Mungu wetu kwa nini haya yanatokea?

K

Kosae1

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
211
Likes
149
Points
60
K

Kosae1

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
211 149 60
Ulisema tukiomba tutapewa. Tukitafuta tutaona. Tukibisha tutafunguliwa. Kwa nini haya yanatokea kwenye ardhi yako iliyojaa baraka zisizo kifani...Lakini tunajipa moyo. Jambo jema ni kuwa tunaamini dunia itapita na mambo yake. Na zaidi sana tunaamini hakika mtetezi wetu yu hai, naye hatatuacha tuangamie kabisa. Hatutokata tamaa. Kwani muda wako Mungu wetu ni muda sahihi.
 
Y

ydn

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2015
Messages
2,108
Likes
1,399
Points
280
Y

ydn

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2015
2,108 1,399 280

Mkuu hebu fafanua kidogo... yapi yanatokea ambayo hatujayaomba au kuyatafuta?
 
Y

ydn

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2015
Messages
2,108
Likes
1,399
Points
280
Y

ydn

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2015
2,108 1,399 280
Anamzungumzia BWANA YULE.
Mmmh!! Ngoja waje wale wa green waseme ni chaguo la Mungu. Sasa sijui ni Mungu Makonda au Mungu Tulia
 
Forum statistics

Threads 1,274,090
Members 490,586
Posts 30,500,708