Mungu yupo na Tanzania ndiyo maana tumeweza

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mungu ni Mkuu na taifa ambalo linamtanguliza Mungu lazima lifanikiwe.

Hili halina ubishi maana Mungu ndio kila kitu. Kwanza kwa kutuvusha kwenye hili janga kubwa na baya ambalo halijawahi kutokea ni ishara kubwa kuwa Mungu yupo nasi Watanzania.

Chadema na ACT Wazalendo mmeaibika sana. Sababu mlitumiwa na mabeberu kutaka nchi yetu iangamie ili nyie mfurahie.
Tuliwaona viongozi wenu wakiongea mbele ya luninga ya Aljazeera kuwa maelfu ya watu wanakufa na kwamba Serikali inapotosha.

Lakini Mungu amewaumbua. Sasa nchi yetu tumepata kiongozi ambae anajali wananchi. Anajenga shule, vituo vya afya na hospitali na kujenga miundo mbinu, huku watoto wakienda shule bure kwa elimu ya msingi na sekondari. Act Wazalendo na CHADEMA mnajipendekeza kwa mabeberu na kudai eti nchi yetu haina demokrasia. Lakini mmefeli na Mungu amewaumbua.

Na kwa mantiki hii October watanzania wanaangalia vyama vya wazalendo tu. CCM, NCCR Mageuzi, UDP, CHAUMA n.k

Nyie hamieni Ulaya na USA kwa mabeberu ili mkafaidike.
 
Mungu ni mkuu na taifa ambalo linamtanguliza Mungu lazima lifanikiwe. Hili halina ubishi maana Mungu ndio kila kitu.
Mnataka kuwafanya waTanzania wajinga kwelikweli na waonekane wapuuzi duniani.

Mwishowe mtasema Mungu ni wa Tanzania halafu mtakuwa mnamgawa kwa nchi zingine, na bado wajinga watashangilia hilo.

Huu usingizi utakapoondoka ndio mtaelewa tulivyogeuka kuwa kichekesho kikubwa.
 
Kila mtu anataka kuhamia Tanzania nchi ya maziwa na asali. Nyie wanafiki nendeni kwa mabeberu yenu. Na JPM ameiweka pazuri kataa usikatae.
 
Madereva wa Tanzania wakipimwa kwenye nchi za watu ( jirani) wanakutwa na maambukizi ya Covid 19! Vipimo vyetu na vya wenzetu vipo tofauti sana!
 
Madereva wa Tanzania wakipimwa kwenye nchi za watu ( jirani) wanakutwa na maambukizi ya Covid 19! Vipimo vyetu na vya wenzetu vipo tofauti sana!
Kulikuwa na fitina ili Tz ionekane na maambukizi mengi. Tumia akili usipende kujazwa uongo.
 
Haya Lingine takataka hili hapa , limeingia jana tu (kama yalivyofungua akauti nyingi mpya Twitter), limekuja na spid zaidi ya electron! Angalia utumbo linaouandika!
 
Kila mtu anataka kuhamia Tanzania nchi ya maziwa na asali. Nyie wanafiki nendeni kwa mabeberu yenu. Na JPM ameiweka pazuri kataa usikatae.
Wewe ni chizi mmoja tu, siwezi kuhangaika na wewe na kuacha mambo ya maana.
 
Kulikuwa na fitina ili Tz ionekane na maambukizi mengi. Tumia akili usipende kujazwa uongo.

Tumia muda huu kuthibitisha hizo hujuma. Sio kuelezea madharia tu kama ilivyo ya “corona imekwisha Tanzania”. Tuoneshe huo ukweli, mkuu.
 
Tumia muda huu kuthibitisha hizo hujuma. Sio kuelezea madharia tu kama ilivyo ya “corona imekwisha Tanzania”. Tuoneshe huo ukweli, mkuu.
Official data anatoa waziri wa afya au waziri mkuu. Ugonjw umepungua. Au wewe ulitaka wafe mil 1ufurahie?
 
Mungu amewahurumia Watanzania maana kosa si lao, ni kosa la maCCM nchi kuwa masikini
 
Back
Top Bottom