Mungu wa mbinguni uwalaani wote waliouza gesi ya Mtwara kitapeli

Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
588
1,000
Nakuomba Mungu awalaani hawa wahuni waliouza gesi yetu ya Mtwara kihuni maana walichokifanya ni kitendo cha mauaji makubwa kwa ustawi wa nchi yetu.

Gesi ndo uchumi wa nchi ya Urusi, wao wametumia hii lasilimali kukuza uchumi wao na Ulaya mashariki wanamtegemea mrusu Kwa hii nishati. Ubabe wa Russia upo ndani ya gesi.

Leo Tanzania tuna mgao wa umeme kwa upumbavu wa watu wachache, inauma sana, sasa kama nchi tutapataje maendeleo kwa hali hii.

Lakini napata faraja utawala ujao Hawa watu wataozea magereani kwa uhujumu walioufanya.

Mlaaniwe narudia tena na vizazi vyenu na kila mlichokivuna kwa wizi huo kisambalatike na familia zenu zizidi kupata kila aina ya majanga na ikiwezekana mfe wote maana nyinyi ni zaidi ya mashetani.

Hii ni laana na itawatesa washenzi wote waliolihalibu Taifa hasa hili swala la gesi yetu ya MTWARA, AMINA.
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
20,197
2,000
Kwani Mungu yupo basi, halafu unawasema kwa Mungu yupi Kama ni yule waliotuletea wao jua hakuna unachokifanya, nenda na ukatoe sadaka uzidi kuwanenepesha mifuko yao! Na bado.
 

Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
3,120
2,000
Kwani hiyo gesi kauziwa nani na kwa masharti gani? Na je, inasafirishwa nje ya nchi au matumizi yake ni humu ndani ya nchi?
 

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,388
2,000
Nakuomba Mungu awalaani Hawa wahuni WALIOUZA ges yetu ya Mtwara kihuni maana walichokifanya ni kitendo Cha mauaji makubwa kwa ustawi wa nchi yetu.Gesi ndo uchumi wa nchi ya Urusi,wao wametumia hii lasilimali kukuza uchumi wao na ulaya mashariki wanamtegemea mrusu Kwa hii nishati.Ubabe wa Russia upo ndani ya ges .
Umenikumbusha 2015 mwezi July. Wabunge wa Ccm walipoonywa na wenzao wa upinzani chini ya mnadhimu wao TAL . Kutokupitisha ule muswaada wa Sheria ya Mafuta na Gas . Wakiongozwa na Makinda waliipitisha usiku wa manane , eti hawakujua Rais ajaye kama angeweza kubariki ushenzi ule.

Kwakweli tatizo la nchi hii ni genge lote chini ya Ccm wakiwemo na wabunge wao.
 

kitali

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,604
2,000
Tunaomba Mungu awalaan na wale waliochukua zile1.5 trilion alizosema CAG Prof Asad. wametuacha vibaya sana kama nchi.
 

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,905
2,000
Huyo Mungu wa mbinguni anakaa wapi? Kwani mbinguni ni wapi? Yaani mbingu ipo galaxy gani?
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
26,061
2,000
Na hao ni kina nani? walimuuzia bei gani? ni nani aliyeuza bila kuwashirikisha wananchi kupitia sauti yao ambayo ni Bunge? lete data mkuu acha kuumauma - bila hivyo na wewe tunakuona ni mtu wa majungu.

Capacity ya bomba la gesi inayochakatwa kwa sasa ni 6%, 94% bomba lipo tupu - Gesi mtwara imejaa lakini haizalishwi na umeme hauwaki nini tatizo??
 

RMC

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
792
1,000
Makamaba anakuja na umeme wake wa upepo na jua soon! Projects aftre projects after projects.
Maana yake mkataba wa miaka 20 na malipo ya capacity charge hata msipoutumia huo umeme, wakati mwakani tu Stiglers gorge Rufiji itakamilika na tutakuwa na umeme wa ziada mwingi kiasi hata hii mitambo ya gesi inayotumika sasa kuzalisha umeme itabidi baadhi izimwe.

Kimsingi TANESCO haitakiwi iingie mkataba wowote na kampuni yeyote ya binafsi wa kununua umeme toka kwao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom