Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

kama hizi ni reactions za kukojolea msahafu, je siku msikiti ukikojolewa itakuwaje?
 
Mkuu Barubaru mbona makanisa haya yanajengwa na wauumini bila ya kusubiri misaada kutoka nje, sasa hili la kusema wana hamu ya kupata FIDIA unatoka wapi! Tangu lini wakristo wakawa chanzo cha ku-incite vurugu deliberately - hua naeshimu sana maoni yako lakini naona leo labda ilipata slip-up ya ulimi.

Vyanzo vya ku-incite vurugu /chuki baina ya waislamu na wakristo vimesababiswa na mfumo kristo. Kuendelea kukandamiza haki za waislamu , kuwafelisha kwa makusudi wanafunzi wanye majina ya kiislamu. Kuizuwia Zanzibar kujiunga na OIC n,k.

Tunakoelekea kubaya sana ,kuna hatari hii nchi ikagawika mapande mawili kama vile India na Pakistani.
 
Kuna kiongozi mmoja mkuu kabisa wa chama cha Siasa huko Tanzania aliwahi kusema hadhwarani kabisa
TUTAHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI.HATUMTAMBUI RAIS NA NGUVU YA UMMA ITAITOA SERIKALI MADARAKANI.

je hakuna mkono wake hapo katika kutimiza azma yake? Hasa ukizingatia yeye ni mkanisa na yanayochomwa ni makanisa ili achonganisha wakanisa na wenzao.
Barubaru ni lini umeanza kutambuwa kwamba kuna nchi inaitwa Tanzania? ila Balantanda ndio amenishangaza zaidi kusema eti wewe ni PHD Holder!! siamini hili labda kama Madrasa nazo sasa hivi zinatowa PHD.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kiongozi mmoja mkuu kabisa wa chama cha Siasa huko Tanzania aliwahi kusema hadhwarani kabisa
TUTAHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI.HATUMTAMBUI RAIS NA NGUVU YA UMMA ITAITOA SERIKALI MADARAKANI.

je hakuna mkono wake hapo katika kutimiza azma yake? Hasa ukizingatia yeye ni mkanisa na yanayochomwa ni makanisa ili achonganisha wakanisa na wenzao.

yupo mwingine ASKOFU Kilaeni alisema Jk ni chaguo la Mungu. Kauli hii ilimpatia kura nyingi sana Jk za wakristo.
 
Nani aliyewaloga nyinyi watu?

Kamuulize Dr wenu wa Divinity alitamka nini kuhusu mustakabali wa amani nchi na jiulize kitu kinaendelea. Haingii akilini watu wachome makanisa Last friday wakakamtwa halafu watu hao hao wasiwe na woga waende wakachome tena leo na kule kigoma. Hivi unadhani waislamu hawana akili ya kufikiri???? Something fishy is going on time will tell
 
Vyanzo vya ku-incite vurugu /chuki baina ya waislamu na wakristo vimesababiswa na mfumo kristo. Kuendelea kukandamiza haki za waislamu , kuwafelisha kwa makusudi wanafunzi wanye majina ya kiislamu. Kuizuwia Zanzibar kujiunga na OIC n,k.

Tunakoelekea kubaya sana ,kuna hatari hii nchi ikagawika mapande mawili kama vile India na Pakistani.
Ndio mnavyodanganyana misikiti hivi? haya nimpe mfano India ya Tanzania niwapi na Pakistani ya Tanzania ni wapi?
 
Our Silence has end....wanatuona maboya sana tulivyokaa kimya..ila tukianza hakuna wakuturudisha Nyuma ..na watajuta kuzaliwa waislamu ..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kanisa jingine limechomwa moto uko yombo sasa ivi source Waporadio Mungu azidi kunipa moyo wa chuma

Asante kwa taarifa, lakini ndugu ashaakum si matusi, naomba urekebishe (huko, hivi )

ni hilo tu mkuu.
 
Rwanda ni Rwanda, Congo ni Congo, na TANZANIA NI TANZANIA...Hatuna ubia na watu hao, japo nao wana Wakristo!
Asili ya nchi (context for this case)iko bound kuaffect hata imani za watu na wanavyoichukulia dini hadi wanavyoishi mtaani.
So istand by my post, Wakristo wa Watanzania hawana roho ya aina hiyo.

PakaJimmy,
Kwa hiyo nyie Wakiristo wa Tanzania mnatabia za mitume.
 
Last edited by a moderator:
Kamuulize Dr wenu wa Divinity alitamka nini kuhusu mustakabali wa amani nchi na jiulize kitu kinaendelea. Haingii akilini watu wachome makanisa Last friday wakakamtwa halafu watu hao hao wasiwe na woga waende wakachome tena leo na kule kigoma. Hivi unadhani waislamu hawana akili ya kufikiri???? Something fishy is going on time will tell
Na wale waislam waliokamatwa na majambia jana waliozingira central police na wenyewe wametumwa na Dr wetu wa divinity?
 
hofu yangu jeshi linaongozwa na Mkristo liseje likachukua nchi kama hali itaendelea kuwa mbaya na tete. Tunaomba serikali ifike salama 2015

Aisee! Umeona mbali sana. Namba 1 na namba 2 wote wakristo tofauti na zamani ilikuwa mmoja lazima awe Muislam
 
Barubaru wewe siyo mtanganyika wala mzanzibar hivyo tuachie mambo yetu..

Mwalimu JK Nyerere aliwahi kusema katika moja ya hotba zake akanena Wazanaki wanasema “ UBUBISUBISU OBUWERE EKIRO KIRIMBURA” akiwa na maana ya MFICHAFICHA MARADHI KILIO KITAMFICHUA.
 
Sasa naamini kuwa hii ishu ni zaidi ya tunavyoifikiria! Lazima kuna washenzi wanatimiza malengo yao kwa maslahi yao binafsi!Mara ya kwanza tulisema Sheikh Ponda haya sasa yupo polisi nani tena safari hii!! Hii ishu ni zaidi ya udini naanza kuona kuna siasa ndani yake!
 
Wakristo wapige marufuku hao watoto wa mama mdogo kwenda kwenye shule zao na hospitali zao...kama noma na iwe noma
 
Of all the people...........Barubaru?

Sikutegemea kauli kama hii kutoka kwako mkuu......PHD holder unaongea upuuzi kama huu!!!

Halafu, si ulishatangaza kujiondoa JF?......Nini kilikusibu?....

Ubaguzi ni kitu kibaya sana jamani......Mungu saidia
D.R.A.M.A. = Dumb Retards Asking for More Attention
 
Back
Top Bottom