Munishi aishiwa uvumilivu, Atoa ushauri kwa Rais.

Aache upumbuvu, hata akitembea na magunia hilo halituhusu! Tunachohitaji watanzania ni maendeleo!

Hospitali zina dawa? Vijijini huduma za afya zinafika?

Shule zina vitendea kazi? Walimu wapo?

Barabara zinapitika? Wakulima wanapata pembejeo?

Watumishi serikalini wanapata haki zao?

Wafanyabiashara wanafanya biashara zao kwa uhuru?

Katina inafuatwa?

Tanzania ina utulivu na Amani!

Gurudumu la maendeleo kwa ujumla linaendelea?

Unatuletea mambo ya suti hapa, Mtanzania atakula suti?

Akili za watu wengine sijui wanaziachaga wapi, upuuzi mtupu☹️☹️☹️☹️
 
Huu ni upumbavu wa kasi ya 5G,ni kupungukiwa uwezo wa ku_reason,unataka huyu mama akuvalie vimini? Au akae kichwa wazi? Acha udini,judge kazi anayoitenda kwa nchi,anapofanya vizuri pongeza,anapokosea shauri nini kifanyike ili kuboresha,hio ndio akili kubwa,sio kuwa_against mpaka na vitu minor km hvyo_shame on U
 
Point hapa ni udini mengine porojo...chuki kwanini rais muislam,mwanamke na anafuata imani yake
 
Kama alikubali kuingia kwenye siasa kwa ridhaa yake ni vyema mambo ya ushungi aweke pembeni
Kuna walio kubali kuingia katika siasa kwa ridhaa zao na wakawa Wana vaa ma shanga makubwamakubwa yenye ka kidani chenye mpishano wa nembo mbona hamkuwa washauri waya Vue au waache kuyavaa!!!!!????
 
Mwenye mwongozo wa mavazi kwa watumishi wa umma atupie humu ili tusiongee maneno tupu......nafikiri watumishi wa umma wanazuiwa kuvaa mavazi yanayoashiria mlengo fulani, labda tuseme kidini, kiasiasa nk. ndo maana sina uhakika kama utaruhusiwa kwenda kazini umevaa uniform za ccm au chadema ingawaje yanaweza kuwa mavazi ya heshima, lakini kasoro yake ni kwamba yanakutabainisha na mlengo fulani.
 
Back
Top Bottom