Mungu Mbariki Raisi Kikwete!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Hii ni sala ya kumuombea Raisi wa Jamuhuri wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete! Mungu baba muumba wa mbingu na na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana tunatanguliza shukrani zetu kwa kumaliza uchaguzi kwa amani japokua kuna kasoro zilizojitokeza hapa na pale!

Tunakuomba umpe Kiongozi huyu busara ya kuweza kuchanga karata zake vizuri katika kutuletea viongozi waadilifu katika hilo baraza la mawaziri ambalo muda si mrefu kuanzia hivi sasa watanzania wote watakua karibu na TV na Radio zao kuweza kusikiliza ni nini muheshimiwa huyu atatutangazia baraza hilo la mawaziri.

Mungu baba pia bila kusahau baraza hilo litakalotangazwa tunaomba liweze kutenda haki na kua karibu na wananchi wenye matumaini ya kupata maisha bora na kuutupilia mbali ufisadi uliokuwepo hapo kipindi cha utawala wake ndugu Kikwete japokua ufisadi sasa hivi neno hilo limebadilishwa na kua ni mtu anayechukua wake za watu!

Tunajua baba wewe ndio utakaye mtangulia Raisi huyu katika kutenda haki kwa watanzania wote ili amani na utulivu viweze kutawala katika taifa hili, tunaomba haya kwajina lako AMINA!

Mungu Ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa!

:pray:
 
Hii ni sala ya kumuombea Raisi wa Jamuhuri wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete! Mungu baba muumba wa mbingu na na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na
visivyoonekana tunatanguliza shukrani zetu kwa kumaliza uchaguzi kwa amani japokua kuna kasoro zilizojitokeza hapa na pale! Tunakuomba umpe Kiongozi huyu busara ya kuweza kuchanga karata zake vizuri katika kutuletea viongozi waadilifu katika hilo baraza la mawaziri ambalo muda si mrefu kuanzia hivi sasa watanzania wote watakua karibu na TV na Radio zao kuweza kusikiliza ni nini muheshimiwa huyu atatutangazia baraza hilo la mawaziri. Mungu baba pia bila kusahau baraza hilo litakalotangazwa tunaomba liweze kutenda haki na kua karibu na wananchi wenye matumaini ya kupata maisha bora na kuutupilia mbali ufisadi uliokuwepo hapo kipindi cha utawala wake ndugu Kikwete japokua ufisadi sasa hivi neno hilo limebadilishwa na kua ni mtu anayechukua wake za watu! Tunajua baba wewe ndio utakaye mtangulia Raisi huyu katika kutenda haki kwa watanzania wote ili amani na utulivu viweze kutawala katika taifa hili, tunaomba haya kwajina lako AMINA! Mungu Ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa!:pray:
Kama bwana amemuweka basi bwana atambariki
 
Bwana adhihakiwi, kama ni yeye alimuweka atamlinda na kama si yeye tutaona tu, the community without leadership will perish.
 
Msaada wa Namba ya HESLB

WanaJamvi nawasalimu kwa jina la Mungu muweza, Kwa mara nyingine tena najitokeza kuomba msaada wa namba ya yeyote kati ya hawa Director, Loan Allocations and Disbursements au muhusika yoyote wa pale bodi. Kwa maana nina shida na niko mbali na general line zao hazipatikani.. Kama kuna mtu ana personal namba zao naomba ani PM.​
 
Ili maombi yaweze kutimia ni lazima muombewaji awe anamwamini mungu!je una uhakika JK anamwamini mungu?na si mwanachama wa freemansons?
 
Msaada wa Namba ya HESLB

WanaJamvi nawasalimu kwa jina la Mungu muweza, Kwa mara nyingine tena najitokeza kuomba msaada wa namba ya yeyote kati ya hawa Director, Loan Allocations and Disbursements au muhusika yoyote wa pale bodi. Kwa maana nina shida na niko mbali na general line zao hazipatikani.. Kama kuna mtu ana personal namba zao naomba ani PM.​
Kama UPO UDOM hatukupi....si ndo mlitoa tamko.......!!!!
 
Bwana adhihakiwi, kama ni yeye alimuweka atamlinda na kama si yeye tutaona tu, the community without leadership will perish.

Kwahiyo unamaanisha anaweza kua amewekwa na nguvu za GIZA SIO?
 
na Mungu endelea Kumbariki Dr SILAA na wanachadema wote, na wale wanachadema wanafiki walioingia kuchafua uwapige kwa upofu wapapase pale walipo wanachadema Hai wawakose na warudi CCM kwa watu wao....
wafe Kisiasa, kimwili na kiroho... kwa sababu hawana jipya zaidi ya kufikiria matumbo yao wenyewe na watakapo rudi kwa hao waliowatuma wawachafue hao wenyewe mara 7...
watu wanaotoa siri za nyumbani kwao ni watu wasiona muelekeo... wala Dira...
angalia CCM pamoja na mpasuko wao wakiulizwa mbele za watu wanasema Hakuna Mpasuko .... Benjamini na yeye alikuja hata kwenye mkutano wa Mwisho kumtangaza Kikwete alihali wao ni kama Moshi na pua ...
sasa hawa wanasiasa Magazeti na wanasiasa Vyombo vya Habari na wana siasa Facebook sijui wamefuata nini huku kwetu Chadema Eeeh Mungu waondoe haraka kwenye Chama Chetu Cha Wasomi , cha Demokrasia na Maendeleo.....
Chama cha Vijana...
Chama cha wanasiasa asilia...
Amen
 
Amen!! MUNGU NI MWEMA!:whoo:
 
Mungu yupi maana kitabu changu kinaniambia kuna miungu mingi, isije ikawa mungu wa watabiri na waganga wa kienyeji
 
Mungu yupi maana kitabu changu kinaniambia kuna miungu mingi, isije ikawa mungu wa watabiri na waganga wa kienyeji[/QU

Mkuu soma topic vizuri!! Kama kuna waganga wa jadi na watabiri walioumba MBINGU na ARDHI tafadhali tuambie!!! Natumaini umeshamjua ni MUNGU gani namuongelea! Karibu sana kwa maombi zaidi kwa Raisi wako uliyemchagua!:teeth:
 
Ambariki kwa lipi wakati amekuja kuwa gawa wanakondoo wa bwana, labda tumombe mingu amsamehe kwa kuwa hajui alitendalo. Kwani anfanya hayo akifikiri atukuwa rais wa milele.
 
Tu buutuuu we unafikiri Mungu anawabariki wanafiki>? kwanza musimuusishe mungu kwa mtu kama huyo
 
msaada wa namba ya heslb

wanajamvi nawasalimu kwa jina la mungu muweza, kwa mara nyingine tena najitokeza kuomba msaada wa namba ya yeyote kati ya hawa director, loan allocations and disbursements au muhusika yoyote wa pale bodi. Kwa maana nina shida na niko mbali na general line zao hazipatikani.. Kama kuna mtu ana personal namba zao naomba ani pm.​
hawa watu wana jeuri kama nini sijui hata kama wataweza kushughulika na wewe, nilishawahi kwenda siku moja pale nikawa dissapointed sikutaka kurudi tena.
 
Back
Top Bottom