MUNGU PEKEE NDIYE HAKIMU HAKI......must read

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,627
154,992
Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi
akashtakiwa kumbe yule jamaa ana
bibi yake mtaalam wamambo yetu ya
Sumbawanga...
Jamaa akaongea na bibi yake
amuwekee jinsia ya kike ili akashinde
Mahakamani na akitoka arudishiwe
mambo yake kama kawaida.
Bibi akampachika jamaa jinsia ya kike
alipofika mahakamani kuhojiwa
akasema mi sijampa ujauzito
kwasababu minina jinsia ya kike
pia...!
Kwa kuthibitisha akajifunua nguo, basi
jamaa akashinda kesi.
Jamaa akawa anarudi Home, lakini
wakati anakaribia kufika akaona watu
wengi wamejaa home wanalia
akauliza kulikoni akaambiwa "Bibi
amefariki"!
 
Mwambie asubiri atakaerith mikoba ya bibi.au asubiri baada ya mwezi akiona masika yameingia mvua zinanyesha atafute msela atakua amejisaidia zaidi.
 
Aisee...! huyo bibi angekuwepo ningemtafuta amfanyie hiyo makitu Kapuya ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom