MUNGU YU MWEMA. Mpenz wangu ameruhusiwa kutoka hospital.!

sifa na utukufu virudi kwako ewe Mungu wetu.
mpe pole zetu na asante kwa kutupa habari za faraja.
 
Wana Jf sina budi nianze kwa kuwashukru kwa maombi yenu. Mpenz wangu aliyepigwa Risasi 3 ameruhusiwa kutoka hospital baada ya afya yake kuimalika. God bless u all.

Aaaaaamen Mungu yu mwema tunashukuru kwa taarifa. Tutazidi kumuombea apone kabisa.
 
James 5:13-17 – “Is any one of you in trouble? He should pray. Is anyone happy? Let him sing songs of praise. Is any one of you sick? He should call the elders of the church to pray over him and anoint him with oil in the name of the Lord. And the prayer offered in faith will make the sick person well; the Lord will raise him up. If he has sinned, he will be forgiven
 
James 5:13-17 – "Is any one of you in trouble? He should pray. Is anyone happy? Let him sing songs of praise. Is any one of you sick? He should call the elders of the church to pray over him and anoint him with oil in the name of the Lord. And the prayer offered in faith will make the sick person well; the Lord will raise him up. If he has sinned, he will be forgiven

:amen::amen::amen:
 
sababu nyingine hii ya kukutana tena leo JJ kula maji kwa wingi na kuzishukuru rehema za mungu!

GENERESHENI WAI IPO BIYEEEEEEEEEEEE?
 
leo siku ya tatu tangu atoke hospitali..
hopefully bado ana recover vema...
tunaombe utujulishe ???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom