projectman
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 349
- 486
leo nimekuja katika mtazamo mpya wa kimaswali! nikiuliza juu ya imani hizi za kuamini ukifanya mauwaji ndio unapata thawabu ya kwenda peponi.alafu baada ya apo kunaurithi wa kupata wanawake lukuki uko peponi kwenu!
sasa mimi nauliza tuu! ivi mtaacha lini kudanganywa na huyu ibirisi anaye wadanganya uongo wa waziwazi kiasi icho.na sina budi kuzungunza haya maana mauwaji ya alishaababu tayali yapo kenya. sasa katika siku za usoni hatutaki kabisa izo mambo ziingie kwetu tanzania maana roho mbaya zilizo pandikizwa na mungu muongo ndizo zinazo fanya amani iondoke katika maisha.
Mungu wa kweli hafanyi mauwaji!
Mungu wa kweli haizinishi uzinzi!
Mungu wa kweli sio Mungu wa visasi!
Mungu wa kweli ni mwenye upendo angetaka sisi tufe asinge taka msaada wowote wa kibinadamu katika kutuuwa angetuuwa yeye mwenyewe na ashindwi.
kwaiyo ndugu zangu mnao amini hayo mafundisho ebu tumia basi ata akili za kuzaliwa kuliangalia ili swala vile jinsi gani hutakiwi kuongozwa na dini kufanya uhalifu.
ni hatari maana ugaidi sasa umeingia East Africa-tukianzia na kenya.
nibora kubadili fikra kuliko kutoka povu.sisi sote ni wageni katika dunia hii.