Elections 2010 mungu wangu!!! hii haivumiliki wajitetee na hii kwenye vyombo vya habari.......

komagi

Member
Nov 1, 2010
62
2
wanasema ukila na kipofu usimshike mkono...hii sisiem wamewashika mkono watanzania wengi mno na hakika dhambi hii haitawaacha milele.. iko humu humu Jf ni kuhusu mkutano wa la cairo. hutaamini dharau tunazofanyiwa
 
Wote waliotajwa wameisha jibu kwa ufasaha kabisa na ushahidi wametoa wa ki maandishi. Hakuna kitu hapo , jamaa ameingizwa mjini this time amepewa ngoma feki aiseeee
 
Hebu punguza presha mpwa, hebu eleza basi una tatizo gani katika hilo?? ili tuweze kujenga hoja nakusaidiana, au nakosea?? maana bado sijaona unachotaka kukisema bado!!! karibu tusaidiane mawazo
 
Wote waliotajwa wameisha jibu kwa ufasaha kabisa na ushahidi wametoa wa ki maandishi. Hakuna kitu hapo , jamaa ameingizwa mjini this time amepewa ngoma feki aiseeee

Wote wamejieleza lakini ni upupu mtupu, kwani Riz1 alijitetea kuwa hakuwepo Mwanza siku ya tar.19, halafu akasema Hoteli yenyewe haijui alipo, ghafla akasema hoteli yenyewe haina uwezo wa kuingiza watu 30. sasa hapo tupate nini wewe Brain?

Lowasa naye alijieleza kuwa siku hiyo alikuwa jimboni kwake. lakini kumbukeni kuwa kwa wenzetu unaweza kuwa jimboni kwako, halafu baadaye unakuwa sehemu nyingine siku hiyo hiyo.

Rosta alidai kuwa siku hiyo alikuwa anatoka Africa Kusini, ambapo ndiyo siku contena lililokuwa limebeba makaratasi ya kura imekamatwa tunduma.
 
Kuna habari helicopter ilimchukua Lowassa toka Monduli Military Academy... wanasema wanajeshi waliokuwapo siku hiyo
 
Wote waliotajwa wameisha jibu kwa ufasaha kabisa na ushahidi wametoa wa ki maandishi. Hakuna kitu hapo , jamaa ameingizwa mjini this time amepewa ngoma feki aiseeee

Hivi hawa jamaa kama wanajua kuwa wamedhalilishwa wanaogopa nini kwenda mahakamani?
 
Wote waliotajwa wameisha jibu kwa ufasaha kabisa na ushahidi wametoa wa ki maandishi. Hakuna kitu hapo , jamaa ameingizwa mjini this time amepewa ngoma feki aiseeee

GeniusBrain, hivi kweli wewe una AKILI? Ngoja nikujibu kwa hoja rahisi!

Fact: EXIT stamp kwenye passport zinaonesha TAREHE pekee ya siku mtu alipoondoka kwenye nchi yake au ugenini. Hazioneshi MUDA!

Sasa, bila kupata Flight Manifest, ikionesha aliondoka kwa ndege gani huko SA, na ilikuwa ni wakati gani, hatuwezi KUTHIBITISHA kama kweli Rostam hakufika La Cairo, Mwanza.

Tarehe 19 ilianzia 12:00 AM. Angeweza kuondoka kwa ndege ya 12:00 AM (Saa 6 usiku) na KUWAHI kufika Dar, na KUWAHI kufika Mwanza!

Kwa hoja hiyo, Rostam amejikaanga mwenyewe!

Unataka nizungumzie utata wa JK kuwapo kwenye kampeni? Kwa helikopta yake ANGEWEZA vizuri sana kuruka toka alikokuwa, hata kama ilikuwa Mufindi, na kufika Mwanza in time for the meeting. Na kwa kuwa ulikuwa MKUTANO WA SIRI, haukupaswa KUTANGAZWA. So, si lazima (na si lazima watu wote wajue miendendo ya JK kila wakati) watu wa Mwanza wajue kama Rais wao yuko hapo!

Kabla ya kubwabwaja pangeni vema STATEMENT zenu! MNABOA!

-> Mwana wa Haki

SISI SI WAJINGA, tunaweza kufanya ANALYSIS!
 
Hi tulishaiona hata kabla ya uchaguzi tukaipeleka makao makuu ya chama makini!
 
Wote waliotajwa wameisha jibu kwa ufasaha kabisa na ushahidi wametoa wa ki maandishi. Hakuna kitu hapo , jamaa ameingizwa mjini this time amepewa ngoma feki aiseeee

hiv ulitegemea waseme tulikuwepo na kujadili kuchakachua wakati wa uchaguzi? Hapa tunahitaji uchunguzi yakinifu kubaini ukweli wa kauli zao. kumbuka Ile barua aliyoinukuu DKT SLAA ilikuwemo humu JF na tuliiona, kwa kuwa WAPAMBE wa watuhumiwa wamo humu JF inamaana waliiona hivyo waliwataarifu na wao waliandaa majibu mapema. RA anasema yeye alikuwa Afrika kusini na mzigo wa kura feki unadaiwa kutoka south je bado upaswi kuwa na shaka na huyu mtu. Polisi wange kuwa wanafanya upelelezi wao kwa kusikiliza kauli za watuhumiwa na kuziamini kusingekuwa na kesi.
Sisemi barua hile ni ya ukweli bali kuna mashaka, Bwana Kabwe muandishi wa barua hile anasema nembo ni ya jiji na saini ni yake ila maandishi sio yake, asemi sahihi ni wameigushi hivyo inaonekana kama yake (au wameiscan) yeye anasema sahihi ni yake, hapo kuna utata. Pili JK na EL wote wawili wakati wanachukua fomu za kugombea urais 1995 walikudi ndege toka Dar to DOM hivyo hawa watu wanaukwasi(fedha) kuhusu RA kuwa na fedha haibishaniwi. Hiv hawawezi kuhudhulia kikao na kukodi ndege kuondoka mwanza baada ya kikao kuisha. Pia kuna Helikopta iliyokuwa inatumika ktk kampeni je haiwezekani kuwafata wajumbe muhimu wa kikao ambao ni mafundi wa kuchakachua kura ili wahudhurie na badae kurudishwa maeneo yao. mwanza kuna uwanja wa ndege narudia tena kwa ukwasi walio nao wanashindwa kukodi ndege go and return kwa huyo asemae alikuwa South Afrika? Tusikubali majibu mepesi kwa maswali magumu
 
Back
Top Bottom