHA, SAYANSI NA SIASA, SANAA!
Vipaji vingi vipo ila vinaanza kuharibikia mitaani hivi hivi! Huyu mtoto ana special vision kupitia hesabu msimdharau kisa bado hajawa mtu mzima! Huyo nizaidi ya professor tayari!
Jengeni hizi shule ziwe za bweni!
 
Bado ajakua huyo maisha kuna chalenji nying san watoto kibao udogon wanakuaga na talent kubwa san ila baadae sasa ndo utaonaa maajabu ni kitu kizur ila akikua ndo atafam iyo hesabu ataifanyia nin ili ilete manufaa kwake na kwa dunia pia unaweza ukajua hesabu hafu ujui namna ya kutumia kusolve problem kupitia taaluma yako
Imagination is very important.
 
Back
Top Bottom