Munishi aishiwa uvumilivu, Atoa ushauri kwa Rais.

Munishi anasumbuliwa na chuki binafsi dhidi ya dini ya kiislamu. Nakumbuka hata enzi za msoga alimsumbua sana baada ya kuja jiwe(mkiristo) akapotea. Ameingia Samia(muislamu) ameibuka upya. Dawa ya huyu pimbi ni albadil tu maana akichekewa atasumbua sana kama alivyomsumbua mzee jakaya na baadae kukimbilia kenya
Hatq wakqti wq Magufuri alisumbuq sqna na qlifurahia sana Magufuri kufariki
 
hilo litalkuwa jitu la arusha tu tena mchaga ndo wana chuki sana na watu wa pwani. mavazi hayareflect kila kitu ni life style yake mtu mzima raisi wetu anajielewa atavaa vip ujinga wenu wa ofisini na makanisani hata uende kijijini wanavaa ivyo kwa hana mke aangalie nywele za mkewe haya majitu hatari san kwa nchi hii wnajikuta wana maoni mapana kama wao ndo kabila pekee Tanzania kuna sijui ole mushi ,malisa j

wanajifanya wanataka serikali uchukue maoni yao kwa akili gani walizo nazo
 
Watu tunashindwa kutofautisha mila, desturi na Imani za kidini.
Mavazi/vazi la hijab ni mila na desturi za wanawake wa Kizanzibar haijalishi Imani zao za Dini.
 
Akivaa kimini tena ndo itakua balaa,watasema kwanini hawi mfano kwa wanawake wengine anakua mhuni,😂😂😂😂
 
Nashangaa! hoja ya kipuuzi sana hiyo kwa hapa amefeli
Nimegundua huyo siyo mtumishi wa Mungu ni mchumia tumbo, Bwana Yesu hakuwaweka watu kwenye madaraja, sijui huyu mtumishi wa namna gani
 
Back
Top Bottom