Mungu wa uchumi mioyoni mwa wajasiriamali

NDORANGA

JF-Expert Member
Feb 6, 2021
216
371
"Asubuhi panda mbegu zako ,Wala jioni usizuie mkono wako ,kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa,Kama ni hii au hii ,au zote zitafaa sawasawa"mhubiri11:6

salute!!
Waswahili walisema maisha ni hatua na Kila hatua DUA,wazungu wanasema "don't give up keep on grinding because there is a light at the end of tunnel" na leo hii Mimi Ndoranga nasema maneno haya mbele yangu,Jah na Jamii forum yote kwa ujumla kwamba -"KAMWE USIPUNGUZE MATARAJIO YAKO YAWE SAWA NA UTENDAJI WAKO WA KAZI,ONGEZA UTENDAJI WAKO WA KAZI ILI KUFIKIA MATARAJIO YAKO ULIYOJIWEKEA". Kwann!?

ni kwa sababu FURAHA YA MAISHA HAIPO KATIKA KUTOKUANGUKA BALI KUINUKA KATIKA KILA UANGUKAPO.
-am talking this from the deepest part of my soul.....coz I was been there,grinding till my last drop to achieve my wildest dream, kwasababu najua nilipotoka ,nafaham nilipo na nina uhakika wa ninapokwenda.

ELIMU YANGU KWA UFUPI NA MWANZO WA SAFARI YA UJASIRIAMALI KWA UJUMLA;
Binafsi nilimaliza elimu yangu ya sekondari ya juu(advanced level) 2018 Mei katika shule ya sekondari Kigoma( Kigoma sec.) nikichukua mchepuo wa PCB (P-physics, C-chemistry, B-biology) moyoni nikiwa na malengo ya kuja kusomea udaktari Kama ilivyo ndoto ya PCB taker wengi Kama sio wote,so hata msuli skuli haukuwa wa kitoto kubundi(kukesha) ilikua normal tuu...kusema kweli ilinibid nipambane haswa kwenye kusoma coz ukizingatia nyumban mimi ndo first born na pia hali ya nyumban duni, hivyo vyote vilinipa munkarii wa kukomaa sana class.

Nakumbuka hata kipindi matokea yanatoka ya kuchaguliwa shule kwenda advance sio tu kwamba nilikosa ela ya kusoma pre -form five hata nauli na ada ya shule kupata ilikua kizungumkuti.....so moyoni nilijiapiza ntakapofika skuli....kigoma ntakua sio tu nasoma kwa bidii pekee bali pia ntawa-organize na washkaji ili wanivunjie(kunifundisha) topic walizosoma kwa kina mtiga,moddy physics(R.I.P),Mbuga,Mkandawile,mgote na wengineo......na pia kuzingatia vipindi vya darasani.

Hii njia ilinisaidia Sana mim kufaulu vizuri kiasi kuanzia mitihani ya ndani mpk ikaja mock mkoa nkapiga division 2....Ila bila hivyo daaah ningezingua Sana maana akili yangu naijua..tiamaji tiamaji😌😅.Kipindi Cha likizo nilikua sirudi nyumban mpaka nlipomaliza form six kutokana na ukata wa home,kwahiyo ilinibid ni-stay kulekule kwa washkaji ambao walikua hawaishi mbali na skuli......daah aisee nakumbuka mengi sana(nilivyoenda advance sikuwahi rudigi likizo mpk namaliza form six.)Ila Kuna mda ilisaidia maana kwenye changamoto Kuna fursa na ugumu wa maisha ndo kipimo chenyewe cha akili......nikiwa likizo Kuna mda nlikua nawaza nkirudi hom baada ya necta nianze biashara ndogondogo ili hata nikiingia chuo niweze kujikimu mbali na pesa ya boom,(yalikua ni mawazo tuu).
Kama ilivyo kawaidaa baada ya kumaliza paper la form six(necta)..nilirudi home(dar -es- salaam) kwa ajili ya kuchaguliwa jeshi kipindi nkisubiria matokeo ya form six kutoka.Kumbuka baada ya paper nauli ya kuja dar nilitumiwa kama tsh130,000(hii ni pamoja na ela ya kula njian),daah sikuamini mazee ,kwangu ilikua bonge moja la suprisee🤗🤗. Kipindi hiki bi mkubwa alikua ndo amepokea kikoba,nkicheki nauli ya kuja dar ni elfu sitini nikijumlisha na ela ya kula inakua ni Kama ths65,000 tuuu, kwenye kula nilijibana kinomanoma😂🤣.Sasa baada ya kufika hom-dar nkasettle kama siku mbili hivi ili nili-relax kutokana na uchovu wa safari..then ikabid Sasa nianze kuchekecha akili ili nione naweza kupiga biashara gani kutokana na pesa niliyonayo na hapa wazo lilinijia akilini moja kwa moja"biashara ya mboga-mboga".

Hii ni biashara ambayo nilikua nikiifanya hata baada ya kumaliza form 4......yes biashara ya mboga-mboga..nikafikiria nkakumbuka bi mkubwa(Mama) aliombaga bonde kwa ajili ya kulimia ila kwa wakati ule alikua alitumii na nyasi zilikua nyingi sana shambani.kwaiyo ikanibid niongee na bimkubwa kuhusu ishu ambayo nataka kuifanya kipindi hiki Cha Kat kabla ya kuingia chuo ili nisikae idle, mama akakubal akanipa ka sh.35,000.. niliyomwomba aniongezee katika hii ishu ya kulimia ambayo nilitaka kuifanya......so mama akanipa bless zote mwanae, hiyo ilikua Kama ijumaa.

UTEKELEZAJI WA KILIMO CHA MBOGAMBOGA
Mwanzoni nilifaham fika hii kazi sitoweza kuifanya peke yangu ikanibid nimtafute kijana wa kushirikiana nae,yeaaah nkampata dogo flani mtaani tulikua tunamwita dizzo....huyu dogo alikua ametoka bushi amekuja kwa shangazi yake alafu hanaga pigo za kiwaki yeye ni kazikazi,nkampanga kuhusu kuandaa shamba(kufyeka majani &kulima matuta ) tukiwa tunashirikiana hivyo tukakubaliana nimlipe tsh30,000 kwang haikua nongwa uzuri tuu Kazi iende fresh....tukaenda kulicheki bonde,tukakuta bonde Lina nyasi nyingi sio poa, Ila uzuri maji ya kumwagilia hayakauki so ikabidi kesho yake ndo Kazi ianzee....kwahiyo tukakubaliana tuaanza kesho yake saa 12 asubuhi.

Kama kawaidaa kesho yake saa kumi na moja nkachukua majembe mawili,fyekeo,rato na reki na kidumu Cha maji ya kunywa huyooo bondeni.....kufika tuu namkuta dizzo huyu hapa ....ee bhana🤣 hatukupoa Kazi ikabid ianze "as soon as possible", fyeka Sana nyasi ndo tukaanza kupiga jembe,daah katka swala la kupiga jembe dizzo yupo vizuri....mchizi anastaili yake flani ivi amazing ya kulima na kufukia majani kwa wakat mmoja daaah sio poa...to cut a long story short.

-tulifyeka,tukalima na matuta ishirini in less than a three days
-ikabidi kesho yake nkachukue mbegu buguruni-sokoni kwenye maduka ya mbegu nkachukua mbegu za mchicha(mchicha wa kizungu), spinach, figiri, mnafu, Chinese, sukuma wiki ila mbegu Kama matembele sio za kununua inaiombaa mizizi yake then unaiotesha vizuri tuu kuja kucheki mfukoni imenitoka Kama tsh54,000 daah sio poa.

Kipindi napanda mboga-mboga nkipata nafasi nilikua naenda zangu RITA kufuatilia Cheti Cha kuzaliwa (Cheti Cha kuzaliwa ni muhim Sana kwenye kuomba mkopo wa chuo),kwahiyo route ikawa hivyo Yan ,bondeni kwa sanaaaa nkipata nafasi najiiba naenda Rita kufuatilia Cheti Cha kuzaliwa.

Sasa ikapita Kama wiki 2 ivi majina ya waliochaguliwa kwenda jeshi yakatoka jina langu likiwepo ,daah kuja kucheki nmetupwa Mlale-Ruvuma,nkiangalia mboga mboga ndo zipo kwenye "peak" ukiangalia kwa mbali shamba lote la kijani yaan ilikua ni mda wa kula matunda ya jasho Langu(mda wa kuvuna na kuuza) nkaona potelea pote na mpunga usiote kuliko kwenda jeshi bora niendelee na mboga-mboga so jeshi nkapiga chini🙌.

Kwaiyo nkazidi kuimarisha mboga-mboga wateja wanakuja kununua bondeni palepale mboga zingine naweka kwenye beseni napeleka gengeni.Yaan unaweza kuta kwa siku nagonga ths10,000 mpaka tsh 15,000 biashara ikikubali...mpk ikafikia stage nkawa nawasapoti madogo ela za matumizi skuli(nauli haikuwa shida sabab walikua wanasoma karibu na hom shule fulani ya kata),Ela ingine nahifadhi ikibakigi jero/buku nabeti(kubeti kwangu ilikua muhimu Sana).🙈😅.

photo_2021-04-16_11-35-04.jpg



Kwaiyo maisha yakawa hivyo yaan asubuhi bondeni kumwagilia na kuchuma mboga, jioni bondeni kumwagilia .Nkipata nafasi naenda Lita kufuatilia Cheti changu Cha kuzaliwa.Safari hii nlivyoenda nkaongea na jamaa mmojawapo wa pale kwamba Cheti Changu kikiwa tayar anistue coz kwenda na kurudi nauli,foleni nkaambiwa Kama wiki inayofuta vitakua tayari coz mlianza kufuatilia mda mrefu,sikua na jinsi ilibid nsubir mpk wiki ijayo nione itakuaje .wiki ijayo yake Kama jumatano ivi nkapigiwa simu nkaambiwa cheti tayari.....daah ikabid niende nkachukue nkapanda daladala nkafika nkakuta watu shazi Kama kwa.lile eneo nililokaa wakati nkisubiria Cheti kulikua na washkaji wengine wa rika langu walikua wanazungumzia mpira nkabidi njisogeze kwa wana kupeana kampani..nmekaa kidogo tuu ghafla nkaanza kusikia matokeo ya form six yametoka.... matokeo ya form six yametoka ,oyah daah sio poa matokeo kitu kingine kamoyo kakapiga "paaah"😂😝nkajua tayari kimeumana😝, mpk nkaanza kuwaza majibu nliyoyaandika kwenye paper.

Ila kwa kuwa nlikua nshapata Cheti Changu Cha kuzaliwa ikabid niondoke niende kupanda gari nrudi hom huku nkiwa na mawazo tele,Sasa nkiwa ndani ya daladala Kuna mwanangu flani ivi ambaye nilikua nasoma nae kigoma sec akanipigia simu kwa kua nilikua ndani ya daladala ilibid nikate ili tuchat ....akanitext akaniambia matokeo yametoka nna division 3.15(Physics-F,Chemistry-D,Biology-E,moyo ukapiga Tena kwa Mara ya pili "paaah".mazee sio poah niliishiwa nguvu nkapiga mahesabu ya haraka nkaona kusoma degree kwang itakua ngumu kutokana na marks nlizopata nkija kuangalia uwezekano wa kusoma diploma ndo ukawa ngumu zaidi kutokana na hali ya uchumi nkapiga moyo konde nkajisemea "even bad days has twenty four hours and this too shall pass" nkaona Sasa inabid nikiingia kwenye kilimo niingie miguu yote(mazima) maana huenda MUNGU akaniinua kupitia kilimo,kwaiyo nilivyofika nkampanga bimkubwa kwamba matokeo yametoka Ila kwa upande wangu sio mazuri Sana sijakidhi vigezo vya kwenda chuo.....Ila mwakani ntaenda kusoma diploma ya medical lab(lkn moyoni mwangu sikua na mpango kabisa wa kuendelea na masomo-nilifanya vile ili saikolojia ya mama iwe sawa).

Kuanzia mwezi wa kumi nkazidi kujidhatiti kwenye KILIMO nkanunua na simu ya smart "infinix s2" kwa ajili ya kuperuzi mtandaoni,nkajiunga "Facebook", Instagram, WhatsApp na pia pia nkaingia telegram. Facebook na Instagram account nilikua naperuzi tuuu ili kurefresh mind usiku baada ya kutoka shamba jioni,Ila baadae Facebook nilikuja kutoka maana niliona Kuna mamb ya kitoto(maswala ya beyonce ,Rihanna kuomba hela😂🤣),so nkaanza kuachana nayo....nkawa npo telegram, WhatsApp na Instagram.

Instagram so maisha yalikua hivyo yaan.nkazid kupambana na mboga-mboga,kwenye mboga-mboga nlikua najiongeza Sana yaan ilifikia stage nkawa nawauzia wanunuzi wa jumla na bado pia nauza pale shambani kizfupi sikuzubaa Wala kubweteka nilizid kupambani ndoto zang, basi bwana siku katika kuperuzi mtandaoni, Instagram nkakutana na ishu za forex(Foreign currency exchange market) ingawa nilikua nshawah kuiskia before Ila nilitaka niijue kinagaubaga nkaanza kuingia kwenye page za matrader wa south wa kina Refwayne (god of market),Djcoachsa(Forex broker killer), Kay_glife,belly forex killer,thabani ng'obo na wengine wengine wa ulaya Kama wa kina Uncle Ted, wick's don't lie,Kev(the forex scalper),cue banks na wengineo wengi wakanivutia Sana Sana kuanza kujifunza kutrade na kuwa trader Ila ishu ilikuja ntawezaje ku link nao hawa traders, ingawa nliona matrader wengi Ila hawa walinivutia Zaid coz walikua wanaonesha profit &loss zao kwenye trades hata profit wanazopiga hazikua za mchezo kuingiza $230,000 kwa mwezi kwao ilikua ni Kama kumsukuma mlevi bondeni,so nikaanza kuwa interested in "FINANCIAL MARKET".

photo_2021-04-15_18-53-00.jpg
photo_2021-04-16_11-34-45.jpg


SAFARI YANGU YA BIASHARA YA FOREX(FOREIGN EXCHANGE MARKET) NILIPOTOKA , NILIPO NA NINAPOELEKEA;
"Kijana wa kiafrika ni ngumu kujikomboa kutoka kwenye umasikini wa kipato Kama utashindwa kujikomboa kutoka kwenye umasikini wa fikra"- ilikua ni kauli mojawapo wa Mzee Reginald Mengi,Mimi binafsi naamini"maendeleo ni mawazo/fikra zilizotekelezwa" ,hivyo hata mm binafsi nilihitaji wazo lingine litakalonifikisha mbali kimaisha na kiuchumi zaidi, maana wazo la mboga-mboga lilinifikisha pale nilipo.binafsi niliona fursa adimu na adhimu(golden opportunity) ni kujifunza biashara ya Forex,ikanibid Sasa asubuhi na jion niwe bize na mboga-mboga usiku niaze kujifunza forex trading.. Sasa ili ujifunze vizuriforex ni vyema ukawa na mentor ambaye pia ni forex trader,nkampataga jamaa fulani ambaye pia ni mtanzania anielekeze jinsi ya kujifunza kutrade akaniambia malipo ya training ni $30( Kama ths69,000) tukakubaliana akaanza kunitumia PDF ya candlestick Bible,Naked forex niwe nazipitia nkazipitia pdf zote ndani ya wik 2 nkawa nmemaliza akaanza kunifundisha strategy moja inaitwa"pure price action",baada ya hapo soon nikaanza kutrade demo account(maswala ya kutrade nlikua nafanya usiku maana mchana nadili na mboga-mboga).
Kizfupi ni kwamba 2018 mpk 2019 mwanzoni nilichoma Sana account (I have blown countless forex account),lkn sikuacha kujifunza kila iitwapo leo(moyoni nilijua fika tunaishi katika Information age au tuiite golden era ambayo hatuhitaji pesa kutengeneza pesa tunachohitaji information sahihi kutengeneza ukwasi wa kutosha),faida nyingi nilizozipata kupitia mbogamboga ziliishia kwenye forex....
Kuanzia March 2019 nkaanza kua interested Sana na magroup ya free signal ya wasouth telegram.,nkajoin kwenye group mojawapo la free signal daah aisee Wana walikua wanagonga profit sio kawaidaa wengi wao walikua wanatrade currency....yaan tuseme hizi pair labda(GBP/JPY,USD/CAD,USD/ZAR,EUR/USD.... n.k)....kupitia kwenye hili group la free signal nkajenga urafiki na jamaa fulani anaitwa KOPANO jr nae pia ni msouth by nationality,mchiz nae alikua ni profitable trader japo alikua agongi profit za maana kiviiile Yan profit za kawaida tu.ikabid nianze kujenga ushkaji wa karibu na jamaa ili nipate mbinu mbili tatu za Mimi kutusua katika forex,mchiz ikabid anipange kwamba yy binafsi hafundishi forex Ila anaweza akanipa namba ya mentor wake(ni moja ya successful profitable trader mkubwa south Africa, ikabid nimuulize mentor ,ikabid nmmcheki mentor wake WhatsApp akarespond Kama baada ya siku 2 hivii,ingawa sms yang WhatsApp aliiona mda tuu.....(ndipo nkajua Kuna matrader wakubwa tuu ila hawana account za Instagram kizfupi hawana show off.🎯Kama kawaida nkajiunga kwenye premium group(ambalo tunalipia) la WhatsApp la mentor wao(kwenye lile premium group la S.A kulikua na wasouth wengi karibia wote uzuri ni kwamba walikua humble Sana..sijajua kwake Ila kwangu nahisi ni mpango wa MUNGU kunikutanisha nae sababu alinifundisha vitu ambavyo vilisadia kukuza na kuwithdrawal account yangu na strategy yake naitumia mpk leo Ila kuna baadh ya vitu nimeviongeza...
-Nikatrade demo Kama wiki tatu nlivyoona nmejiridhisha nkaamia kwenye "Real account" ambapo unaweka pesa yako halisi nkafata process vya kudeposit katika real account nkaanza kudeposit $20 kwa broker (jina kapuni),nkaitrade kwa risk Management kama siku 2 nkablow(nkachoma) account 😭,nkadeposit Tena $30 wakati huu nilikua natrade kwa makini Sana bado nkachoma Tena😭.

Kiufupi ni kwamba 2018 mwishoni mpk 2019 mwanzoni nilichoma Sana account (I have blown countless forex account),lkn sikuacha kujifunza kila iitwapo leo(moyoni nilijua fika tunaishi katika Information age au tuiite golden era ambayo hatuhitaji pesa kutengeneza pesa tunachohitaji information sahihi kutengeneza ukwasi wa kutosha),faida nyingi nilizozipata kupitia mbogamboga ziliishia kwenye forex....
Kuanzia March 2019 nkaanza kua interested Sana na magroup ya free signal ya wasouth telegram.,nkajoin kwenye group mojawapo la free signal daah aisee Wana walikua wanagonga profit sio kawaidaa wengi wao walikua wanatrade currency....yaan tuseme hizi pair labda(GBP/JPY,USD/CAD,USD/ZAR,EUR/USD.... n.k)....kupitia kwenye hili group la free signal nkajenga urafiki na jamaa fulani anaitwa KOPANO jr nae pia ni msouth by nationality,mchiz nae alikua ni profitable trader japo alikua agongi profit za maana kiviiile Yan profit za kawaida tu.ikabid nianze kujenga ushkaji wa karibu na jamaa ili nipate mbinu mbili tatu za Mimi kutusua katika forex,mchiz ikabid anipange kwamba yy binafsi hafundishi forex Ila anaweza akanipa namba ya mentor wake(ni moja ya successful profitable trader mkubwa south Africa, ikabid nimuulize mentor ,ikabid nmmcheki mentor wake WhatsApp akarespond Kama baada ya siku 2 hivii,ingawa sms yang WhatsApp aliiona mda tuu.....(ndipo nkajua Kuna matrader wakubwa tuu ila hawana account za Instagram kizfupi hawana show off.🎯Kama kawaida nkajiunga kwenye premium group(ambalo tunalipia) la WhatsApp la mentor wao(kwenye lile premium group la S.A kulikua na wasouth wengi karibia wote uzuri ni kwamba walikua humble Sana..sijajua kwake Ila kwangu nahisi ni mpango wa MUNGU kunikutanisha nae sababu alinifundisha vitu ambavyo vilisadia kukuza na kuwithdrawal account yangu na strategy yake naitumia mpk leo Ila kuna baadh ya vitu nimeviongeza.

MBINU NILIZOJIFUNZA KWA MENTOR WANGU(from south) ZILIZONISAIDIA KUWA PROFITABLE TRADER

Binafsi naamin au huenda ipo hivyo kwamba kuna tofauti kubwa Kati ya kuwa trader "mkubwa" na kuwa trader "mkongwe", sasa ili upate fast return in forex u need to be a Professional trader and u will learn that,those fast returns you make ,took years to learn how to produce.ndio maana leo nimeamua ku-share na wengine mbinu nilizozitumia kutusua sokoni ili na wengine nao wanufaike,ili wasibakie kuwa matrader wakongwe wasionufaika sokoni.baadhi ya mbinu nulizozitumia ni hizi hapa nimeziorodhesha(note;sio LAZIMA utumie mbinu nilizozitumia,unaweza ukajitengenezea principal zako),binafsi nilikua natumia mbinu zifuatazo na sio kwamba zimenisaidia 100% but zimenisaidia pakubwa Sana,
1.TO BE COMMITED TO FOREX TRADING-ili kufanikiwa katika biashara yoyote ile ni muhim kuwekeza nguvu,akili,ubunifu na hata na imani yako(sio dini) katika hiyo biashara Utafanikiwa tuu,hata mimi
wakati naanza forex nilikua naamka saa 9:30 usiku;
Naangalia chart,nafanya analysis natafuta set up nzuri then naingia kwenye demo account kabla sijaanza kuwa na real account,ukifika saa 12:00 Sasa ndo najiandaa kwenda bustanini kumwagilia na kuchuma mboga-mboga,usiku tena naangalia chart natrade demo Kama ndo real account,baadae Sasa forex ilivyoanza kunilipa zaid,nilivyoona Sasa faida ya mboga-mboga ya miezi 5 naweza ingiza ndani ya wiki kupitia forex ndo nkazid kujidhatiti zaid kwenye forex,sikuacha mboga-mboga mpaka nilinufaika zaid sokoni,nikatoka nyumbani nkaenda kuanza maisha yangu(nilipanga nyumba nzima mwanzoni price kwa mwezi ilikua ni Kama 350K,unalipia kwa miezi sita).

photo_2021-05-01_03-04-38.jpg
photo_2021-05-01_03-04-34.jpg


2.DON'T TRADE TO GROW ACCOUNT,TRADE TO WITHDRAWAL PROFIT; mentor Wang alishawahi kuniambia kwamba"when others trade to grow their account make sure you trade to withdrawal your profit bcoz trading is not a rat race,the purpose is to have freedom of finance" hii kauli nakumbukaga hadi Leo na imenisaidia sana,katika kutrade forex lengo sio kushindana lengo ni kulishinda soko,kupata faida na kuwa na withdrawal nyingi tuu.ukiwa unawithdrawal Sana itakusaidia kupunguza emotion,stress hata itakapotokea soko halijaenda upande wako,kwasabu ushindi wa kwanza sokoni ni kulinda ulichonacho wa pili kutafuta usichonacho.

photo_2021-05-01_03-05-00.jpg
photo_2021-05-01_03-04-57.jpg

Katika kila nnachopost kuanzia picha na kadhalika naficha identity zangu muhimu kuanzia sura,hata broker(natumiaga mabroker tofauti tofauti), na account ya jina lang coz Sina lengo la kuipromote hii biashara ya forex au biashara ya mboga-mboga lakini lengo ni kukudadavulia wewe kila hatua ya kutoka from newbie to pro -trader ,kutoka kuuza mboga-mboga rejareja bondeni mpaka kuuza kwa wanunuziwa jumla, nnachojua ni kwamba if "I can, u can and it's possible for everyone with good strategy and commitment under the sun,".

3.WEEKLY TRADING CHALLENGE (WTC);Kuna dhana ambayo newbies (newtraders) wamejengewa hata mm binafsi pia nlikua nayo kwamba ukiwa na capital ndogo ni ngumu kunufaika sokoni kitu ambacho so "KWELI".Niwe muwazi tuu ata mimi binafsi nilikua na fikra kama hizo mpk nlipompata successful mentor ambaye baada ya kutuelekeza strategy yake,tukaielewa,tukapractice katika demo account,tukaanza kupractice katika real account akaanza kutupatia quiz/challenges ambazo yeye alipenda kuziita "weekly trading challenge,WTC"zilikua zinafanyika kila wiki ya mwisho wa mwezi ambazo alikua akitutuamuru tuwe tunadeposit chini ya $10 na tuwe tumewithdrawal Zaid ya $100,na tutume screen shot ya deposit & withdrawal kupitia WhatsApp yake ili ajithibitishie. Niwe muwazi tuu hata mimi mwenyew mwanzo nilimwona mentor mnoko asiyetaka mafanikio yetu yawe ya haraka pia mwanzoni kutokana na emotion ilikua ngumu kuwithdrawal Zaid ya $100 kwa kudeposit chini ya $10 kwenye account,lkn nilivyozid kujiimarisha na kuwa "consistency"ndivyo nilivyozid kujiimarisha sokoni mpk nkawa natoka $10-$100,$10-$600 n.k nakadhalika kupitia weekly trading challenge and the rest is history,hii ni kutokana na strategy na saikolojia aliyotuje gea ..vinginevyo huenda ningekua nishakata tamaa mapema sanaa.

photo_2021-05-01_03-05-07.jpg
photo_2021-05-01_03-05-14.jpg
photo_2021-05-01_03-05-04.jpg



Kwangu ni mentor ambaye nilimshukuru,namshukur na nitaendelea kumshukuru "till i die".sijajua kwake Ila kwangu nahic ni mpango wa MUNGU kumtumia Kopano jr kunikutanisha na mentor wake,
FOCUS ON FEW PAIRS/INDECIES:mentor Wetu once upon a time alishawahi kuniambia kwamba "u can be successful profitable trader by trading only one pair/index",kutrade indeces chache inasaidia kuijua tabia ya pair/index fulani,hii ni kutokana na tabia ya pair/indeces fulani sokoni huwa inajirudia rudia katika chart,ndio maana hata mimi baada ya kuijua hii siri Kuna indeces zangu chache ambazo nazitrade since the day I started Trading.
For me boom &crash, volatility 75 indeces na Nas 100 ndo favourite indeces zangu.

PATIENCE;tunafahamu fika kwamba forex is a job not a casino,a trader who approaches a forex market as a gambler or addicted to money won't get a fortune,kwahiyo hakikisha unapoifanya biashara yoyote tamaa zisizidi jitihada utatusua tuuu,iwe mboga-mboga ,uwe umeajiriwa,uwe unasoma Utafanikiwa tuu
NOTE;ili ufanikiwe katika biashara,au dhamira yoyote jitahid Sana kuwa mkweli kwa nafsi yako Utafanikiwa tuuuu uwe unafanya biashara yoyote ile Utafanikiwa tuuu
ambaye pia amekua ni mentor wangu.

"If hustling works for you dont discourage those studying,if studying works for you dont discourage those hustling because street is smart ,book is smart ,the goal is to succeed."
 
Tuambie boss namna ukipata iyo usd 5000 ili na sisi tujue tunakosea wapi.
-Kupitia kutrade mkuu,maana silaha ya kwanza sokoni ni kulinda ulichonacho ya pili ni kupambana kupata usichonacho.....
-jitahidi Sana kuwekeza nguvu katika ujuzi(knowledge)itakusaidia
 
Back
Top Bottom