Mungu wangu wee! Watanzania tumebebeshwa mzigo mkubwa kuliko uwezo wetu.

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,784
12,226
  1. Mawaziri na manaibu waziri - 55
  2. Wakuu wa mikoa - 25
  3. Wakuu wa wilaya - 133
  4. Marais wastaafu - 2
  5. Mawaziri Wakuu wastaafu - 6
Tunahitaji kufunga mikanda zaidi ili kupiga hatua za maendeleo
 
  1. Mawaziri na manaibu waziri - 55
  2. Wakuu wa mikoa - 25
  3. Wakuu wa wilaya - 133
  4. Marais wastaafu - 2
  5. Mawaziri Wakuu wastaafu - 6
Tunahitaji kufunga mikanda zaidi ili kupiga hatua za maendeleo

Mpaka hapo Raisi eti hajui ni kwanini Watanzania ni Maskini!:A S cry:
 
Msanii tu Yule! Ni Bahati tu alidumbukua ktk dissatisfied hadi karika hapo otherwise haina tofauti na mwigizaji yeyote! Wayz tunahitaji changes!!
 
Mmmh hebu piga fasta fasta gharama ya mashangingi na matibabu na service na nyumba kwa mwezi plus wizi
 
  1. Mawaziri na manaibu waziri - 55
  2. Wakuu wa mikoa - 25
  3. Wakuu wa wilaya - 133
  4. Marais wastaafu - 2
  5. Mawaziri Wakuu wastaafu - 6
Tunahitaji kufunga mikanda zaidi ili kupiga hatua za maendeleo
mkuu kuna hawa pia
6. makatibu wakuu wa wizara
7. wakurugenzi wa wilaya
8. wakuu wa mashirika ya uma
9. wanabodi mbalimbali
10. wabunge wa JK
11. wakuu wa majeshi
12. majaji
raisi anateua nusu ya wafanyakazi wa ngazi za juu serikalini huu ni upuuuzi
 
  1. Mawaziri na manaibu waziri - 55
  2. Wakuu wa mikoa - 25
  3. Wakuu wa wilaya - 133
  4. Marais wastaafu - 2
  5. Mawaziri Wakuu wastaafu - 6
Tunahitaji kufunga mikanda zaidi ili kupiga hatua za maendeleo

System kazini.
 
  1. Mawaziri na manaibu waziri - 55
  2. Wakuu wa mikoa - 25
  3. Wakuu wa wilaya - 133
  4. Marais wastaafu - 2
  5. Mawaziri Wakuu wastaafu - 6
Tunahitaji kufunga mikanda zaidi ili kupiga hatua za maendeleo


Wabunge 370 kama sijakosea
Marais 5 ( JK, Shein, Maalim Sefu, Balali, Seif)
Waziri Mkuu 1

Hawa pia wanatumia kodi zetu hapo kwenye red pamoja na familia zao
 
  1. Mawaziri na manaibu waziri - 55
  2. Wakuu wa mikoa - 25
  3. Wakuu wa wilaya - 133
  4. Marais wastaafu - 2
  5. Mawaziri Wakuu wastaafu - 6
Tunahitaji kufunga mikanda zaidi ili kupiga hatua za maendeleo

Hapo unaongelea V8 GX (acha V8 VX) 221. Nimejaribu kupiga hesabu za hela ya manunuzi, hela ya service na mafuta kwa mwaka nikafika mahala nikaona zero zero zimekuwa nyingi nikachanganyikiwa.
 
Mla nchi ni mwananchi, tatizo ni jinsi ya kuzipata hizo post. Kama uko nje ya duara basi usahau kabisaaa. Ila hizi V8 133 ndo hazina maana kabisa ina maana na CDm wakishika dola nao watatuwekea wana peoples power 133? kama mkurugenzi yupo, na anaripoti kwa Ras mkuu wa mkoa na DC wanakazi gani?
 
na bado serikali inaunda mikoa mipya kila kukicha...kwa hiyo mikoa hiyo mipya inahitaji watendaji pia..hela ipo wanatuzuga tu...huwezi kusema serikali haina hela wakati serikali ndio kwanza inazidi kupanuka...
 
100.Wajumbe tume ya katiba 30 kila mmoja gari v8 jipya,nyumba mpya,mlinzi,chakula,matibabu india
 
mkuu kuna hawa pia
6. makatibu wakuu wa wizara
7. wakurugenzi wa wilaya
8. wakuu wa mashirika ya uma
9. wanabodi mbalimbali
10. wabunge wa JK
11. wakuu wa majeshi
12. majaji
raisi anateua nusu ya wafanyakazi wa ngazi za juu serikalini huu ni upuuuzi

Kuna nyongeza:
  1. ujenzi wa ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya mpya
  2. Ujenzi wa nyumba za wakuu wa mikoa na wilaya mpya
  3. ujenzi wa ofisi mpya za wizara Dar na Dodoma
  4. Ujenzi wa nyumba za mawaziri na makatibu wakuu Dodoma
  5. ......
 
Dah, inauma uchungu, kuna siku nitajifunga mabomu nikamkumbatie mtu...
 
Mkuu mbona umesahau upande wa pili wa jamhuri?
Marais wangapi kule, waziri kiongozi na kali kuliko ni mafisadi wangapi bara?
Mkanda si kitu mi nafunga manati.
 
hapo bado first ladies, wake wa mawaziri na marais wastaafu na vimada wao
 
Back
Top Bottom