Mungu wetu kwa nini haya yanatokea?

Kosae1

JF-Expert Member
May 16, 2016
211
151
Ulisema tukiomba tutapewa. Tukitafuta tutaona. Tukibisha tutafunguliwa. Kwa nini haya yanatokea kwenye ardhi yako iliyojaa baraka zisizo kifani...Lakini tunajipa moyo. Jambo jema ni kuwa tunaamini dunia itapita na mambo yake. Na zaidi sana tunaamini hakika mtetezi wetu yu hai, naye hatatuacha tuangamie kabisa. Hatutokata tamaa. Kwani muda wako Mungu wetu ni muda sahihi.
 
  • Thanks
Reactions: ydn

Mkuu hebu fafanua kidogo... yapi yanatokea ambayo hatujayaomba au kuyatafuta?
 
Back
Top Bottom