Mungu mkubwa: Nusura iwe siku mbaya kuliko zote maishani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu mkubwa: Nusura iwe siku mbaya kuliko zote maishani...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mphamvu, Dec 5, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa mchana wa saa 9 hivi, leo hii.

  Nilikuwa nimetoka kupata chips kibandani kwa Mangi, nikapita dukani kwa Jose kupata maji ya Tsh. 50, maarufu kama condom au diripu.
  Wakati huo Aswile akaja na simu yake, akiomba nimsaidie kuiunganisha na intaneti, mixa akanipiga mzinga wa buku 5 kwa miadi kuwa atanirudishia kesho.

  Stori zikawa nyingi za kupoteza muda huku nikimsaidia kufanya alichoniomba nimsaidie.
  Dakika tano kakangu akanipigia kunitaarifu nikampokee Ubungo, alikuwa anatoka Mbeya leo.

  Drama ikaanzia hapo, ile natoka niende kujiandaa na safari, nikagongana na mtoto mdogo pale mbele ya duka, mtoto akadondokea barabarani ambako ji-NISSAN Shangingi lilikuwa linakatiza. Mungu si athumani nikawahi kumwokota mtoto as tairi la gari lilipita pale mtoto alipoangushia kichwa.

  Kila nikipata picha ya ambacho kingetokea nakosa raha kabisa... Ukizingatia utaratibu wa kuisaidia polisi katika vyombo vyetu.
  Ishu nyingine ni uhusiano usio mzuri sana na mamake huyo mtoto.

  Namshukuru Mungu wana-JF kwa kuwa salama mpaka sasa hivi, na mtoto nae yu mzima.
  That's my story!
   
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh, movie.
  Thanx 2 God
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hero of the day. . . HONGERA japo sijaona uhusiano wa Jose, safari ya Ubungo na hiyo ajali ambayo ilitaka kutokea.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Duh, kama ni kweli Pole sana. Its scary
  Ila kama umetunga, napoteza ndulele zako.
   
 5. driller

  driller JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  asee pole sana....! pole sanaaaa..! dah ingekula kwako...! hapo ni Mungu tu mshukuru sana Mungu asee...!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,014
  Trophy Points: 280
  Mungu apewe Sifa kwa kukunusuru na mitarimbo ya manyapara
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kama huendagi kanisani au mskitini hima ukamshukuru Mungu na utoe fungu la ten mana ungeona rangi zote
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  pole sana ndugu.Nalog off
   
 9. driller

  driller JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  si alikua analeta flow ya tukio jamani mbona critic hivi daah weeeeeye
   
 10. driller

  driller JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  na wewe kila saa unalog off na wakati upo....!
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  naonekana nimetunga eh?
  Afu kongosho you are dying to have my ndulele's eh?
  Go on, make a move!
   
 12. driller

  driller JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kama lingetokea kweli hilo tukio kule mitaa ya bariadi jamaa angekuaje sasa hivi...? manake MURA wange muumiza sana asee...!
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  nope, not a scene.
  A true, fresh and genuine incident of mine.
  Sawasawa?
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  as said driller, nilikuwa natengeneza flow ya tukio. Kuliko ningeruka mazima na kusema chenye kilitokea, maswali ya ulikuwa wapi, ukifanyani n.k nimeyaepuka.
  Sawasawa?
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  pOLE NDUGU, MSHUKURU MUNGU.
   
 16. JS

  JS JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pole kwa misukosuko hiyo ya leo....mshukuru Mungu wako m
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  nimemshukuru Mungu kwa kunusuru maisha ya beibii, na kuniepusha na dhahma la mkono 'mrefu' wa serikali.
  Namshukuru tena Mungu!
   
 18. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pole ndio uone sababu ya kumshukuru Mungu kila siku,
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo we cha muhimu kwako ni mtarimbo tu?
  Vipi kuhusu maisha ya mtoto, ndoto zake za baadae? Maisha yangu ya jela, mipango yangu ya maisha je?
  Mtarimbo counts nuffik here...
   
 20. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kweli huyu jamaa anaboa ile mbayaaaaa..... Ningekuwa karibu naye kila wakati angekuwa anakula za uso.
   
Loading...