Mungu nisifikie kukata tamaa

Umejitabiria mambo mawili mwenyewe KUKATA TAMAA au KUJIUA. Unaonekana una hofu sana na maisha na hupendi kujulikana, huu ndio wakati wa kuona upande wa pili wa mpenzi wako wewe unaficha ugonjwa!? angalia kifo kisikuumbue.
Kurudisha majeshi nyuma sio kushindwa vita bali kujikoki upya acha kukariri maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wazazi ndo wamekukataa mazima? Kisa hutaki kuajiriwa
Bro usikate tamaa jitahidi kujaribu kuongea na watu inasaidia kuondokana na mawazo fulani hata kuchati huku JF unapata faraja fulani ,Mimi mwenyewe nilikua kwenye hali Kama yako na sio kwamba yameisha hapana bado napambana kutoka.

Mungu akusaidie ushinde katika jaribu hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza: Mm nisikupe pole bwana mdogo.Kwanza umenichekesha kwel unaposema unadaiwa 5,000/=.Yan hiki ni kichekesho.Tena kituko.

Pili: kusema kodi ya miezi mi 3 nalo ni deni la kukuogopesha mm wala hujanishtua hata kidogo.Siwez kukupa pole kwa hili pia.Kama mwanaume hupaswi kukosa ujasir kwa deni la kodi ya miez 3 (labda kama unalipa more than 500,000/=) kwa mwezi.Nakushauri nenda hata kamkope hela ya matumiz huyo mama mwenye nyumba maana hela anayokudai wala haina sifa ya kitwa deni bali limbikizo la kodi.sio deni.

Tatu: Changamoto nayoweza kuwa concerned nayo hapo ni KUFUTWA KAZI tu.Na hii naomba iende sambamba na HONGERA ya kuanza mapambo ya maisha bado mapema.24 yrs is very early.Tena shukur unakutana na haya bado una ALOT OF OPTIONS to seek a refuge.Bado mdogo sana.Umri huo mm nilikua ndio kwanza namaliza chuo.Sina kazi lakin nimeanza maisha nina mke na mtoto m 1 na sikua najua naenda kufanya nn mtaani na sijui nitatoa wapi pesa ya kula na kulipa kodi wal kutunza family.Hongera kwa kuamza mapambano mapema bwana mdogo.

Sijaona ukizungumzia kama una familia tayari hapo lakin nikupongeze tu kwamba Hongera unakumbana na haya ukiwa na akil timamu iliyo active.Kama ni soka hilo wala sio goli bali Faulo tena dakika ya 5 ya mchezo.U stil have 85 minutes till end of the game so you have not a chance but opportunity to make things right.

USHAURI WANGU KWAKO.
Ni kosa kwenye maisha kukosa mtu wa kuwa msaada kwenye mambo madogo sanaaa kama kula na kunywa au wa kukosa hata kukupa 5,000/= unayoita deni.Umefanya kazi , je hukua hata na marafiki wa kwaida kabisa around your working place??? Huna hata marafiki wa kawaida kabisa kitaa unaoshirikiana nao kwenye mambo madogo mAdogo ya kijamii ambao wanaweza wakajua yanayokusibu wakakupa BACKUP!(siiti msaada) kwa kipindi hich mpaka ukose hata pa kula??
Je huna hata mazoea na wapangaji wenzio (kama mnaishi kadhaa ) ambao kwa utamaduni wa kiafrika hawa ndio msaada wako wa kwanza ukiwa na shida??Sasa siku ukiugua usiku nani wa kukusaidia???
Okay, je huna ma beat friend wako wanoweza kuwa tegemeo kipindi cha shida?Hata kama wako mikoani!!Kama umeweza ku post JF, je umeshindwa ku text machiz wako wa ukwel wawil watatu wakakupa sapoti hata ya mkopo wakati unafikiria kujipanga!!?

Mwisho wa yote huna basi ndugu wanaoweza kuelewa changamoto wkawa msaada japo kwa kipindi kifupi??KWEL MUNGU KAKUNYIMA VYOOTE HIYO HAPA DUNIANI???sikubalianai na ww..YA MKINI UMEJITENGA SANA NA DUNIA MKUU and this is NOT PROPER CIVILIZATION.Kwenye maisha lazima uwe na NETWORK YA WATU regardless of their life status maana hawa ndio wa kukupa MICHONGO au ASSISTANCE yoyote Hata kama ww ni mbabe vp mzee unahitaji watu.Hao matajir tu wa dunia hii wanajua licha ya pesa walizonazo kuna wakat hazi WORKOUT SOME MATTERS kwahiyo lazima wahitaji watu wa kuwakwamua kwenya baadhi ya issue.ACHA KUJIFUNGIA sana kwenye ulimwengu wa peke yako.

Hawa wote ndio wakukupa sapport japo ya muda mfupi wakat ww unajipanga kujua ufanye.Na ndio wanaoweza kukusaidia mawazo.

USHUHUDA WANGU MDOGO TU.
Labda hii inaweza kukupa mwanga.

Kama nilivyokueleza kipind mm nikiwa namaliza chuo sina ishu na sijui itakuaje ilinichukua kama miez kadhaa naishi kwa kushikwa mkono na washkaji na wazazi.

Siku moja nikiwa kijiwen /gheto kwa mchiz wangu tunapiga stori ilikua Tandika by the time.Jamaa mmoja ambae alikua jamaa angu kitaa yy alikua anapiga mishe za kibarua cha kujenga.Akaniuliza hivi AsajizzleDaGreat ww si unajua jua masomo ya sayans ?Nikasema ndio.Akasema kesho twende kwa kwa bosi wangu mmoja hvinilishawah kufakwake kazi ya kujenga (maeneo ya Mbagala Misheni oposite na shule ya st.Antony).Huyu bos ana tuition centre nikakuombee kazi.Yy jamaa hata kusoma hajasoma na hiv leo tunavyoongea jamaa ni security guard.
Huo ndio ukawa mwanza wa maisha mengine.Nikawa napiga pindi za Phys ,chemistry na Biology.Daily naondoka na 15,000/= mpaka 17,000/= maan napiga pind za darasan na nikapewa watoto wa bosi.
Ni mshkaji tu ndio kanipa mchongo.

Baada ya hapo nikapata kaz Samsung electronics Posta mkwanja wa kutosha tu na Baada ya hpo nikingia kampuni binafsi ya IT as project manager .KAZ ZOTE HIZ SIJAWAH FANYA INTERVIEW BALI NI WANA NA WASHKAJI KWEYE MAISHA NDIO WANAKUPA MICHONGO.

Learn power of having people.Lakin kwanza ya yote mtegemee Mungu na uwe comitted san to HARD WORK na ufanisi kweye michongo.USIKAE KIZEMBE
 
asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia Dhambi ndio hizo, unashindwaje Maisha kizembe hivyo!!? Mwisho wako ni nini ukijifungia uwe Mwana mwali?

Ngoja nikupe histori wakati natua Mji kasoro bahari sikua na A wala B Elimu darasa la saba... Hatua ya kwanza nilianza kuomba kufua kila nyumba na ujila ilikuwa nile tu...

Wamama wengi walinipenda na kunipa kazi za aina zote mwisho kwa siku nikawa sikosi buku 3,000 na kula nimesha kula.

Baada ya miezi mitatu nilijikuta nina laki 350,000 na kwa bahati nzuri nikapata kazi ya house boy kwa Mkurugenzi mkuu wa Serikali wakati huo..

Leo na run DSM zaidi ya unionavyo full package ndoto kubwa nazitafuta HESHIMA zangu Nchini ikiwezekana na Nchii jirani na Kati.

Toka njee anza upya... Huwezi kulipia chumba tafuta mtu mshee nae...

Mfano wakati naingia DSM nilimtafuta muosha magari mmoja tukapanga na tukawa tunaosha Magari pamoja.

Hivi ndio maisha yanataka kujishusha kwa sababu na malengo.

Mtaji ni watu ndugu... kaoshe vyombo hata kwa mama ntilie ule upate kuwaza kwa usahihi ndugu yangu lasivyo utaolewa watu sio wazuri sana kwenye majasho yao ( PESA )

Naandika hapa kuja kwangu mpaka upande lifti na mjengo ninao na watoto wapo wanaheshimika mpaka kwa waaalimu wao na sio najisifu..

Siku moja nilikutana na yule mkurugenzi akajua nilikuwa Usalama namchunguza kumbe ni Maisha tu. Ila taadhali usije kuvuta Bangi chumbani kama Mimi mwenzio navuta ili nipate ushuhuda wapi nimekosea wapi nirekebishe ila mambo yawe mswaaano mswaano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana aiseeeee
Uanaume sio kukaza kwenye kila kitu, kuna mambo yanahitaji ushauri na kupewa faraja kutoka kwa wengine. Nimemkubali member kwa ujasiri wa kuja jamvini na kuomba faraja na mawazo mbadala pia nimeupenda moyo wa wanaJF kwa kumfariji kwa chochote MUNGU AWABARIKI.

Tusichojua au kuelewa ni jambo moja TUNALELEWA AU KUKULIA KATIKA MAZINGIRA TOFAUTI, binafsi anayopitia member yamenikuta miezi mi3 iliyopita na sahivi nauguza majeraha.Niko age sawa na jamaa na mazingira niliyokulia hayakuniruhusu kujifunza kuhustle japo napenda hustlering nikiwa Kama mwanaume.
Baada yakumaliza chuo niliamua kupambana binafsi japo niondokane na Hali ya kuombaomba ajira(Declare interest SIPENDI KUAJIRIWA) but home wakakataa mimi kufanya shughuli nyingine zaidi ya kuajiriwa,so nilichoamua ni kupotezeana na home na wao wakafika mbali zaidi na kusema mimi sio mtoto wao na hawatanisaidia kwa chochote (inaumiza kuambiwa maneno hayo na mtu umpendae, Yote kwa yote nilishasamehe) kutokana na mazingira hayo niliamua kuuza kila kitu ili kufidia Deni la chumba nikaenda kwa uncle japo kujipanga duuh yaliyonikuta yanaumiza zaidi...Nilifikia hali ya ndugu yangu huyu(Depression in first stage) sina nauli kusema nitaondoka niende mahali pengine, sina wakumuomba chochote zaidi yakupata sehemu yakulala, Kuna siku nilisingiziwa nimeiba na huyo uncle wangu kitu ambacho sikukifanya, niliamua kuondoka na kwenda kukaa msituni japo sio sana kwa wenyeji wa dar (Madale kata ya Mbopo) nililala siku mbili huku naokota makopo mchana mpaka usiku "Mbalamwezi ilihusika" Mungu Ni mwema nilipata kijinauli nikasepa mkoani kwa masela japo maisha sio mazuri ila Mungu Ni Mwema.
Kuna watu wanapitia mengi tena magumu lakini usiwaseme vibaya kuwa ni wanaume dhaifu au hawajitambui, hii inatokana na mazingira tuliyonayo na tuliokulia pia uwezo wa mtu kujichanganya na jamii, Mazingira tuliyokulia yanachangia sana hali anayopitia mtu.

Pia nimejifunza kitu, watu waliokulia Iringa wanaspirit ya kuhustler sana ila kinachowafelisha ni kwamba hatujafundishwa kujichanganya na jamii na hii ndio inachangia wengi tunapopitia magumu tukishindwa kwa akili zetu na kama mtu yuko mbali na Mungu hukimbilia kujiua.

Mbarikiwe wanaJF

Sent using Jamii Forums mobile app

You are strong than what you think...
 
Aiseeee!! Rudisha majeshi nyuma (nyumbani) ukapate baraka za wazazi uanze tena, uangalie ulipo kosea usonge mbele, kukata tamaa ni dhambi wewe mtoto wa kiume piga kazi

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom