MUNGU YU MWEMA. Mpenz wangu ameruhusiwa kutoka hospital.!

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Wana Jf sina budi nianze kwa kuwashukru kwa maombi yenu. Mpenz wangu aliyepigwa Risasi 3 ameruhusiwa kutoka hospital baada ya afya yake kuimalika. God bless u all.
 
Hongera sana, mfikishie pole zetu najua Mungu bado yuko pamoja naye na bado alikuwa anataka aendelee kuishi kweli MUNGU ni mwema siku zote
 
PRAISE THE LORD... Mfikishie pole zangu za dhati kabisa... Tukio lile litakuwa vigumu kufutika kwenye maisha yake si vibaya aka-fanyiwa Counseling,vipi kuhusu fidia? insurance ya basi ime-cover? Pili kuna kiongozi yeyote wa serikali ukitoa wabunge na wakuu wa Mikoa/Police ya MZA na KGM aliyekwenda kuwajulia hali? Je kuna wahalifu wowote waliokamatwa?
 
Mpe pole zangu nami pia........Mungu awajaalie mtengeze familia njema......Hapa ndo unapotakiwa kuonyesha unacare na unampenda.............
 
Endeleeni kumtumikia Mungu kwa kufanya matendo mema,
kila la kheli ashukuriwe sana Mungu maana matendo yake ni ya
kushangaza sana machoni pa wanadamu
 
mfikishie pole zangu....hakika Mungu anatenda kwa wale wote waaminio......msiache kumuita wakati wote wa maisha yenu.....nawatakia maisha marefu
 
Mpe pole sana na tumshukuru Mungu kwa kumpa nafuu. Mfikishie salamu zetu kutoka JF.
 
Pole sana kaka but tunamshukuru MUNGU kwa rehema hii.......... msalimie wifi na mpe pole sana
 
Mungu ni mwema siku zote tunashukuru kwa aliyotenda na anayoendelea kutenda kila siku mpe pole sana shemeji...........
 
Mungu apewe sifa. Poleni kwa yote yaliyowakuta mungu ni mwema na mwaminifu. Jifarijini kwa maneno haya 'Nitayainua macho yangu nitazame milima msaada wangu utatoka wapi,msaada wangu ni katika bwana'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom