Mungu tusaidie jahazi la CCM linazama mchana kweupe!

images
 
Pinda anazidi kujidhalilisha. Hata kama ni kuwa na heshima wakati mwingine km mwanaume anatakiwa kuonyesha kuwa ana weza. Ni mambo mangapi ameshindwa kutamka kama PM akiwa anamsubiri Mzee wa Kutembea.
 
Mama tunu naye ameingia kwenye malipo kwa hisani ya wamarekani!
 
Kwa kweli CCM sasa inaonekana kama chama cha upinzani, watu wamekosa imani hasa vijana kila tusi kwa CCM

CCM ni zaidi ya chama cha upinzani, ni chama cha wasaliti na mamluki fulani watanzania, hovyo kabisa!
 
Mama tunu naye ameingia kwenye malipo kwa hisani ya wamarekani!

Spika Semamba wakati akiwatambua wageni, kamtambulisha eti "Mheshimiwa" Tunu Pinda, Mke wa waziri mkuu. Jamani huu Uheshimiwa unatoka wapi?
 
Eee Mungu niweke hai mpaka 2015, nishuhudie kwa macho yangu jinsi CCM itakavyokuwa chama cha upinzani.

AMEN
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom